ELVD - ELCT

ELVD - ELCT

Comments

Tunaishi kwa NEEMA ya Mungu tu
Bsp. Gulle - It is with sadness that we heard of Amos' passing into the Church Triumphant. Amos was a good kid and we enjoyed the help and assistance he gave us. May the Lord smile upon Amos' family. The Pyles
Mungu mwaninifu kwa viumbe vyake, Mwanadamu ni changamoto maana duuh ubaguz,unyanyapaa,ukandamizi,na roho mbaya hutawala. Tujitahidi kumshirikisha Mungu wetu itusaidie ili angalau kidogo ,
*MIKAELI NA WATOTO * tunawasalimu kutoka KKKT UKARA

East of Lake Victoria Diocese (ELVD) is part of the Lutheran Church in Tanzania (ELCT). Our home base is Mwanza, next to Lake Victoria.

Contacts: Bishop Andrew Petro Gulle: [email protected] General Secretary Rogath Lewis Mollel: [email protected] Assistant Bishop Oscar Lema: oscarlema11yahoo.com

Wachungaji wa ELVD -ELCT
Andrew Petro Gulle; Oscar Lema; Nalogwa Ibrahim Shango Lilian Mushi Kwerakwiza Rubindamayugi Peweni Kikoti; Joseph Nyamanza; Peter Buch; Kirsten Buch; Samson Madata; Riitta Heino; Olkki Heino; Stephano Ling'hwa; Daniel Kaijunga; Jonah Mkumbwa; Kilimba Amos ; Manase Moghu ; Zakayo Maliganya; Emmanuel Gladson Mwaikuju; MacDonald Mabula; Philbert Celestin; Julia Mutungi; Elias Laurent Busagala; Martin Musa; Hanna Oja-Nisula; Jonathan Pancreas; Samwel Edwin Majule; Godblsless Lema; Martha Ernest; na wengine wengi...

Chukua tahadhari - nunua barakoa!
Chuo cha Biblia na Theologia Nyakato kimeona vyema kutengeneza barakoa kwa ajili ya tahadhari ya kirusi cha korona.

Tunauza kwa bei nafuu sana, 1,000 Tsh/moja.

Tunawapenda - tunajali afya yenu.

Weka order +255 742 379 375

[11/03/18]   It's there again tomorrow
Imani Lutheran Cathedral Parish (nearby the Rock City Mall, Makongoro Road, whitish building, other gate it’s along the Balewa Road) presents Broken English & Kiswahili service at 1 pm. For now it's every first Sunday of the month.
You are warmly welcome!

Photos from ELVD - ELCT's post

Tunamshukuru Mungu kwa anavyotuhudumia katika Mkutano Mkuu wa XIV wa KKKT - DMZV 26-29/09/2018 kupitia mnenaji wa Neno Kuu Askofu Dr. Peter Kitula wa AICT. "... na tupige mbio kwa saburi ... tukimtazama Yesu" Ebr. 12:1-2.

Dayosisi Mashariki ya ziwa Victoria, Imebariki Wachungaji 12 tarehe 28/01/2018. Katika Usharika wa Ebenezer Pasiasi. Askofu Andrew P. Gulle akiweka pia wakifu Pikipiki kwa Ajili Injili na kuwakabidhi wachungaji waliobarikiwa. Hata sasa Bwana Ametusaidia

ASWA Nkome

youtube.com

KKKT-DMZV

https://youtu.be/MvV_bLU7p3U

Utufuate

ASKOFU NA WAHUBIRI NKOME 2017

ELVD - ELCT's cover photo

January Makamba

"Deni la kukata miti bila kupanda ni deni haramu; unawaibia wale ambao bado hawajazaliwa." - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere #TukutaneButiama #MazingiraNiMaisha

Mazishi ya Rev. Benjamin N. Shalua 30-01-2017

Neema ya Mungu yatutosha maishani Mwetu.
Nyakati zote Upendo wa Mungu unatuzunguka.
Pumzika kwa Amani Mchg. Benjamin Shalua.

Neema ya Mungu yatutosha maishani Mwetu.
Nyakati zote Upendo wa Mungu unatuzunguka.
Pumzika kwa Amani Mchg. Benjamin Shalua.

Ordination of 9 Pastors ELCT- ELVD on 29.01.2017 at Imani Cathedral. Glory to God!

"Hata sasa Bwana Ametusaidia"
Kupata Watenda kazi shambani Mwake. Haleluya!!!

ELVD - ELCT's cover photo

Watheolojia 9 Wamebarikiwa kuwa Wachungaji 29-01-2017

"Hata sasa Bwana Ametusaidia"
Kupata Watenda kazi shambani Mwake. Haleluya!!!

"Hata sasa Bwana Ametusaidia"
Kupata Watenda kazi shambani Mwake. Haleluya!!!

ELVD - ELCT

Mazishi ya Rev. Edward Mmbaya 21-01-2017

Nyehunge 2016  - wiki ya ASWA (askofu na wahubiri)

Neno kuu:
"Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemwa na mizigo, nami nitawapumzisha." Mathayo 11:28

Tulikwenda kwa ajili ya kujenga na kuimarisha kanisa.

Wengi walianza kumfuata Yesu, wengi walipata faraja, wengi walifunguliwa, wengi walitua mizigo yao kwa Yesu, wengi walibatizwa.

Hata jengo la kanisa lilisonga mbele.

Siku zilikuwa zenye furaha.
Mungu ni mwema! Jina la Yesu litukuzwe!

Tuendelee kuomba kwa ajili ya watu wa Nyehunge. Mungu aendelee kuwaimarisha kila siku mpaka mwisho wa dahari.

Neno kuu:
"Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemwa na mizigo, nami nitawapumzisha." Mathayo 11:28

Tulikwenda kwa ajili ya kujenga na kuimarisha kanisa.

Wengi walianza kumfuata Yesu, wengi walipata faraja, wengi walifunguliwa, wengi walitua mizigo yao kwa Yesu, wengi walibatizwa.

Hata jengo la kanisa lilisonga mbele.

Siku zilikuwa zenye furaha.
Mungu ni mwema! Jina la Yesu litukuzwe!

Tuendelee kuomba kwa ajili ya watu wa Nyehunge. Mungu aendelee kuwaimarisha kila siku mpaka mwisho wa dahari.

Wapendwa mnaombwa ku-share tangazo la chuo cha biashara Mwanza. Mungu awabariki.

Salamu kutoka Kongamano la KKKT, Dodoma. Wawakilishi wa DMZV wako safi!

Vijana kutoka dayosisi yetu wanaelekea Dodoma kwa kushiriki Kongamano la nne la KKKT. Mungu awatangulie.

Tumepata wageni kutoka Dayosisi ya Oulu, Finland. Askofu Samuel, mama askofu, msaidizi wa askofu na mkurugenzi wa idara ya missioni wanatutembelea mpaka J2. Kesho watashiriki mahafali ya chuo chetu. Akina mama wachungaji walikutana leo na mama askofu Salmi. Kweli umoja na upendo ni sawadi pekee kutoka Mungu!

ELVD Sinema Leo movie team visited together with the pastor of the congregation rev Alloys in Goziba island for mission work. ELVD has a large area including also many islands of Lake Victoria.

Leo tulikuwa Ibada ya Kuwabariki wachungaji 14 katika Usharika wa Neema - Nyegezi. Tumshukuru Mungu kwa watumishi hawa!

Leo tumeshiriki Chakula cha Krismasi katika ELVD makao makuu. Ofisi tutafunga tar. 19.12.2015

Wahasibu wa KKKT-DMZV wakifanya kazi ya kuandaa mizinga kwa ajili ya mradi mpya wa nyuki wa asali katika shamba la Malya. Wahasibu hao wanahudhuria mafunzo ya uhasibu katika chuo cha michezo Malya wakiwezeshwa na CORAT Africa.

Washiriki wa kozi ya uhasibu KKKT-DMZV walitembelea shamba la Malya na kufanya kazi ya kutundika mizinga 40 ya nyuki na kufanya maombi ya kuanza mradi wa nyuki wa asali, Jumamosi tarehe 19.09.2015.

Sunday service at newly planted church at Nyampalahala. The church is less than one month old. more than 300 congregants worshiped on 30.09.2015. They need your prayers, they need your support. Yesterday was the first time for them to use hymn book "Tumwabudu Mungu wetu". Thank you for support from Western Church District for your support of 10 books worth Tshs. 100,000. The head office supported 20 books. They are collecting/contributing stones and blocks for their church building. they need support to build the church, they need hymn books, they need Bibles, They need support for evangelist's transport. Pray for this young Church!

Sherehe katika Mabatini shule ya secondary (Mwanza) kuweka jiwe la msingi kwa jengo la maabara tar.8.8.2015. Limewekwa na askofu Andrew Petro Gulle kutoka ELVD na askofu Samuel Salmi kutoka Oulu Diocese kutoka Finland.

"Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe" Leo tumeaga Mch Kulliani katika Imani Cathedral, Mwanza.

TANZIA: Wapendwa, kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha kuwa Mchungaji Adam Kulliane amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospiali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa. "Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe"

Mahafali ya 4 ya chuo cha kilutheri Nyakato tarehe 16.05.2015. Mungu ukawawezeshe wahitimu WATHEOLOJIA, WAINJILISTI NA PARISH WORKERS kukutumikia wewe vema.

Mahafali ya 4 ya chuo cha kilutheri Nyakato tarehe 16.05.2015. Mungu ukawawezeshe wahitimu WATHEOLOJIA, WAINJILISTI NA PARISH WORKERS kukutumikia wewe vema.

Mahafali ya 4 ya chuo cha kilutheri Nyakato tarehe 16.05.2015. Mungu ukawawezeshe wahitimu WATHEOLOJIA, WAINJILISTI NA PARISH WORKERS kukutumikia wewe vema.

Ujenzi wa Jengo la Utawala MWANZA LUTHERAN SECONDARY SCHOOL unaendelea. Baba Askofu Andrew Gulle ameweka Jiwe la Msingi tarehe 4.3.2015. Karibu tushiriki kazi hii.

Some pictures of ELVD mission week in Nyasenga. About 160 people were baptized in the sunday worship.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


P.O. Box 423
Mwanza
Other Religious Organizations in Mwanza (show all)
Nyakabungo Calvary Baptist Church Nyakabungo Calvary Baptist Church
Box,1074
Mwanza

Teaching and Preaching

New Vine Church New Vine Church
Gloryland,Nyanembe-Buhongwa
Mwanza, +255

NVC is a Church committed to see the raising of great Godly generation with the aim of making impact, changing lives and influence the World.

UHURU UHURU
ISAMILO
Mwanza

Uhuru wa mawazo fikra.kira mtu ana uhuru wa point ispokuwa usiende kinyume na sheri.

Press and Publicity Team- New Vine Church Press and Publicity Team- New Vine Church
NYEGEZI
Mwanza, 1345

Ukurasa huu una dhamira ya kufikisha mafundisho ya Neno la MUNGU na kusababisha matokeo ya kazi ya MUNGU kujulikana kwenye jamii kubwa ya watu.

Lumala Seventh-Day Adventist Church Lumala Seventh-Day Adventist Church
Lumala
Mwanza, 1724

Tumeitwa kuwa wajumbe wa Mungu duniani. Karibu tumwabudu na kumtumikia Mungu kwa kicho.

FPCT-Kitangiri FPCT-Kitangiri
83
Mwanza

Ratiba ya ibada Jumapili 07:30 -10:00 Asubuhi. Ibada kwa watu wote. 10:30 - 13:00 Asubuhi. Ibada kwa watu wote. 08:00 asubuhi. shule ya Jumapili ya watoto.

ECG Church Mwanza Branch ECG Church Mwanza Branch
Pasiansi
Mwanza

This is the official page of Enlightened Christian Gathering church (ECG) MWANZA TANZANIA

House on the Hill Church House on the Hill Church
Nyashana
Mwanza

House on the Hill is a vibrant church that loves God, loves people and lives life with passion.

Huduma ya Maandiko Huduma ya Maandiko
P.O. Box 2017
Mwanza, 25528

Worlds Largest Christian Bible Study site. All available as a free download .

Nyakato Seventh Day Adventist Church Mwanza Tanzania. Nyakato Seventh Day Adventist Church Mwanza Tanzania.
Nyakato - Mwanza, Tanzania
Mwanza

Africa Inland Church Tanzania - AICT Africa Inland Church Tanzania - AICT
P.O Box 905 Makongoro Street, Plot No 66
Mwanza

Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God).

Melkizedeki Hope International Melkizedeki Hope International
Plot No. 114 Block "B" Nyakato National, P.O. Box 1844
Mwanza, 25528

We support orphans and offer access to basic needs to the poor. Please give food, clothes, shoes, bedding or education to the needy.

About   Privacy   Login C