TAYO Tabata

TAYO Tabata

Comments

Don't plan to miss this event
Don't plan to miss this event
Kuna wengine ni waangaliaji 2
Kuna wengine ni waangaliaji 2
Vijana tunazo nguvu
Vijana tunazo nguvu
Usafi kanisani
Usafi kanisani
Fahari ya vijana Ni nguvu zetu wenyew Tukiwa katika matumizi ya nguvu zetu
Fahari ya vijana Ni nguvu zetu wenyew Tukiwa katika matumizi ya nguvu zetu
God bless TAYO..God bless our CHURCH

TAYO stands for Tanzania Anglican Youth Organization: Kundi la umoja wa vijana Tanzania lenye nia ya kuimarisha upemdo, utumishi katika kanisa na mshikamano wa vijana ndani ya Dayosisi zote Tanzania na madhehebu mengine,

TAYO Tabata

Semina ya vijana iliyofanyika tarehe 15 na 16 Agost 2014 hapakanisani kwetu Tabata. Mada tatu kama kawaida zikiwepo mada ya mahusiano, kijana kujitambua pamoja na masuala ya katiba. kama ulikosa basi ulikosa kweli kweli

Marehemu mama Nchimbi akiwa na kwaya ya UMAKI wakati ya sikukuu ya PASAKA mwaka jana.

[03/07/13]   +++++++++ TANZIA TANZIA TANZIA TANZIA +++++++++++++
NASKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA, MAMA NCHIMBI, ALIYEFARIKI DUNIA SIKU YA JUMANNE TAREHE 05.02.2013, MAMA YETU KAPATWA NA MAUTI AKIWA KANISANI WAKIIMBA KWAYA NA WAMAMA WENGINE WA UMAKI. TUZIDI KUMWOMBEA MAMA YETU KATIKA SAFARI YAKE. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.AMINA

[10/11/12]   TAYO inapenda kumpongeza saana mwekiti wa TAYO msaidizi na KATIBU wa kanisa ndugu BERNARD MHECHA kwa kufunga ndoa siku ya jumamos ya tar 6/10/2012. TAYO inamtakia maisha mema na yenye furaha ya ndo. Picha za harusi zitafuata.

TAMASHA LA UIMBAJI LA TAYO

SIKU YA TAYO DAY NA TAMASHA LA UIMBAJI

SIKU YA TAYO DAY NA TAMASHA LA UIMBAJI

+++++++++ WOTE MNAKARIBISHWA ++++++++++++++++++++

JE WEWE UNAPENDA NYIMBO ZA DINI? BASI SIKU HII NI SIKU YAKO,MWAMBIE NA JIRANI YAKO.
KARIBUNI SAANA

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Hatimaye kwaya ya UMAKI imerecord CD yao, na leo tumeskia baadhi ya nyimbo hizo, kwa kweli nyimbo ni nzuri saana na zinabamba, tunazisubiri CD hizo kwa hamu saana! Mbarikiwe saana Umaki

[07/08/12]   Kwa wale wote ambao watahitaji kuto rambi rambi ya marehemu mama Soseleji, tafadhali muwaone viongozi wa TAYO: m/kiti Medard Patrick na Bernard, Katibu Veronica Chiyombo na Mbata; Wahazini Emanuel na da Lilian. Tunataka Mchungaji Soseleji akirudi tu tukamwone na kumkabidhi rambi rambi yetu.

[07/07/12]   ++++++++ TANZIA ++++++++++++

Aliyekuwa Mke wa Padre Soseleji, amefariki dunia siku ya alhamisi na ameagwa leo katika kanisa la Nikolao Ilala then kusafirisha masasi Mtwara kwa ajili ya mazishi. Kwa niaba ya TAYO tabata tunatoa pole kwa wafiwa wote MUNGU awape roho ya uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Marehemu mama Soseleji tutamkumbuka daima. Bwana alitoa na Bwana ametwa, jina la Bwana lihimidiwe.

[06/12/12]   Vijana wa TAYO hamjambo, je una maoni yoyote au mawazo juu ya TAYO, tunakaribisha maoni yako, tuandikie katika wall yetu au kwa email yetu [email protected], tutakujibu na kuyafanyia kazi. Asante

Semina ya vijana tarehe 09.04.2012

Semina ilikua ni ya aina ya kipekee kabisa, ni semina ilikua ni ya kusisimua sana na ya kujenga kwani kila mtu aliifurahia hasa mada zote zilizo andaliwa ziliweza kuwagusa washiriki wote wa semina hii. Pia watoa mada wetu Father Emmaus Mwamakula na Mwinjilist Damiani, kwa kweli ni watu wenye uwezo wa hali ya juu sana wametufundisha na wote waliohudhuria wameelewa na kutaka semina ingekua hadi kesho. Hizi ni baadhi ya picha na video ya semina ya leo. Tunashukuru sana uongozi wa TAYO TABATA kwa kuaanda semina hii.

Semina ilikua ni ya aina ya kipekee kabisa, ni semina ilikua ni ya kusisimua sana na ya kujenga kwani kila mtu aliifurahia hasa mada zote zilizo andaliwa ziliweza kuwagusa washiriki wote wa semina hii. Pia watoa mada wetu Father Emmaus Mwamakula na Mwinjilist Damiani, kwa kweli ni watu wenye uwezo wa hali ya juu sana wametufundisha na wote waliohudhuria wameelewa na kutaka semina ingekua hadi kesho. Hizi ni baadhi ya picha na video ya semina ya leo. Tunashukuru sana uongozi wa TAYO TABATA kwa kuaanda semina hii.

[04/08/12]   Vijana wote mnakaribishwa aktika semina yetu itakayo fanyika leo badae kuanzia sa 9:00 asubuhi. Mhubiri 9:11. Maada kuu katika semina yetu ni.
1. Nafasi ya Mkristo ktk KATIBA ya Nchi: Mwinjilist Damian
2. Nafasi ya kijana ktk Kanisa: Fr. Mwampula
3. Uwakili/Utoaji: Fr. Mwamapula
4. Mahusiano: Fr. Lameck
Wito kwa vijanawote, unaombwa saana uhudhuria ili uweze kupata maada zote nne. Breakfast plus lunch vitapatikana pale kanisani. Bwana akutie nguvu sana.

EASTER DAY 08.04.2012

Sikukuu ya kufufuka kwa bwana wetu YESU Kikristo. Matukio ya kanisani

Sikukuu ya kufufuka kwa bwana wetu YESU Kikristo. Matukio ya kanisani

Semina ya viongozi wa kanisa la MT. Mikael na Malaika zote

Semina ilifana sana na kila aliyehudhuria alifurahia saana na kutoka na jambo jipya katika masuala ya uongozi. Tunasubiria mabadiliko kutokana na semina hii

Semina ilifana sana na kila aliyehudhuria alifurahia saana na kutoka na jambo jipya katika masuala ya uongozi. Tunasubiria mabadiliko kutokana na semina hii

[04/08/12]   Vijana wote mnakaribishwa aktika semina yetu itakayo fanyika leo badae kuanzia sa 9:00 asubuhi. Mhubiri 9:11. Maada kuu katika semina yetu ni.
1. Nafasi ya Mkristo ktk KATIBA ya Nchi: Mwinjilist Damian
2. Nafasi ya kijana ktk Kanisa: Fr. Mwampula
3. Uwakili/Utoaji: Fr. Mwamapula
4. Mahusiano: Fr. Lameck
Wito kwa vijanawote, unaombwa saana uhudhuria ili uweze kupata maada zote nne. Breakfast plus lunch vitapatikana pale kanisani. Bwana akutie nguvu sana.

[04/08/12]   SEMINA! Vijana wote mnakaribiswha katika semina kesho tarehe 09.04.2012 hapa kanisa. Msikose.

Jumapili ya Mitende 01.04.2012

Hizi ni picha za maukio ya jumapili ya mitunde wakati tukifanya maandano kuadhimisha siku ambayo Bwana wetu YESU kristo kuingiza Yerusalem

Hizi ni picha za maukio ya jumapili ya mitunde wakati tukifanya maandano kuadhimisha siku ambayo Bwana wetu YESU kristo kuingiza Yerusalem

TAYO Tabata's cover photo

[03/26/12]   TAYO imeandaa semina ya viongozi wote wa kanisa la mtaa wa Mikael na malaika zote itakayofanyika hapa kanisani tarehe 31.03.2012 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa6 mchana. Katika semina hii pia tumewaalika wenzetu wa Kimanga na Kisukuru. Madhumuni ya semina hii ni kukumbushana na kutambua madhumuni ya kuwa kiongozi na changamoto zake. Tunaomba wale wote walioalikwa waweze kuhudhulia.

[01/23/12]   Wana TAYO, hii issue ya Padre wetu wa mtaa kumfuta uenyekiti Mwenyekiti wetu wa TAYO imekaa. Tunaomba maoni yenu kabla uongozi haujato tamko rasmi!

[01/05/12]   Happy New Year to u all!

[12/15/11]   Sometimes God gives you the best things in life because you wait for them, and pray about them.

[12/13/11]   Kijana mmoja aliyekuwa akijiandaa kwa mahafali ya kuhitimu chuo kikuu, kwa
muda mrefu alikuwa akiitamani gari moja ya kifahari ya kimichezo iliyokuwa
ikiuzwa katika duka moja la magari, na akijua dhahiri kuwa baba yake ana
uwezo wa kununua gari hilo na kumpa yeye kama zawadi yake kwa kuhitimu
masomo vyema, na alimwambia baba yake kuwa hicho ni kitu alichokipenda
Mno.
Kadri siku zilivyokuwa zikisogea kuelekea mahafali kijana huyo alisubiri
kwa hamu kuona dalili za baba yake kumnunulia gari hilo . Siku ya siku
ikafika na asubuhi ya siku hiyo ya mahafali, baba yake alimwita kwenye
chumba chake cha kusomea na kumwambia ' Najivunia kuwa na mtoto bora kama
wewe' na pia akamwambia ni kwa kiwango gani anampenda. Akamkabidhi
kijifurushi cha zawadi kilichofungwa vema kwenye karatasi safi za kufungia
zawadi. Akiwa mwenye hamu kubwa lakini akiwa amekatishwa tamaa alifungua
kifurushi hicho na kukuta ni Biblia nzuri yenye jalada la ngozi na juu yake
kumeandikwa jina la kijana huyo kwa maandishi nadhifu yaliyonakshiwa kwa
dhahabu. Kwa hasira akamfokea baba yake akisema ' Yaani pamoja na pesa zako
zote
unanipa biblia?'akatoka hima ndani ya nyumba hiyo na kuiacha
biblia.
Miaka mingi ikapita na kijana akawa ni mtu wa mafanikio sana kibiashara.
Alikuwa na nyumba nzuri na familia bora, lakini akagundua baba yake ni mzee
sana sasa, na akadhani ni muhimu kwenda kwake... Na alikuwa hajawahi kumuona
tena toka siku ile ya Mahafali. Kabla mipango yake haijatimia, akapokea
waraka wa simu ukimtaarifu kuwa baba yake amefariki dunia, na amemrithisha
kila kitu alichokuwa nacho kijana wake wa pekee. Hivyo alitakiwa kurudi
nyumbani haraka kusimamia mali za
babayake.
Alipofika nyumbani kwa baba yake , alipata uchungu na majuto ya hali ya juu
rohoni. Akaanza kupekua baadhi ya nyaraka muhimu za baba yake ndipo!
alipoikuta ile biblia ikiwa vile vile kama alivyoiacha miaka kadhaa nyuma.
Huku akilia alifungua kurasa za biblia. Baba yake kwa umakini mkubwa
alipigia mistari maneno yaliyopo katika Mathayo 7:11, yanayosema ' basi
ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema,je! Si
zaidi sana Baba yenu aliye Mbinguni atawapa mema wao
wamwombao?. Wakati akisoma maneno hayo, funguo za gari zikadondoka kutoka
katika kurasa za mwisho za biblia. Ikiwa na jina pamoja na alama ya
lile duka la kuuza magari ya kifahari ya kimichezo aliyokuwa akiyapenda sana . Kukiwa na tarehe ile ya siku yake ya mahafali huku imeandikwa ...
IMELIPIWA PESA KAMILI.
Mara ngapi tumezikosa baraka za mwenyezi mungu eti kwa sababu hazijafungwa
tutakavyo? Naamini umefurahia hili somo la leo. Peleka ujumbe huu kwa
wengine. Usipoteze ulichonacho kwa kutamani
usichonacho: Lakini kumbuka ulichonacho sasa ni moja kati ya vitu ulivyo
vitamani huko siku za nyuma. IKIWA ZAWADI UPEWAYO HAIJAFUNGWA KWA KADRI
UTAKAVYO, NI KWA SABABU HIVYO NDIVYO HALI BORA KABISA YA UFUNGWAJI WAKE
ULIOPATIKANA! SIKU ZOTE SHUKURU VITU VIDOGO: KWANI HUWA NA VITU VINGINE
NDANI YAKE!
TAFADHALI TUMA UJUMBE HUU KWA WATU WASIOPUNGUA WAWILI ILI KUFANYA UJUMBE
HUU UENEE.
Mbarikiwe sana Watumishi!!

[12/12/11]   Every soul shall taste death! The conversion time is now, Return to GOD

SEMINA YA VIJANA TAR 09/12/2011 ANGLIKAN TABATA

[12/10/11]   The SEMINA was so wonderful, if u missed it, u missed alot

[12/07/11]   SEMINA YA VIJANA: Kutakuwa na semina ya vijana wote wa kanisa la tabata na wale wa kisukuru na mawenzi siku ya ijumaa tarehe 9/12, pale kanisani tabata. Vijana wote mnaombwa kuhudhuria, semina itaanza saa 3 kamili asubuhi na tutakua na chai pamoja na chakula cha mchana pia soda na maji. USIKOSE, mwambie na mwenzako.

mwananchi.co.tz

Askofu Mokiwa amtega Lowassa Urais 2015

Askofu Mokiwa amtega Lowassa Urais 2015: Gazeti la Mwananchi 24.10.2011

mwananchi.co.tz Mwananchi - Gazeti la Tanzania. Habari Tanzania, Tanzania Habari, Tanzania News, Tanzania News Papers, Mwananchi News, Ajira, Uchambuzi, Jumapili, Michezo, Biashara, Starehe, Siasa, Mwananchi newspaper, magazeti Mwananchi.

Askofu mkuu Valentino Mokiwa, akipokea kitita cha pesa sh. mil.10 taslimu kutoka kwa mke wa Lowassa mama Grace Lowassa kama mchango wa familia yao katika harambee na mil. 10 nyingine kutoka kwa marafiki wa Lowassa

[10/23/11]   Leo ni siku ya mavuno ya dayosis yetu yanayofanyika pale mtaa wa yakob segerea, tunaomba sote tukaahudhuria! bwana awabariki wote.

[09/24/11]   Vijana, kwa kweli bado tuko nyuma saana katika usajili, toka mlipotuweka madarakani hadi leo hii wengi wetu bado hawajarudisha fomu za usajili. Tunawaombeni sana tuweze kukamilisha zoezi hili ili tuweze kutekeleza malengo na mipango mizuri ambayo uongozi imesha panga. MUNGU awatangulie katika hili. AMEN

[09/07/11]   Tunaomba kwa wale wote ambao bado hawajarudisha fomu za usajili wa TAYO, tunaomba wazirejeshe ili tuweze kupanga mazuri kwa ajili yenu. Fomu zirudishwe na sh.1,000 na picha (Passport size) 2. N kwa wale ambao hawakupata fomu hizi au wamepoteza tunaomba watuone uongozi wa TAYO na watapewa mara moja. Asanteni sana.

[08/20/11]   Kwa wale wote ambao hawakupata form za usajili, jumapili hii tutagawa kanisani, tafadhali tunawaombeni muzijaze na mturudishe mapema ili tuweke mikakati yetu vyema. Mubarikiwe sana wapendwa.

TMK hao

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Tabata?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Tabata
Other Religious Organizations in Tabata (show all)
Apostle PKE Patrickkayimbi Emmanuel Apostle PKE Patrickkayimbi Emmanuel
Segerea Tabata
Tabata, 255

I'M APOSTLE P.K.E LIKE THIS PAGE AND SUBSCRIBE NOW ON OUR YOUTUBE CHANNEL CLICK ON THIS LINK https://www.youtube.com/channel/UCho-QS3VAvEQph0e98qsNOA OR GO TO YOUTUBE AND SEARCH DELIVERANCE TV APOSTLE PKE .WELCOME