Bethel Fellowship Center -Butimba

Bethel Fellowship Center -Butimba

2018
Ni mwaka wa kumiliki
tumevuka, tunatabiri kumiliki .

Kweli Hapa Bethel tunamwabudu Mungu aliye hai
Ungana nasi tumwabudu YESU pamoja jumapili hii, tunakupenda Sana!
Tuko Butimba mtaa wa Amani.

Karibuni sana

Bwana Yesu Asifiwe,
Usikose ibada iliyojaa utukufu wa Mungu siku ya kesho hapa TGC BETHEL BUTIMBA mtaa wa AMANI.
Saa 1 hadi saa 3 asubuhi ni ibada ya kwanza, na ibada ya pili ni kuanzia saa 4 na kuendelea.
Maombezi kwa wenye mahitaji mbalimbali yatafanyika ibada ya pili na Askofu Robert Bundala,
Usikose,
Karibu tumwabudu na kumsifu Mungu pamoja.

Bwana Yesu Asifiwe,
Tunakukaribisha katika ibada nzuri ya kumsifu Mungu, Kumwabudu Mungu na kujifunza neno la Mungu siku ya kesho hapa TGC BETHEL BUTIMBA mtaa wa AMANI.
Saa 1 hadi saa 3 asubuhi ni ibada ya kwanza, na ibada ya pili ni kuanzia saa 4 na kuendelea.
Maombezi kwa wenye mahitaji mbalimbali yatafanyika ibada ya pilia na Askofu Robert Bundala,
Usikose,
Karibu tumwabudu na kumsifu Mungu pamoja.

Bethel Fellowship Center -Butimba

Bethel Fellowship Center -Butimba's cover photo

Hitimisho la Maombi ya siku 21, hakika tumemwona Mungu, Na tunaamini tumepokea majibu yetu.

Tunamshukuru Mungu kwa mkesha mkubwa tuliokua nao siku ya Jana, Roho wa Mungu alitutembelea kwa namna ya pekee sana.
USIKOSE KUFIKA KWENYE IBADA ZETU SIKU YA KESHO

[01/18/17]   Bwana Yesu asifiwe.
Bethel Fellowship Centre-Butimba tunakukaribisha katika mkesha mkubwa wa maombi ya kufunguliwa afya na uchumi ili uanze majira mapya 2017' utakaofanyika siku ya ijumaa
tarehe 20/1/2017 kanisani
kuanzia SAA 3:00 usiku. Njoo na rafiki yako , ndugu yako na jirani yako, tumwombe Mungu pamoja.
TUPO BUTIMBA MTAA WA AMANI

*MKESHA HUU SI WA KUKOSA*

Karibu Bethel Fellowship Centre, njoo tumwabudu Mungu Pamoja, siku ya kesho.
Ibada ya kwanza 01:00 - 03:00 asubuhi
Ibada ya pili. 04:00 - 07:30 Mchana

*TUKO BUTIMBA , MTAA WA AMANI*

Timeline Photos

Tunamshukuru Mungu Leo tumekuwa na ibada nzuri ya Baraka ya kumshukuru Mungu kwa ajiri ya mambo aliyotutendea mwaka 2016. Hakika tumemwona Mungu.
Tumekula na kunywa pamoja kama familia.
Utukufu tunamrudishia Mungu.

Happy new year 2017

Karibu, karibu sana katika ibada

Karibu katika ibada,
Tunakupenda sana na Yesu anakupenda sana.

Photos from Bethel Fellowship Center -Butimba's post

Tunamshukuru Mungu tumekuwa na wakati mzuri na mtumishi Wa Mungu kutoka Congo. Hakika tumebarikiwa.

Bethel Fellowship Center -Butimba's cover photo

Timeline Photos

Photos from Bethel Fellowship Center -Butimba's post

Utukufu kwa Mungu! Zaidi ya watu 20 leo wamempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao na kubatizwa chini ya Askofu Robert Bundala akishirikia na mchungaji Benjamini

Kanisa la Bethel fellowship center Butimba wanayofuraha kubwa kuwakaribisha kwenye mkesha uliojaa nguvu za Mungu utakaofanyika kanisani Bethel fellowship center Butimba ijumaa hii tar 29/04/2016 kuanzia saa 3 usiku hadi saa 11 alfajiri. Njoo tuombe pamoja!!!! Kumbuka kuwa kuomba kwa mwenye haki kwafaa Sana akiomba kwa bidii. Yakobo 5:16

Bwana amekuwa akimtumia Sana mtumishi wake Askofu Robert Bundala kutenda miujiza na maajabu hivyo usikose kuudhuria ibada za kesho kanisani TGC Betheli Butimba ibada ya kwanza inaanza saa1-3 asubuhi na ya pili saa 4 asb hadi 7 mchana. Fika upokee muujiza wako!!!!

Photos from Bethel Fellowship Center -Butimba's post

Photos from Bethel Fellowship Center -Butimba's post

Bethel Fellowship Center -Butimba's cover photo

Ratiba za Ibada .
KARIBU SANA

Tazama jinsi ilivyo vyema, na kupendeza, ndugu wakae pamoja, kwa umoja

Kumshukuru Mungu ni jambo jema sana, kwa yale yote aliyotenda maishani mwetu kwa mwaka uliopita

Sherehe za mwaka mpya 2016
Utukufu kwa Mungu

Sherehe za mwaka mpya 2016
Utukufu kwa Mungu

Ni ibada ya kumshukuru Mungu na kufunguliwa vifungo vya umaskini na magonjwa.
Karibu tumshukuru Mungu kwa pamoja, na kuufurahia mwaka mpya 2016 pamoja tukileta mahitaji yetu ya mwaka kwa Mungu.
KARIBU SANA.

Bethel Fellowship Center -Butimba

Tumekuwa na ibada njema sana iliyojaa nguvu za Mungu siku ya leo katika kukumbuka kuzaliwa kwa Mkombozi wa ulimwengu wote Yesu Kristo.

Photos from Bethel Fellowship Center -Butimba's post

Mchungaji wetu Robert Bundala

Bethel Fellowship Center -Butimba

Bethel Fellowship Center -Butimba's cover photo

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Address


Mwanza
Other Religious Organizations in Mwanza (show all)
Peter Mbajije victory - Angaza Gospel Peter Mbajije victory - Angaza Gospel
Tanzania
Mwanza, 83

Utukufu una yeye aliyezifanya mbingu na Nchi.What'sp no (+255) 752 107 183 Email:[email protected]

ECG Church Mwanza Branch ECG Church Mwanza Branch
Pasiansi
Mwanza

This is the official page of Enlightened Christian Gathering church (ECG) MWANZA BRANCH TANZANIA

Tanzania Baptist Youth Ministry Tanzania Baptist Youth Ministry
P.O.BOX 11794
Mwanza

To provide a KNOWLEDGE of Jesus Christ HOPE for the future PEACE of mind and an assurance ETERNAL LIFE for the Youth.

UHURU UHURU
ISAMILO
Mwanza

Uhuru wa mawazo fikra.kira mtu ana uhuru wa point ispokuwa usiende kinyume na sheri.

Efatha-Mwanza Efatha-Mwanza
Mwanza
Mwanza, P.O.BOX 11626

Efatha mwanza is located at nyakato nundu B in we are among the church which are growing very fast. We are running the vision and mission of Apostle J.E.M

New Vine Church New Vine Church
Gloryland,Nyanembe-Buhongwa
Mwanza, +255

NVC is a Church committed to see the raising of great Godly generation with the aim of making impact, changing lives and influence the World.

Jesus Restoration Centre - JRC Church Jesus Restoration Centre - JRC Church
Kirumba
Mwanza, 255

Jesus Restoration Centre ni kanisa la kipentekoste lililopo chini ya uongozi wa Mchungaji George Mukabwa. Kanisa hili lilianza Novemba, 2011.

LIFE Givers Ministries International LIFE Givers Ministries International
Mwanza
Mwanza, 30585

Our vision is to win the lost souls back to Christ and prepare the church for the rapture.

A.M.O BIBLE College Tanzania A.M.O BIBLE College Tanzania
Mwanza

We are christian organization that help pastors to aquire education through training and planting new colleges and churches.

Africa Inland Church Tanzania-AICT Africa Inland Church Tanzania-AICT
Mwanza

This is an official page of Africa Inland Church-Tanzania[AICT]

Bujora Sukuma Museum Bujora Sukuma Museum
Bujora Cultural Centre (Sukuma Museum)
Mwanza, 76

Visit us and discover the traditional and contemporary life of the Sukuma people. Tour the museum and join us for the annual Bulabo Dance Festival in June!