Kenyan Catholic Community in Dallas-Fort Worth

A Saint Josephine Bhakita Community at Holy Family of Nazareth Catholic Church in Irving, Texas Our mission is to unite and serve the spiritual, social and cultural needs of the members of DFW KCCF and promote Catholic ethics and values through worship and fellowship.

The community will achieve its mission by:

• Building the Body of Christ through worship and prayer;

• Strive to foster participation in the host parish thereby supporting the host parish to achieve its mission while maintaining our cultural identity;

• Serve all Catholics and those wishing to join the Catholic Faith regardless of their ethnicity or origin.

• Establish community programs to educate our children in the Catholic faith while maintaining our African culture.

Operating as usual

10/10/2021

jumapili ya 28 ya mwaka

jumapili ya 28 ya mwaka

09/26/2021

Jumapili ya 26 ya mwaka

"Maagizo ya Bwana ni adili, hufurahisha moyo".

09/25/2021
09/25/2021

Mass for the Repose of the Soul of George Maina Manga

09/12/2021

JUMALI YA 24 YA MWAKA

I WILL WALK BEFORE THE LORD,,IN THE LANF OF THE LIVING

08/22/2021

Swahili Mass

Celebrating 11th year today ... Praises to the Most High.

08/08/2021

jumapili ya 19 ya mwaka B

"Onjeni utamu

"Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema".

07/25/2021

sunday 25th 2pm mass

Jumapili ya 17 ya mwaka B

07/11/2021

Sunday 2pm Mass 7/11/2021

Sunday 2pm Mass 7/11/2021

06/27/2021

JUMAPILI YA 13 YA MWAKA B

"Ee Bwana,nitakukuza kwa maana umeniinua."

06/13/2021

JUMAPILI YA 11 YA MWAKA B

Ni neno njema kumshukuru Mungu

05/23/2021

Jumapili ya pentekoste

Jumapili ya pentekoste

05/09/2021

JUMA PILI YA SITA YA PASAKA

HAPPY MOTHER'S DAY

05/09/2021

JUMA PILI YA SITA YA PASAKA

HAPPY MOTHER'S DAY

04/25/2021

JUMA PILI YA NNE YA PASAKA

SIKU YA MCHUNGAJI MWEMA

04/11/2021

2nd Sunday of Easter

Yesu amefufuka...

04/11/2021

2nd sunday of Easter

Yesu amefufuka

03/28/2021

Swahili Mass 3/28/2021

Palm Sunday

03/14/2021

Swahili Mass with at Holy Family Catholic Church, Irving TX

Swahili Mass with at Holy Family Catholic Church, Irving TX
- 3/14/2021

03/06/2021

Living Station of the Cross

Living Station of the Cross
- 2nd Friday in Lent

02/28/2021

Swahili Mass with at Holy Family Catholic Church, Irving TX

Swahili Mass with at Holy Family Catholic Church, Irving TX
- 2/28/2021

01/24/2021

Kenyan Mass 1/24/2021

Please follow this link for live-streaming of today’s mass: https://fb.watch/3dzn1zBfTe/

01/10/2021

Ubatizo wa Bwana

12/27/2020

Sikukuu ya Familia Takatifu

12/13/2020

Jumapili ya 3 ya Majilio

11/22/2020

Kristu Mfalme

11/08/2020

Jumapili ya 32 ya mwaka A

10/25/2020

Jumapili ya 30 ya mwaka

10/11/2020

Jumapili ya 28 ya mwaka

09/27/2020

#KenyanCatholicCommunity eneo la #DallasFortworth #Texas yawakaribisha Kwa #MisaTakatifu ikiwa ni #JumapiliYa26YaMwaka hapa #IrvingTX #HolyFamilyOfNazareth. Mass with Fr. Peter Verhan, Abbot - Cistercian Abbey - Our Lady of Dallas

Ee Mungu Mwenyezi, unataka kutuimarisha katika misukosuko ya maisha yetu. Uyapokee maombi yetu tunayokupelekea kwa jina la Kristo Bwana Wetu. Amina.

09/13/2020

#KenyanCatholicCommunity eneo la #DallasFortworth #Texas yawakaribisha Kwa #MisaTakatifu ikiwa ni #JumapiliYa24YaMwaka hapa #IrvingTX #HolyFamilyOfNazareth.

Ee Baba wa huruma, bila msamaha wako hatuwezi kusimama mbele yako. Utusaidie kujifunza kusameheana na usikilize maombi yetu, kwa Kristo Bwana wetu. Amina.

08/23/2020

#KenyanCatholicCommunity eneo la #DallasFortworth #Texas yawakaribisha Kwa #MisaTakatifu ikiwa ni #JumapiliYa21YaMwaka hapa #IrvingTX #HolyFamilyOfNazareth. Tukiadhimisha miaka kumi tangu mwanzo wa kikundi cha DFW KCCF twamshukuru Mungu kwa majalia yake kwetu. Ingawa hali ilivyo haijaturuhusu kusherekea kwa ufanisi, tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa wema wake kwetu na tunawaombea wote waliokumbwa na janga la Korona, haswa waliopoteza wapendwa wao.

Ee Mungu Mwenyezi, Kazi yako ni kuwakusanya watu kwako. Uyasikilize maombi ya kundi la Bwana wetu Yesu Kristo. Amina.

[08/22/20]   Welcome back to Swahili Mass on Sunday 8/23/20 from 2PM at HFN: 2323 Cheyenne St, Irving TX 75062

We thank God for 10 years of Community. It’s the 21st Sunday in ordinary time and in the gospel Jesus is asking a fundamental question: “But who do you say that I am?”

“Ee Bwana, fadhili zako ni za milele. Usiziache kazi za mikono yako.” - Zab. 137: 9

03/08/2020

#KenyanCatholicCommunity eneo la #DallasFortworth #Texas yawakaribisha Kwa #MisaTakatifu ikiwa ni #JumapiliYa2YaKwaresima hapa #IrvingTX #HolyFamilyOfNazareth. Tunawakaribisa choir ya #PamboAfrika waliotutembelea siku ya leo.
Ee Mungu Baba, ni vigumu kutembea katika njia ya Imani bila kuona miale michache ya mwanga wa utukufu. Utujalie dalili chache kwa njia ya Bwana wetu. Amina.

02/23/2020

#KenyanCatholicCommunity eneo la #DallasFortworth #Texas yawakaribisha Kwa #MisaTakatifu ikiwa ni #JumapiliYa7YaMwaka hapa #IrvingTX #HolyFamilyOfNazareth.
Yesu alituambia tuwe wakamilifu k**a Mungu alivyo mkamilifu. Agizo hili ni la ajabu sana. Lakini sisi watoto wa Mungu lazima kuwa na tabia ya kimungu. Ee Mungu Mwenyezi, ulituumba tufanane nawe. Uyasikilize maombi yetu na kutusaidia kufikia lengo hilo kubwa kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina.

Videos (show all)

jumapili ya 28 ya mwaka
Jumapili ya 26 ya mwaka
JUMALI YA 24 YA MWAKA
Swahili Mass
jumapili ya 19 ya mwaka B
sunday 25th 2pm mass
Sunday 2pm Mass 7/11/2021
JUMAPILI YA 13 YA MWAKA B
JUMAPILI YA 11 YA MWAKA B
Jumapili ya pentekoste

Location

Address


2330 Cheyenne St
Irving, TX
75062
Other Religious Centers in Irving (show all)
Reign International Ministries Reign International Ministries
3001 Irving Blvd
Irving, 75061

Kingdom teaching church lead by Pastors J.C. & Gena Matthews.!

Mission at IBC Mission at IBC
2435 Kinwest Pkwy
Irving, 75063

Irving Bible Church values partnership both locally and globally. It's our mission to be the hands and feet of Jesus to our community down the street and across the globe.

New Life In Christ Ministries & Fellowship New Life In Christ Ministries & Fellowship
2441 Chevy Chase Dr
Irving, 75062

We are a Church without the Walls

Iglesia Bautista Plymouth Park Iglesia Bautista Plymouth Park
1714 N Story Rd
Irving, 75061

Nuestra vision es simple: Ver a la gente de Irving cambiada para siempre por el Evangelio de Jesus y teniendole a El como su fuente de toda alegria y valor. Te invitamos a unirte a nosotros un domingo! Hacemos mucho de Jesus, porque Jesus cambia todo!

ICI Outreach ICI Outreach
2555 Esters Rd
Irving, 75062

Welcome to the Islamic Center of Irving Outreach. Our main goal is to be a resource of Islamic information for Muslims and non-Muslims in the DFW area.

The Tubes @ Irving Bible Church The Tubes @ Irving Bible Church
2435 Kinwest Pkwy
Irving, 75063

The Tubes is a great place to come hang out and just be a kid! Open to the public 7 days a week from 8am - 10pm. (Closed the last Wednesday of the month from 8-10:30am for cleaning.)

The Proverbial Women's Ministry The Proverbial Women's Ministry
Irving

The Proverbial Women's Ministry

Highest Praise Church Irving Highest Praise Church Irving
1548 E. Shady Grove Rd.
Irving, 75060

"Come As You Are, You Won't Stay As You Are!"

Ghanaian Fellowship at Woodhaven Ghanaian Fellowship at Woodhaven
Irving, 75062

The Ghanaian Fellowship at Woodhaven meets each Sunday at 2:00pm in Hancock Hall at Woodhaven Presbyterian Church.

Story Road Baptist Church Story Road Baptist Church
801 S Story Rd
Irving, 75060-3645

We are a small church worshipping a great God. We invite you to worship with us on Sundays at 11:00 and 6:30 pm, and Wednesday night service at 6:30 pm

Christian Women's Bookclub Christian Women's Bookclub
Irving, 75062

Christian Bookclub that focuses on Godly principles and Godly living. With emphasis on relationships.

Celestial Church of Christ - Miracle and Peace Parish Celestial Church of Christ - Miracle and Peace Parish
3620 Conflans
Irving, 75061

Shepherd in Charge- Sup. Evan. Michael Ife Obayangban