Gospel definition

Gospel definition

MAANA HALISI YA INJILI TANZANIA.. safari ya injili Tanzania na ukweli ulio fichika kuhusu ufalme wa mungu.

Mission: clear meaning of the kingdom of GOD.

Timeline Photos

Aliye ficha baraka zako hana nguvu tena maana hata yeye amefichwa na baraka zako. Inuka na uangaze nuru yako imekujia..!!!!

SENTENSI SABA ALIZOZITAMKA YESU AKIWA MSALABANI KABLA HAJAFA NI HIZI:-

1.Baba wasamehe hawa kwa kuwa hawajui watendalo.

2.Mama mtazame mwanao nawe mwana mtazame mama yako.

3.Msinililie mimi bali mjililie wenyewe na watoto wenu.

4.Eloi Eloi lama sabaktani-(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?)

5.Naona kiu.

6.Hakika wewe utakuwa nami leo hii peponi.

7.Yametimia, Mikononi mwako baba naiweka roho yangu.

Hapo akakata roho.Ukijaaliwa kupata vocha Wakumbushe watu jinsi Yesu alivyoteseka msalabani kwa ajili ya dhambi zetu nawe utabarikiwa.

" mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee na kumpaka mafuta Kwa jina LA bwana na Kule kuomba Kwa imani kuta mwokoa mgonjwa yule na bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi,atasamehewa. Ungameni dhambi zenu ninyi Kwa ninyi na kuombeana mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana akiomba Kwa bidii."
WARAKA WA YAKOBO 5:13-16

[03/11/16]   Tazama bwana anena nasi tangu SAA hii.. 1WATHESALONIKE 2:13
Kwa sababu hiyo sisi nasi twamshukuru mungu bila kukoma, Kwa kuwa, mlipopata lile neno la ujumbe la mungu mlilolisikia kwetu, mlilipokea si kama neno la wanadamu Bali kama neno la mungu; na ndivyo lilivyo kweli kweli; litendalo kazi pia ndani yenu ninyi mnaoamini.

>>>MUST READ

Timeline Photos

[02/18/16]   Kijana wa kiume alimwambia baba yake "nimemuona msichana mzuri sana na ninataka nimuoe hivi karibuni. Ni mzuri sana na ana macho mazuri mno" baba akamwambia sawa mwanangu mlete nyumbani umtambulishe.

Kijana alimleta yule msichana nyumbani, baba alikubali uzuri wa yule binti na kumwambia mwanae "mwanangu hustahili kuwa na msichana huyu. Binti kama huyu anastahili kuwa na mtu mwenye uzoefu wa maisha na anayeweza kumtegemea. Mtu kama mimi"

Kijana alishangaa msimamo wa baba yake na akamwambia "nitamuoa mimi na sio wewe baba" na ghafla wakaanza kugombana, na baadae wakaamua kwenda police kusuruhisha.

Walipomuelezea afisa wa polisi tatizo lao, yule afisa akawaambia wamlete huyo msichana kwake wamuulize yeye anamhitaji nani. Afisa alipomuona yule msichana akawageukia baba na mtoto na kuwaambia "wote ninyi hamfai kuwa na msichana huyu, anahitaji mtu aliye juu kama mimi, mtu ambaye ana nguvu za kuweza kumlinda."

Wote watatu wakaanza kuzichapa, na baadae mkuu wa kituo akatokea. Mkuu wa kituo akawauliza wanagombania nini na wote kwa pamoja wakamuonesha mkuu wa kituo yule binti. Mkuu alipomuona binti akawaambie "nyie wote ni wapumbavu, msichana mzuri kama huyu afaa kuwa mke wa mkuu wa kituo! Ondokeni hapa na mniachie huyu binti niongee nae"

Wote wanne wakaanza kugombana tena, mwishoni yule binti akawatuliza na kuwaambia "me nina ufumbuzi wa huu mgogoro wenu nitaanza kukimbia, yeyote atakayefanikiwa kunikamata atakuwa mme wangu" alipoaanza kukimbia wote wanne wakaanza kumfukuzia ili kumkamata ma ghafla wote wanne wakatumbukia katika shimo kubwa.

Binti akawatazama tokea juu ya lile shimo na kuwaambia "mnajua mimi ni nani? Mimi ni ulimwengu huu. Watu wanakimbia kweli kunikamata au kwenda sambamba na mimi, kwa kufanya hivyo wamemsahau hata Mungu mpaka pale wanapoingia kaburini wamekufa bila ya kuweka uhusiano mzuri na Mungu! Yote ni kwa ajili ya uzuri tu wa mimi! Nawaambieni tu Mungu yupo! Msitazame uzuri wa ulimwengu huu mkamsahau Mungu.

Muhimu.

Usimsahau mwenyezi Mungu, anakupigania unapumua mpaka leo hii, usizubaishwe na anasa za ulimwengu huu! Mfalme Sulemani alisema vyote ni ubatili mtupu.

Kwanini usiseme AMEN!??

Share it, like it.

Kutoka 20:1-5 Mstr wa 4 Unasema Usijifanyie sanamu ya kuchonga wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni wala kilicho majini chini ya dunia (5) Usivisujudie wala kuvitumikia kwakua mimi ni BWANA Mungu wako ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana maovu ya Baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao. Bwana Yesu apewe sifa. Nimesoma coment nyingi hapa lakin mim naona kama jambo hulijui ni vyema kunyamaza kuliko kujibu vitu ambavyo vinaweza kukugharimu maisha yako. Kila Mkristo muongozo wake ni Biblia lakin Mapokeo yametufanya kua vipofu wakat tunaona na sio kuona tu tena na kuusoma ukweli halisi. Hawa watu waliotengeneza mifumo mingine yakuabudu kipindi hicho walikua na faida zao kuna vitu ambavyo waliviangalia wakati wanatengeneza hiyo mifumo. Lakin ukimjua Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai atakuweka huru na utakua huru kwelikweli. Sijaona sababu za kukejeli au kumwambia mtu afuate lmani yake. Lazma tuseme ukweli kutokana na biblia lnavyosema tena bila uoga yakwamba KUABUDU AU KUSUJUDU SANAMU NI DHAMBI NA NICHUKIZO KWA MUNGU ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI. HAIJALISHI KWENYE SANAMU KUNA NINI. huo ndio ukweli ambao hata Yesu mwenyewe akija leo atakubali maana hata alipokufa hakubaki msalabani bali alishushwa na msalaba ulibaki kama msalaba. Sasa kama unajua kutukana au kukejeli kejeli maandiko haya ambayo nikweli. Aliye na sikio na asikie Neno la Mungu ambalo Roho wa Mungu ayambia makanisa. Ameni

Bwana Yesu Asifiwe sana!!
Jambo la 1 la kufanya ikiwa hali yako ya maombi si nzuri, na unashindwa kumwomba Mungu inavyotakiwa: Omba toba ili Mungu akusamehe! Ndiyo - omba toba ili Mungu akusamehe kwa kushindwa kuomba! Swali unaloweza kuuliza, ni kutaka kujua ikiwa kutokumwomba Mungu ni dhambi!
Nabii Samweli kuna wakati aliongea na watu wake, akasema: "Walakini mimi, hasha! nisimtende Bwana dhambi kwa kuacha kuwaombea ninyi;......"(1Samweli 12:23). Iwe ni kutokuwaombea wengine au kutokujiombea wewe - kutokuomba ni dhambi! Kutokumwomba Mungu si udhaifu bali ni dhambi! Udhaifu katika maombi ni kule kutokujua jinsi ipasavyo! Ndiyo maana imeandikwa: " kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba ipasavyo........"(Warumi 8:26)
Kufuatana na 1Yohana 3:4 dhambi ni uasi au ni kwenda kinyume cha maelekezo ya Mungu. Kuomba ni agizo na mwaliko kutoka kwa Mungu, ili upate kuongea naye. Kutokumwomba ni kukataa mwaliko huo; na ni sawa na kukataa kutii agizo la Mungu. Kwa hiyo kutubu ili usamehewe kwa kutokumwomba ni hatua sasa. Mungu atakusamehe, na kurudisha ndani yako hamu ya kuomba.
Mungu akusaidie kama hili ni tatizo kwako.

Je, hii ni injili au utani. toa ushahidi Wa kibiblia....!!!!

Type Amen.....

ZABURI 34:1-9
nitamhimidi bwana kila wakati. Sifa zake zi kinywani mwangu daima. Katika bwana nafsi yangu itajisifu. Wanyenyekevu wasikie wakafurahi. Mtukuzeni bwana pamoja nami na tuliazimishe Nina lake pamoja. Nalimtafuta bwana akanijibu akaniponya na hofu zangu zote.waka muelekea macho wakatiwa nuru. Wala nyuso zao hazita ona haya. Masikini huyu aliita bwana akasikia akamwokoa na taabu zake zote. Malaika Wa bwana hufanya kituo akiwazungukia wamcha na kuwaokoa.onjeni yakuwa bwana yu mwema hero MTU yule anaye mtumaini.

Gospel definition

[12/03/15]   nothing difficult to him

youtube.com

Benjamin Dube - Thel'umoya

From Benjamin's latest album "Healing In His Presence" www.facebook.com/spirittunez

Timeline Photos

youtube.com

Woman Walks INSTANTLY For First Time In 8 Years!!!

kama watu wa MUNGU maisha yetu yana jengwa kwa shuhuda za kweli

Miracles still happen today. Afisatu Sulaiman Igbadumeh came to The SCOAN completely unable to walk after a strange sickness rendered her crippled. Watch and...

[10/13/15]   YEREMIA 23:1-35
kanisa la bwana lapaswa kufundishwa ufalme wa mbinguni

[09/21/15]   Sealed By God
We don’t often hear about signet rings anymore; but in Bible times, they were very significant. The signet ring was used to identify the message or messenger and the authority they had. In other words, you knew something was from the king because it was marked by his signet ring. It was representative of power and authority. This verse is saying that you are the mark of authority of Almighty God. You have been chosen and set apart to be identified with Him.

When you have someone’s power and authority, you have access to everything they have. It’s like having power of attorney; you have the authority to act on behalf of that individual. As a believer in Jesus, you are marked with His seal. Think of all you have access to today! Think about the authority you have. Everything He has is available to you—healing, provision, strength, peace, joy. You have been given authority to “sign His name” in order to receive His blessings. You are God’s seal, and you are marked to live the abundant life He has in store for you!

[09/09/15]   ZABURI 109:1-7
1.ebwana wa sifa zangu,usinyamaze 2. Kwa maana wamenifumbulia kinywa kinywa cha mtu asiye haki cha hila,wamesema nami kwa ulimi wa uongo.3 naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka, wamepigana nami bure 4. Badala ya upendo wangu wao hunish*taki ijapo kuwa naliwaombea.5 wamenicukuza mabaya badala ya mema na chuki badala ya upendo wangu.6 uweke mtu mkorofi juu yake msh*taki asimame mkono wake wa kuume.7 katika kuhukumiwa ataonekana hana haki na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.

[08/31/15]   pata muda na usome moja ya vitabu vya mtume na nabii peter nyaga hautakuwa vile ulivyo..fika RGC miracle centre tabata chang'ombe upate nakala yako sasa

[08/10/15]   Mungu anawaheshimu wanao muheshimu

Timeline Photos

Album: inuka utangaze
ni nyimbo zitakazo kutoa kiwango kimoja hadi kingine cha imani yako, kutoka kwa mtunzi na mwalimu francis exavery kutoka RGC miracle centre tabata...pata copy yako ya audio nauta barikiwa.....!!

uponyaji huu ndani yako, unapo mkaribisha yesu maishani mwako hato kuacha kama ulivyo, yeye hu shughulika na mambo yako kwa maana umemuamini nae atakuaminia. fungua moyo wako leo bwana nae ashughulikie mambo yako sasa kwa maana hakuna jambo gumu yeye asiye liweza...amen!!

Mosses sebastian "kama si mungu kuwa pamoja nami na israel aseme sasa...!!
maana yeye ndiye njia yangu hujua nilipotoka na ninapo kwenda"

[07/15/15]   MITHALI 3:1-4
mwanangu usisahau sheria yangu, bali moyo wako uzishike amri zangu. maana zita kuongezea wingi wa siku na miaka ya uzima na amani rehema na kweli zisifarakane nawe; zifunge shingoni mwako, ziandike juu ya kibao cha moyo wako ndivyo utakavyopata KIBALI na akili nzuri mbele za mungu na mbele ya mwanadamu.

[07/15/15]   MPANGO WA MUNGU SI WA MWANADAMU:
wakati samweli anataka kumteua mfalme wa izrael mungu alimteua sauli kuwa mfalme lakini kwa matendo ya sauli kuwa mpiganaji wa vita mara kwa mara.mungu ana mtuma samweli kwenda nyumbani kwa yesse huko ata mpaka mafuta mfalme wa izrael nae alikuwa daudi aliye shughulika na kazi ya kuchunga kondoo wa baba yake.

[07/04/15]   speak by your tongue and it shall be will...it will happen as you speak learn how to bless yourself.

[07/01/15]   happy new month people of GOD.

[06/28/15]   maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi utoka kwa bwana..juma pili njema

[06/25/15]   ZABURI 2:1-6
mbona mataifa wanafanya ghasia, na makabila wanatafakari ubatili?.wafalme wa dunia wanajipanga, na wakuu wanafanya shauri pamoja, juu ya BWANA, na juu ya masihi wake, na tuvipasue vifungo vyao na kuzitupia mbali nasi kamba zao, yeye aketiye mbinguni anacheka, bwana anawafanyia dhihaka. ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake. nami nimemweka mfalme wangu juu ya sayuni, mlima wangu mtakatifu.

muziki pia na matayarisho yake, hii ni baada ya kugundua unaweza hii ni moja ya hatua zake...!!!!

" katika umbaaji wa mungu kipaji cha kwanza kukibaliki kilikuwa ni uimbaji pale bustani ya Aden, maana mungu anapenda sifa na kuabudiwa kwa kufanya ivyo lazima tusifu na kuabudu kwa roho na kweli " Francis Exavery (RGC_miracle centre)

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Tabata?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Efraim Sekereti along with The living waters(dar es salaam-

Location

Category

Telephone

Address


P.o.Box 90287
Tabata
Other Religious Centers in Tabata (show all)
Macedonia Schools Macedonia Schools
P.o Box 24673 Dar Es Salaam
Tabata, +255

for the parents and pupils who truly believe in a wholistic education