Masjid Jama'a Tunduma

Masjid Jama'a Tunduma

Mosque

Mjumbe baraza la mashekhe mkoa songwe,shekhe Ahmad omar pongwa,akitoa darsa la umuhimu wa ITIQAFU katika Kumi la mwisho la mwezi wa ramadhan,Ni katika msikiti wa AL JAMAA TUNDUMA,na darsa hili ni kila baada ya swalati dhuhuri

Awasisitiza waumini kukaa ITIQAFU msikitini na kufanya ibada mbalimbali

ALLAH amhifadhi

Bakwata Mkoa Wa Songwe

Like

Personal Blog

*KAMATI YA AMANI YA MKOA WA SONGWE KUPITIA VIONGOZI MBALIMBALI WA KIDINI PAMOJA NA MACHIFU*

_leo tarehe 24/9/2018 mkuu wa mkoa songwe Mheshimiwa BRIGADIA GENERAL NICODEMUS E.MWANGELA aliwaita viongozi mbalimbali wa madhehebu ya dini pamoja na machifu katika mkoa wa songwe_

_Lengo Ni kuunda kamati ya amani ya mkoa songwe kupitia viongozi wa kidini pamoja na machifu_

_viongozi wa kidini waliohudhuria Ni pamoja na_

1.BAKWATA MKOA SONGWE

2.CCT

3.TEC

4.CPTC

5.MACHIFU

*BAKWATA MKOA SONGWE walikuwepo viongozi ngazi ya mkoa,shekhe Hussein batuza (kaimu shekhe mkoa),pamoja na Anwar Ashraff Khan (kaimu katibu bakwata mkoa),na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya dini nayo walikuwepo viongozi wao wa mkoa*

*Baada ya majadiliano juu ya uundaji wa kamati ya AMANI ya MKOA,hatimae wajumbe na viongozi wa KAMATI YA AMANI wakapatikana*

_VIONGOZI WA KAMATI YA AMANI YA MKOA NI_

1. _Shekhe Hussein batuza(kaimu shekhe mkoa songwe)_ *(mwenyekiti wa kamati)*

2. _Chifu nzunda_ *(mwenyekiti msaidizi)*

3. _ Rojas simkonda_ *(Katibu)*

4. _julius shapanga_ *(katibu msaidizi*)

Wajumbe wa kamati ya AMANI YA MKOA ni hawa wafuatao.

1.shekhe Hussein batuza( *kaimu shekhe mkoa*)
2.Annuary Ashraff Khan( *kaimu katibu bakwata mkoa*)
3.rojas simkonda (cct)
4.james msonge (cct)
5.padri kawana (tec)
6.vitus kasonga (tec)
7.julius(cptc)
8.ery mwakapanila (cptc)
9.chifu nzunda
10.chifu mwangula.
11.muweka hazina Ni Padri kawana.

*Mkuu wa mkoa songwe,kamanda wa polisi mkoa,afisa usalama wa mkoa hawa watakuwa Ni walezi wa hii kamati ya AMANI YA MKOA SONGWE*

*Hao ndio wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa wa songwe*

_Taarifa hii imeandaliwa na kaimu katibu bakwata mkoa songwe na mjumbe wa kamati ya amani ya mkoa_ *ndugu ANNUAR ASHRAFF KHAN*

*0754 441753(call)*
*0689 441753(WhatsApp &call)*

Yusuf Hujale

ALLAH APENDA MAMBO MATATU NA APENDA ZAIDI MATATU
NA
ACHUKIA MAMBO MATATU NA ACHUKIA ZAiDI MAMBO MATATU

ALLAH apenda

1} Wenye kutii (kufanya ibada), Na awapenda zaidi Vijana wenye kutii (kufanya ibada)

2} Wanyenyekevu, na zaidi kwa tajiri mnyenyekevu

3} Wkarim, na zaidi kwa faqir Mkarimu

NA ALLLAH awachukia

1} Wenye kuasi,
na amchukia zaidi kwa sheikh (mzee) Mwenye Kuasi

2} Mabakhili,
na amchukia zaidi Tajiri bakhili

3} Wenye viburi,
na amchukia zaidi faqirri alie Bakhili

#Kijana jipinde zaidi kwenye Ibada ALLAH akupenda zaidi kijana mchamungu

#Tajiri Kuwa mnyenyekevu Zaidi kwa viumbe Kwani ALLAH akupenda Tajiri unae jishusha na kuwa mnyenyekevu na mpole

#Faqiri zidisha ukarimu
Kwani ALLAH apenda Faqiri ambae anatoa swadaqa na kuwakirimu watu japo yeye hana kitu

WAZEE jiupesheni na Maas kwani ALLAH awachukia saana wazee wenye kufanya Maas

Ukifikia Uzee Basi ALLAH Awapenda wazee wenye kujikurubisha kwake na mda Wowote waweza ondoka hivyo rudi kwa ALLAH

MATAJIRI Acheni ubakhili kwani ALLAH awachukia wenye nacho matajiri Wenye kufanya ubakhili...

MAFAQIRI acheni Kibri kwani ALLAH akuchukia Maskini Jeuri
hivyo jirekebisheni

[06/13/18]   Asalamu Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuh

Alhamdulillaaah

U F U F U

Karibu Msikitini upate Amani

Sheykh Ahmad Omary Pongwa
ALLAH amhifadhi

https://www.facebook.com/ahmadomary.pongwa

Ikiwa amekufundisha Huyu comment..

Na tag wale waliofundishwa nae

MAA SHAA ALLAH

Kaimu KATIBU mkoa wa Songwe,ndugu Annuary Ashraff Khan akifanya ziara katika wilaya ya Songwe, na kushuhudia na kupata taarifa juu ya ujenzi wa DARUL MAARIFA ambayo inaendelea kujengwa katika wilaya ya Songwe.

Kaimu katibu mkoa alikuwa anapata maelezo kutoka kwa shekhe wa wilaya ya Songwe, shekhe HAMZA OMARY SEMBO(mwenye Kanzu nyeusi) juu ya maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.

Shekhe wa wilaya amemuhakikishia kaimu katibu kuwa kituo hicho kitamalizika kujengwa mpaka mwishoni mwa Mwaka huu, na mchakato wa kupata walimu wenye taaluma tayari wameuanza na tayari mwenyekiti wa wilaya Songwe na kaimu mwenyekiti mkoa Songwe Ustadh HAMADI O.SEMBO ameshatumwa kwenda tanga kwenye chuo cha TAMTA kwa ajili ya kupata Mwalimu..

Kaimu KATIBU mkoa Songwe amewashukuru viongozi wa wilaya ya Songwe kwa juhudi kubwa wanayoifanya,na akasisitiza kuwa kweli mnaifanyia kazi kauli mbiu ya mheshimiwa mufti na shekhe mkuu wa Tanzania AL mujaddid samaha mufti ABUBAKAR ZUBER BIN ALLY MBWANA ya "TUBADILIKE, TUJITAMBUE, TUACHE MAZOEA na kutekeleza agizo LA mheshimiwa mufti kila wilaya na mkoa kuwe na kituo cha DARUL MAARIFA.

Kaimu KATIBU mkoa Songwe, akawaambia viongozi wa wilaya Songwe kuwa wajitahidi sana kununua mashamba, Viwanja,na maeneo makubwa ya ardhi na kubuni biashara mbalimbali Ambazo zitasaidia kuliendesha baraza bila vikwazo.

IMETOLEWA NA OFISI YA KAIMU KATIBU MKOA SONGWE (BAKWATA).

12/5/2018.

Like& share

Sheikh Mahmud Hujale , abdallah nyoni na omary mwita (Danke)
Katika kumbukumbu ya pamoja ndani ya Masjid Jamaa Tunduma

ALLAH amsamehe na Amrehemu Sheikh Mahmud Hujale

Aamin

google.com

Masjid Jamaa Tunduma

Masjid Jamaa Tunduma
P.o. box 1Tunduma, Tunduma
0718 855 135

https://goo.gl/maps/EQDSVzJme2H2

google.com ★★★★★ · Mosque · P.o. box 1Tunduma

Masjid Jama'a Tunduma

ALHAMDULILLAAH

Mosque

[10/22/17]   Sema ALHAMDULILLAAH

¤Ladha ya NDOA¤

وَعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِي اللَّهُ عَنْهُ،عَنِ النَّبِيَّ صىلى اللَّهُ عَليه وَآله وسلم،قَالَ:مَنْ كَانَتْ لَهُ امْرَأَٔتَانِ فَمَالَ إلَى إحْدَاهُمَاجَاءَيَوْم الْقِيَامَةِ وَشِقُّهُ مَاىِٔلٌ رَوَاهُ أَحْمَدُ،وَالأَرْبَعَةُ،وَسَنَدُهُ صَحِيحٌ

Abu Huraira (r.a),amesimulia kuwa;Mtume Swalla Allahu alayhi wa aalihi wasallam,amesema kuwa:

Mwenye wake wawili(2),na akaegemea zaidi kwa mmojawapo mbali na yule mwingine,Siku ya Qiyama atakuja ilihali ubavu wake mmoja umepooza.Ahmad na Maimamu wanne(4).Isnadi yake ni Sahih

Huwezi kuugawanya moyo kwa mapenzi sawa kwa kila mmoja lakini haki zao na mahaba iwe sawa kabisa

[09/10/16]   Waumini wa AL masjid jamaa nawatakia edil hajj njema

Masjid Jama'a Tunduma's cover photo

[05/24/14]   Je siku yoote ya Leo umeswali swala zote... ?

Usisahau kuwasemehe wooote

[05/13/14]   Alhamdulillah

[04/15/14]   Alhamdulilla

[04/10/14]   Alhamdulillah

Naona Ajabu kwa mwenye uhakika
Wa Maut kuwa Yapo
Vipi Anacheka?

Na Naona Ajabu kwa mwenye
uhakika Wa Qabri..
Vipi Anafurahi?

Na Naona Ajabu kwa mwenye kujua
Kuwa Dunia na Kuondoka kwake..
Vip Ajituliza kwayo?

Na Naona Ajabu kwa yule anae Jua
Kuwa Kwamba Yeye Atakufa Peke
yake, Na Ataingia Kaburini Peke
Yake, Na Atajesabiwa Peke yake....
Vip Ana jistarehesha na Watu?

Ewe Mwanadamu:
Unamaliza Umrio Kwa Kuitafuta
Dunia، Basi ni lini uta tafuta litalo
kuingiza Peponi?

Ewe Mwanadamu:
Fanya A'mal Njema Kana Kwamba
Utakufa Kesho..
Na Wala Usiku Sanye Mali Kana
Kwamba Utaishi Milele

Ewe Mwanadamu:
Kia Siku Unapungua Umri wako,
Na Wewe Hujui kile kinacho Pungua
kwako Na Kila Siku Wamaliza Rizqi
yako

Enyi Watu!
Hakika Dunia Ni Nyumba Ya Yule
Ambae Hana Nyumba
Na Ni Mali Kwa yule ambae Hana
Mali
Na Hiyo Dunia Anaikusanya yule
ambae Hana Akili
Na Kwayo anafurahi yule ambae
Hana yaqini
Na Kwayo Anaipupia Yule ambae
hana amategemeo
Na Anayatafuta Matamanio Yake
yule amabe hana Maarifa
Basi Mwenye Kutaka Neema Inayo
Ondoka na
Uhai unao Katika Na
Matamanio yanayo malizika
Basi aitafute Dunia.....

Na Mwenye kuitafuta Dunia Basi
Hakika Ameidhulumu Nafsi yake na
Kamu Aswi Mola Wake na Kaisahau
Akhera yake na Amepondokea Kwa
Dunia

Ewe Mwanadamu:
Tanguliza kwangu mie A'mal Njema

Hakika Wewe Uu ktk Kuumaliza
Umri wako Tangu Siku Ilio Toka
Tumbani kwa mama yako,
Na Unasogea Kila Siku Kwa Kabri
yako. . . . . ..
Mapaka utaliingia

Ewe Mwana Adamu:
Mfano wako wewe Ktk Dunia Ni
Kama Mfano Wa #Nzi ktk Asal,
Atakula ktk Hiyo Asali,
Ata Shiba ndani Yake Mpaka Atakufa

Hivohivo ndio mlivyo Nyinyi pamoja
Na Dunia

AL MAUT YA'TYKA BAGHTATAN FATA
AMMAL

MAUTI YANAKUJIA GHAFLA BASI
ZINGATIA
WABGAPI WASHAA TANGULI BADO
MIMI NA WEWE NA WALA HATUJUI
UMEBAKI MDA GANI#ZINDUKA!

ALIKUWA AKITAFUTA MAKOSA KATIKA
QUR ANI
LAKINI NINI ALICHO KUTANA NACHO?:
Doctor Gary Miller mwalimu wa
hesabu na falsafa
katika chuo kikuu cha Toronto
nchini Canada.
Alikuwa ni katika walinganiaji
wakubwa wa ukristo.
Siku moja alichukua uamuzi wa
kusoma Qur ani yote
kwa lengo la kutafuta makosa, ili
aweze tumia ujuzi wake huo
katika kuwalingania waislamu
waweze ingia
katika dini yake ya ukristo.
Kwa kuwa Qur ani imeshushwa
karne 14 zilizopita,
alikuwa akitarajia atakuta usulubu
wa kizamani ,
habari za majangwa na mfano
wake.
Lakini alishangazwa na mambo
aliyo kutana nayo !!!
Bali akagundua ya kwamba kitabu
hiki,
kimekusanya mambo mengine
ambayo
huwezi kuyapata katika kitabu
chochote duniani.
Alikuwa anatarajia atakuta khabari
za
baadhi ya matukio yaliyo mtokea
mtume
–rehema na amani ziwe juu yake-
kama vile
kufariki kwa mkewe Khadija-radhi
za Allah ziwe juu yake-
na kufariki kwa watoto zake.
Lakini habari kama hizo hakuzipata
kabisa.
Bali katika mambo ambayo
yalimshangaza sana,
kukuta katika Qur anikuna sura
kamili inaitwa Surat Mariyam.
Akaona ni jinsi gani Mariyamu-
alayhaa salaamu-
alivyo tukuzwa,huto ona mfano
wake katika injili.
Na wala hakukuta sura inaitwa
Surat Aisha,au surat Fatwima
–radhi za Allah ziwe juu yao-.
Akakuta nabii Issa{Yesu}-alayhi
salaamu-
katajwa kwa jina lake mara 25.
Hali ya kuwa mtume Muhamadi-
rehema
na amani ziwe juu yake,hajatajwa
isipokuwa
mara 4 tu ! akazidi kushangazwa na
kitabu hiki kitukufu.
Akaendelea kusoma Qur ani kwa
umakini zaidi,
huenda atapata japo kosa moja.
Akiendelea na hali yake hiyo,
alishangazwa kukutana na aya ya
ajabu
iliyo msh*tua,aya ya 82 katika surati
Nisaa{4}.
(Je hawaizingatii Qur ani?
Na law ingekuwa imetoka kwa
asiye kuwa
Mwenyezi Mungu bila ya shaka
wangeli kuta ndani yake ikhitilafu
nyingi)
Dr. Gary Miller anasema:Miongoni
mwa misingi
ya elimu inayojulikana hivi sasa ni
kutoa makosa katika chunguzi
mbali mbali.
Anasema lakini jambo la ajabu
katika Qur ani ni kwamba,
inasema haina makosa ,na
inawataka waislamu na wasio kuwa
waislamu,kutafuta makosa ndani
yake na hawato yapata.
Anasema hakuna mtunzi duniani
ambaye anaweza
tunga kitabu,kisha akathubutu
kusema ya kwamba
kitabu chake kimetakasika na
makosa.
Lakini Qur ani ni kinyume chake.
Yakwambia haina makosa,na
ichunguze
huto pata japo kosa moja.
Vile vile katika aya zilizomshangaza
sana Docter Gary Miller,
ni aya namba 30 ya surat
Anbiyaa,isemayo:
(Je! Hao walio kufuru hawakuona
kwamba
mbingu na ardhi zilikuwa
zimeshikana,
kisha Sisi tukazibabandua
{tukaziachanisha}?
Na tukajaalia kwa maji kila kitu
kuwa hai,
Basi je, hawaamini?)
Anasema maudhuu hii ndio niliyo
chukulia
zawadi ya Nobel katika uchunguzi
wangu wa kisayansi
mwaka 1973.Ilikuwa ikizungumzia
mlipuko mkubwa
ulio tokea katika ulimwengu.
Kwani mbingu na ardhi na sayari
nyinginezo, zilikuwa
zimeshikana ,kisha ukatokea
mripuko mkubwa na kuachana.
Tuje upande wa pili wa aya,inayo
zungumzia ya kwamba
maji ndio chimbuko la uhai.
(Na tukajaalia kwa maji kila kitu
kuwa hai).
Anasema jambo hili ni miongoni
mwa mambo ya ajabu sana,
kwani wataalamu wamethibitisha
hivi sasa ya kwamba,
chembechembe za
uhai,zimejengeka kutokana na
Cytoplasm. Cytoplasm ambayo
asilimia 80% ni maji.
Vipi kwa mtu huyu aliye ishi miaka
1400 iliyopita aligundua
vitu hivi?!
ni nani aliye mfundisha???!!!
Hapana shaka ,kweli mtu huyu
alikuwa akishushiwa wahyi
toka kwa Mwenyezi Mungu.
Dr. Gary Miller akaamua kuingia
katika uislamu.
Na kuanzia hapo akaanza kutoa
mihadhara ya kulingania watu
kuingia katika uislamu,na kafanya
midahalo na wakristo wengi
ambayo nae siku zilizo pita alikuwa
ni miongoni mwao.
Alhamdulillahi juu ya neema ya
uislamu.
Dr. Gary Miller sasa hivi jina lake ni
Abdu-Ahad Omar.
Ni mwandishi wa kitabu maarufu
kinachojulikana kama
"THE AMAZING QUR'AAN" yaani
"QUR'AANI INAYOSHANGAZA".
Allaah ambariki Dr Abdul-Ahad .
***************************************
Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema:
(Hakika hii Qur'ani inaongoa
kwenye yale
yaliyo nyooka kabisa, na
inawabashiria
Waumini ambao wanatenda mema
ya kwamba watapata malipo
makubwa)
Qur ani 17:9
Na anasema:
(Bila ya shaka Dini mbele ya
Mwenyezi Mungu ni Uislamu).
Qur ani 3:19
Na anasema:
(Basi uelekeze uso wako sawasawa
kwenye
Dini iliyokuwa safi kabisa, ndilo
umbile ambalo
Mwenyezi Mungu alilo waumbia
watu.
Hapana mabadiliko katika uumbaji
wa
Mwenyezi Mungu. Hiyo ndiyo Dini
iliyo nyooka sawa.
Lakini watu wengi hawajui) Qur ani

Zimebaki siku 100 kufika Ramadhan

Yaa ALLAH twakuomba utufikishe Ramadhan Hali tukiwa Wazima wa Afya Wenye uwezo wa kufunga Na kusoma kwa wingi Qur,an
Kwa ni Ramadhn ni Neema kwetu sie Na ni yenye kutukurubisha kwako

ALLAHUMMA BALLIGHNA RAMADHAN

Aamin

Hadithi ya Abdillahi ibmi Jafar ibni Abi Twalib r.a amesema

" Nilimuona Mtume S.a.w akila Tende Zilizo Iva Na Tango

(Bukhari, Hadith Na. 351
Jzuu ya 7)

Ni Suna na Ni Muhimu Kula Matunda kwabi yana faida nyingi Mwilini

tuwe ni wenye kula mara kwa mara matunda
In shaa allah

wakati Mwema

[03/01/14]   Alhamdulillah

ASALAMU ALAYKUM

#maaashaallaah

Huyo Ni Mwanamke Ambae ni Rubani Wa Ndege Lakini yuko ndani Ya Stara Haya ndo maisha ya Mwanamke Kwa Public
mbele Ya Jamii Mwanamke ana Mchango Wake Pia Lakini Ndani Ya Utaratibu Ndani Ya Stara

HOW MAY LIKE THIS

#MAASHAALLAH

#MAASHAALLAAAAH

:) HOW MANY LIKE THIS.......

Kama nyumbani kuna vifaa kama hivi basi vitumike kwa Kheri kamaa Hii Mtoto Ajifunzaa Lugha ya Kiarabu kupitia Computer

[11/24/13]   Assalamu Alaykum

Alhamdulillaaah

#maaashaaallaaaaah
Hao maSheikh Zetu ALLAH awape Kheri in shaa allaaah

Sheikh Muhamed Hasan Na Sheikh Ahmad Pongwa na Pembenii Alhaj Khalifa

ALLAH ATUONGOZE SOTE

[11/05/13]   Assalamu Alaykum

KHERI YA MWAKA MPYAAA

#JABAR_HIRAA

Hili ndio pango ambalo bwana wetu kipenzi chetu mtukufu wa Darja Mboora wa viumbe imamu wa mitumee woote Mtume #MUHAMMAD swallallahu alayhi wa sallaam
.....alikuwa akifanya ibada zake

na hapa ndipo alipojiwa na Jibril alayhi Ssalaaam Naa ndipo alipo fundiswa kusomaaa
hapaa

Elimu ndio msingi wa mambo yoote naa ndoo Urithi wa mitumee

pia Mtume Kasema
WAHESHIMUNI NA MUWAKIRIMU SAANA MAULAM'a Masheikh woote kwani wao ni warithi wa mitumeee

sasa weewe ambae hutaki kusoma wataka nn teena

Elimu kusoma sii watoto tuu Mtume Kaa anza somma Akiwa mkuubwa kabisa kadhalika na maswahabaa

weewe wasema Umri umekwendaa hapanaa weewe ndoo umekwenda pabaya
utaingia Motoni sababu ya ujinga

Atake taka Akhera Asome
atakae taka dunia asome atake taka vyoote Akhera na Dunia pia asome

Ghaari Hiraa


Jumaa Munawwara

Naaam

Watu kukutana na kukaa pamojaaa kwa ajili ya ALLAH NI JAMBO JEEEEMA

kwani soote sie ni ndugu hivyo tuu unganishe nyoyo zetu kupendana kwa ajili ya ALLAH jambo hili hupelekea kuja pata kivuli cha ALLAH siku ya Qiyama Amabayo hamna kivuli sipokuwa Cha ALLAH pekeee

Naaaam Alahamdulillaaah ndani ya Ijtimai ya huko
siku ya kwanza ktk Khutba Alipanda Sheikh wetu Abas Lulu

ambae aligusa mambo meengi muhimu hasa ktk jamii ya ki islamu

* Undugu wa ki islam
sisi kama waislamu ni ndugu haina haja kwa sie kubezana kugombana kufanyiana husda wakati sie ni ndugu.... Teena wa karibu

haina haja ya kuwa makundi mbalimbali.....

Hakuna uwenyeji ktk Dini
kwamba sie hapa ndo wazawa kwa hiyo sie ndo bora
hapana Hakuna uzawa ktk Dini maarufu huku Tunduma hujulikana kama CHILIPAMWAO

hakuna mboora ila ni mchamungu watu waleta ukabila kwa dini kama sie kabila letu nbora


hawa hawa wezi oa huku mpaka aje wa kabila letu
msikiti huu ni wa kabila flani tuuuu

hapana mabo haya ktk dini

sheikh Abasa lulu mwanzo kbisa wa ijtimai alikua aki unganisha Nyoyo za watu tuwe kitu kiomoja

jeee maswala haya hayapo ktk jamaii tukaazo?

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Tunduma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Masjid Jmaa Tunduma
Tunduma
Other Tunduma places of worship (show all)
Shalom International Ministries - Tunduma Shalom International Ministries - Tunduma
BOX 136 TUNDUMA
Tunduma, +255

Juniors Business Associates Company Ltd Juniors Business Associates Company Ltd
P.O.BOX 108
Tunduma, 255

Juniors Business Associates Company Limited is Private registered company based in Mbeya with its branch in Bukoba municipality.

Shalom International Ministries Tunduma Shalom International Ministries Tunduma
P.O.BOX 8
Tunduma, +255

KWAAJILI YA KUIUBILI INJILI YA YESU KRISTO NA MATENDO YAKE

Calvary Christian Centretunduma TAG Calvary Christian Centretunduma TAG
Left Side Along Sumbawanga Road Majengo Mapya Near Mwaka Area
Tunduma

Calvary Christian centretunduma TAG. Is a spiritual institution focused to draw people to love of GOD. We teach the word of God in all truth. We are located in Tunduma township along Sumbawanga road..