FPCT-Kitangiri

FPCT-Kitangiri

Comments

CETTE PAGE M,IMPRESSIONE
kumjua yesu kuna faida karib fpct lsamilo mwanza tz
Amina
Ndoa nimpango wa Mungu.
Nijapo sema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
Kuna Nguvu katika MAOMBI
FPCT MWAKIZEGA TUNA WASHUKURU KWAMAOMBI YENU KUOMBEA AMAN SISI PAMOJA NA JIMBO LA KIGOMA TUNA WASHUKURU SANA HAWA NDO VIONGOZ FPCT MWAKIZEGA MCH KIONGOZ JONAS TAHOSIGAYE MAKAM JOEL YOEL PARSH YA KASEKE KATIB ZABURON SAMWEL PARSH YA ILAGALA NAIBU KATIBU SITIVIN KINAMA PARSH YA ILAGARA TAWI LA SAMBARA WAOMBEE SANA KAMA UMEOKOKA

Ratiba ya ibada Jumapili 07:30 -10:00 Asubuhi. Ibada kwa watu wote. 10:30 - 13:00 Asubuhi. Ibada kwa watu wote. 08:00 asubuhi. shule ya Jumapili ya watoto.

Mission: Leta watu mamilioni kwa Yesu

Ni wakati mwafaka kabisa, muimbaji kupata maelekezo na mwongozo, wa kufaya huduma ya unabii, kupitia uimbaji, tuna kukaribisha sana, nikuazia Alhamis hii kama tangazo linavyo elekeza.

IBADA YA KUSHUKURU NA KUHITIMISHA MAOMBI YA SIKU 40
MOTO UMEWAKA

Ibada ya leo trh 28,

IBADA YA KUSHUKURU MUNGU

2017 - 2018

IBADA YA KUKARIBISHA MWAKA MPYA

AMANI KWAYA KUTOKA FPCT NYAKATO WAMETUHUDUMIA KATIKA SEMINA ZA CHRISTMAS

Tukiwa Adepter Rwanda, kwenye kongamano la Maombi/ Ukiamka.

Mungu amekuwa mwema mno....

WIKI YA WATOTO KITAIFA

Tumekuwa na ibada njema,
Roho mtakatifu ametuhudumia kipekee sana.

The Sound of Praise - huima

HII SI YA KUKOSA.
SEMINA YA NENO LA MUNGU KWA AJILI YA WATUMISHI WA MUNGU WAIMBAJI, ITAKAYO FUNDISHWA NA WALIMU WALIOJAA NENO LA MUNGU KATIKA MAISHA YAO.
MASOMO YOTE YANAYOHUSU SIFA NA MUZIKI YATA FUNDISHWA.
PIA UTAFUNDISHWA JINSI YA KUCHOCHEA KARAMA ULIYO NAYO.
NA JUMAPILI TUTAHITIMISHA KWA JUBILEE KUBWA ITAKAYO AMBATANA NA TAMASHA LA SIFA NA PROGRAMU MBALIMBALI ZITAKAZO KUZA IMANI YAKO.
UPATAPO UJUMBE HUU MJULISHE NA MWINGINE.

Please share to others
#sitakufabalinitaishi
#kuyasimuliamatendomakuuyaMungu
#miaka25yahuduma

Bishop Minani Henry
Sunday service FPCT-Kitangiri

Mualike na mwenzako

Newdestiny Singers

Kwa wale mlioguswa na msiba na unahitaji kutuma rambirambi.
Tuma kwenda namba
0755 339 706
Sigi Mwang'ombola

Newdestiny Singers

Napenda kuwajulisha utaratibu wa kumsindikiza ndugu yetu, rafiki yetu, mpambanaji mwenzetu mtumishi wa Mungu EDDY DAMIAN SIMON.
msiba utakuwa kanisani FPCT KITANGIRI MWANZA
Ratiba zote zitaendelea kesho Jumatano.

Mazishi ni Jumatano tarehe 13 September 2017

Ibada ya kuaga itafanyika hapo FPCT KITANGIRI na baadae mazishi malaloni Kitangiri.

Fika kanisa la FPCT KITANGIRI MWANZA tarehe 13 Sep 2017
Tumsindikize ndugu yetu.

Mtaarifu na Mwingine

Newdestiny Singers

KWA MASIKITIKO TUNATANGAZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA KWAYA HII YA NEW DESTINY SINGERS.

KWA NGUVU ZOTE TUNATANGAZA HUYU NI SHUJAA AMEVIPIGANA VITA VIZURI IMANI AMEILINDA

JINA LA YESU KRISTO LITUKUZWE
AMEN.

The Sound of Praise - huima

Karibuni tusherehekee pamoja

HITIMISHO

HITIMISHO

HITIMISHO

Maombi ya kuombea Tanzania

Maombi yanaendelea na tunahitimisha leo

Maombi yanaendelea na tunahitimisha leo

FPCT KITANGIRI MWANZA
KONGAMANO LA MAOMBI LA UMOJA WA UKIAMKA

FPCT KITANGIRI MWANZA
KONGAMANO LA MAOMBI LA UMOJA WA UKIAMKA

Karibuni kwa maombi

Picha za siku

MUHIMU KWA VIJANA AMBAO HAMJAOA SOMA
Vijana wa sasa wengi wametumia njia za mkato kupata wenzi wa maisha, wakiogopa gharama za maali na maandalizi ya sherehe. Nikutie moyo kijana sherehe ni utaratibu wa kisasa kutokana na maendeleo yanavyokuja. Ukweli ni kwamba harusi haina ulazima wa kufanya sherehe kubwa ukumbi mkubwa magari ya kifahari hapana. Bado una nafasi ya kufanya kitu ambacho wewe utaona ni kidogo lakini mbele za Mungu ni kikubwa. Mfano mzuri ni kijana pichani, bajeti ya sherehe ya harusi yake ni 500,000/=
Amefanya sherehe ya mwana kondoo.
Baada ya ndoa kufungwa tulipumzika tukapiga picha hapo hapo kanisani, chakula kikaletwa na soda moja moja, ukumbi ni hapohapo kanisani kila aliyekuwepo alipata chakula bila kadi na watu walibarikiwa sana. Vijana walikuwa na wakati mzuri wa kujifunza na kutiana moyo

KIJANA USITOROSHE BINTI WA WATU
KIJANA USIPITE NJIA ZA MKATO
KIJANA BADO UNA NAFASI YA KUMUHESHIMU MUNGU
KIJANA USIPOTEZE UAMINIFU KWA MUNGU KWA SABABU MWILI UNA KUSUMBUA
DHAMBI NI MAUTI
BAKI KATIKA NJIA YA BWANA
HARUSI SIO KWENDA UKUMBI ZA KIFAHARI KUTUMIA MILIONI KADHAA
SHEREHE NDOGO INATOSHA
HATA TUKILA WALI MAHARAGE
CHA MSINGI NI KUMUHESHIMU MUNGU ALIYEKUUMBA

KWA KUSEMA HAYO VIJANA MUOE SASA USITOROSHE, USISUBIRI UJE UZAE WATOTO WAKUITE BABU, IMETOSHA KUJIPANGA USISUBIRI UNUNUE GARI NDIO UOE
WAKATI ULIOKUBARIKA NI SASA

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Address


83
Mwanza
Other Religious Organizations in Mwanza (show all)
Efatha Ministry Mwanza Efatha Ministry Mwanza
P.o.box
Mwanza, 11626

The Official Efatha Ministry MWANZA page. You tube: https://youtu.be/vb7qVVxIfO8 http://www.instagram.com/efathamwanza

St.dominic Pastoral Centre Archdiocise of Mwanza St.dominic Pastoral Centre Archdiocise of Mwanza
PO Box1527 MWANZA TANZANIA
Mwanza, +255

www.stdominicpastoral.or.tz

Tanzania Baptist Youth Ministry Tanzania Baptist Youth Ministry
P.O.BOX 11794
Mwanza

To provide a KNOWLEDGE of Jesus Christ HOPE for the future PEACE of mind and an assurance ETERNAL LIFE for the Youth.

Ukombozi church Ministries Ukombozi church Ministries
P.O.Box 10568 Nyamagana
Mwanza, +255

This is An Official Account, we want to show the world extra ordinary Miracles that Lord Jesus is doing through our Ministry. Web: www.ukombozichurch.org

Huduma ya Maandiko Huduma ya Maandiko
P.O. Box 2017
Mwanza, 25528

Worlds Largest Christian Bible Study site. All available as a free download .

LIFE Givers Ministries International LIFE Givers Ministries International
Mwanza
Mwanza, 30585

Our vision is to win the lost souls back to Christ and prepare the church for the rapture.

ELVD - ELCT ELVD - ELCT
P.O. Box 423
Mwanza

East of Lake Victoria Diocese (ELVD) is part of the Lutheran Church in Tanzania (ELCT). Our home base is Mwanza, next to Lake Victoria.

New Vine Church New Vine Church
Gloryland,Nyanembe-Buhongwa
Mwanza, +255

NVC is a Church committed to see the raising of great Godly generation with the aim of making impact, changing lives and influence the World.

Nyakato Seventh Day Adventist Church Mwanza Tanzania. Nyakato Seventh Day Adventist Church Mwanza Tanzania.
Nyakato - Mwanza, Tanzania
Mwanza

Jesus Restoration Centre - JRC Church Jesus Restoration Centre - JRC Church
Kirumba
Mwanza, 255

Jesus Restoration Centre ni kanisa la kipentekoste lililopo chini ya uongozi wa Mchungaji George Mukabwa. Kanisa hili lilianza Novemba, 2011.

Africa Inland Church Tanzania-AICT Africa Inland Church Tanzania-AICT
Mwanza

This is an official page of Africa Inland Church-Tanzania[AICT]

About   Privacy   Login C