ECG Church Mwanza Branch

ECG Church Mwanza Branch

This is the official page of Enlightened Christian Gathering church (ECG) MWANZA BRANCH TANZANIA

IBADA ZETU NI KAMA IFUATAVYO:-

Jumanne- Diplomatic Service saa 10:00 Jioni
Alhamisi - Healing and Deliverance saa 10:00 Jioni
Jumapili -prophetic service saa 2:00Asubuhi

Tafadhali kwa wewe unaetokea Igoma au Buhongwa panda gari zinazokwenda Airport au Ilemela kisha shuka kituo cha Pasiansi.
Na kwa wewe unaetokea Airport au Ilemela tafadali panda gari zinazokwenda Buhongwa au Igoma kisha shukia kituo cha Pasiansi.

Ukifika Pasiansi ulizia chuo cha Maliasili , kisha njoo na hiyo barabara ya Maliasili moja kwa moja usikatize kushoto wala kulia hadi utakapofika Ladson hall ambapo hatua chache kutoka hapo , utaona HEMA LA MAJIBU .

SHALOOOM

Ibada ya jumapili | Kanisa la ECG | Tawi la Mwanza | 22.09.2019

Mwezi wa Tisa ni mwezi wa uzao Kama baba yetu nabii mkuu Shepherd Bushiri alivyotangaza, usipange kukosa jumapili hii ya Urejesho (Restoration Sunday) katika kanisa la ECG Pasiansi Mwanza kuanzia saa 02:00 asubuhi Hadi saa 08:00 mchana.

IBADA ZETU NI KAMA IFUATAVYO:-

Jumanne- Diplomatic Service saa 10:00 Jioni
Alhamisi - Healing and Deliverance saa 10:00 Jioni
Jumapili -prophetic service saa 2:00Asubuhi

Tafadhali kwa wewe unaetokea Igoma au Buhongwa panda gari zinazokwenda Airport au Ilemela kisha shuka kituo cha Pasiansi.
Na kwa wewe unaetokea Airport au Ilemela tafadali panda gari zinazokwenda Buhongwa au Igoma kisha shukia kituo cha Pasiansi.

Ukifika Pasiansi ulizia chuo cha Maliasili , kisha njoo na hiyo barabara ya Maliasili moja kwa moja usikatize kushoto wala kulia hadi utakapofika Ladson hall ambapo hatua chache kutoka hapo , utaona HEMA LA MAJIBU .

SHALOOOM

SUNDAY OF TAKING OVER

Maombi na uponyaji kutoka kwa mtoto wa nabii mkuu Shepherd Bushiri katika Ibada ya Take Over

Ibada ya inaendelea na watu wanapelekwa katika viwango vingine kiroho, kiuchumi na kiafya (Sunday of Taking over )

JUMAPILI KUU YA KINABII

IBADA YA KUMILIKI (TAKING OVER)

Ikiwa leo ni ibada ya kuchukua au kumiliki chochote ulichokuwa unakihitaji katika maisha yako, na muda huu tayari mwana wa nabii mkuu Shephard Bushiri, Prophetic Pastor Philipo Msengi ameshasimama madhabahuni ili kufungua wote waliokuwa wamefungwa na nguvu za giza kuzuia kupokea unacho kihitaji.

STAY CONNEDCTED!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kesho ni jumapili ya pili ya mwezi wa tisa, Ni siku ambayo tunaenda kupata kibali Cha Taking Over, usipange kukosa Ni katika kanisa la ECG Pasiansi Mwanza

Don't plan to miss this comming sunday of TAKING OVER

Alhamisi ya Maongezeko, usipange kukosa katika kanisa la Hema la majibu ECG Mwanza lililopo Mwanza Pasiansi karibu na hoteli ya Ladson.

Semina ya siku tatu ya "UZAO WA MUNGU KUMILIKI NA KUTAWALA"
ni kuanzia Alhamisi hii ya tarehe 05 mpaka 07mwezi 09/2019 kuanzia saa 09:00 Alasiri mpaka 12:00 jioni, Semina hii itaongozwa na Pastor Deus John kutoka Dar es salaam Kigamboni na mwenyeji wa wake Pastor Philipo Msengi njoo wewe, ndugu jamaa na marafiki ukashuhudie Wana wa nabii mkuu Shepherd Bushiri wakidhihirisha nguvu ya Mungu wa Major 1.

Kumbuka watakuwa wakitabiri, kuombea wagonjwa na Kufungua Waliofungwa na nguvu za giza, pia watakufungulia milango ya kiuchumi na yaliyokuwa hayawezekani Mungu wa Major 1 atayafanya kuwezekana katika jina kuu la Yesu Kristo Wanazareth.

Jumapili ya HAKI NA BARAKA Inakujia ni tarehe 18/08/2019 katika kanisa la Hema la Majibu Pasiansi karibu Ladson hoteli, na Prophetic pastor Philipo Msengi mwana wa nabii mkuu Shepherd Bushiri.

Usipange kukosa share hii post kwa mwingine, Amen

#NewBegging
#FinancialRevival
#OpenDoors

Ni leo hii, usipange kukosa

Je umefungwa katika eneo la biashara, au unatafuta kazi na haupati, au kiuchumi au kupanda cheo Sasa ni zamu yako ya kufunguliwa. Kutana na Prophetic pastor Philipo Msengi mwana wa nabii mkuu, siku ya Alhamisi hii ya tarehe 15/08/2019, kuanzia saa 09:00 Alasiri Hadi 12:00 Jioni mahali ni Kanisa la Hema la Majibu Pasiansi karibu na Ladson Hoteli.

Share kwa mwingine :-

#FinancialRevavial
#NewBegging
#GodIsStillSpeakingToDay

TAFADHALI ENDELEA KUHUDHURIA KATIKA

IBADA ZETU NI KAMA IFUATAVYO:-

Jumanne- Diplomatic Service saa 10:00 Jioni
Alhamisi - Healing and Deliverance saa 10:00 Jioni
Jumapili -prophetic service saa 2:00Asubuhi

Tafadhali kwa wewe unaetokea Igoma au Buhongwa panda gari zinazokwenda Airport au Ilemela kisha shuka kituo cha Pasiansi.
Na kwa wewe unaetokea Airport au Ilemela tafadali panda gari zinazokwenda Buhongwa au Igoma kisha shukia kituo cha Pasiansi.

Ukifika Pasiansi ulizia chuo cha Maliasili , kisha njoo na hiyo barabara ya Maliasili moja kwa moja usikatize kushoto wala kulia hadi utakapofika Ladson hall ambapo hatua chache kutoka hapo , utaona HEMA LA MAJIBU .

SHALOOOM!

STAY CONNECTED!!!!!!!!!

SUNDAY SERVICE
UAMSHO WA KIUCHUMI
2Wafalme 4:1-7
“Basi mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha Bwana ; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa……….”
Katika maadiko haya tunajifunza kuwa tusiweke wazi kila kitu, ambacho unataka kufanya kwasababu huyo mke mwana wa nabii angewaeleza watu kuwa anahitaji vyombo vitupu kwaajiri ya nini wasinge mpatia au wangemfanyia hila ili kuharibu muujiza wake.

1Wafalme 17:9-16
Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko.Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.
Katika mstari huu tunajifunza kuwa si kwamba kulikuwa hakuna matajiri Serepta, bali Mungu alimchagua mwanamke mjane, maskini, kwasababu ya moyo wake wa unyenyekevu kwa Mungu.
Wanawake wote wawili, wa kwanza alimlalamikia Mungu na wa pili alimtumikia Mungu bila kujali hali yake aliyokuwa nayo

#NewBeggining
#FinancialRevival

Shalom shalom wana wa Mungu wa ndani ya jiji la Mwanza na nje ya jiji la Mwanza, napenda kuwakaribisha katika Ibada kubwa ya UHAMUSHO WA KIUCHUMI. Itakayoongozwa na Prophetic Pastor Philipo Msengi mwana wa nabii mkuu Shepherd Bushiri, Ni katika kanisa la Hema la Majibu Pasiansi Mwanza karibu na Ladson Hoteli. Kuanzia saa 02:00 asubuhi Hadi saa 08:00 mchana.

Usipange kukosa njoo wewe, ndugu, jamaa na marafiki uone mkono wa Mungu wa Major 1 ukikupeleka katika viwango vingine vya kiuchumi, amen.

#Propheticchannel
#GodOfMajor1
#EcgChurchMwanzaBranch

Mwanza Mwanza mpo tayaaari!!! Ni siku moja tu imebaki kufika Ile siku tuliosubiria kwa muda mrefu ya Kongamano la ROHO MTAKATIFU NA MAOMBI, litakalofanyika katika kanisa la ECG Pasiansi Mwanza karibu na Ladson hoteli, kuanzia tarehe 02 mpaka 04 August 2019, Kumbuka tarehe 02 na 03 muda ni saa 09:00 Alasiri Hadi 12:00 jioni na tarehe 04 ni saa 02:00 asubuhi mpaka 08:00 mchana.
Kongamano Hilo litaongozwa na Apostle Mtalemwa Dionis mwana wa nabii mkuu Shepherd Bushiri, usipange kukosa njoo wewe, ndugu, jamaa, na marafiki pia walete wagonjwa watapona, viwete watatembea, viziwi watasikia, wenye Kansa,Kisukari na HIV zitapona hapohapo na Waliokosa ajira na kukosa uzao watapa maana tunaye Mungu wa Major 1 anayeongea mpaka sasa,.

Uonapo ujumbe huu share kwa mwenzako, Amen

#GodIsStillSpeakingToDay
#GodOfMajor1
#PropheticChannel
#MakeJesusFomus

Zimebaki siku tatu (3) kuelekea katika Kongamano la Kinabii la Roho Mtakatifu na Maombi litakalofanyika kuanzia tarehe 02 hadi 04 August 2019 na mwana wa nabii mkuu Apostle Mtalemwa Dionis ni katika Kanisa la ECG Pasiansi Mwanza karibu na Ladson hoteli, kumbuka muda ni kuanzia saa 09:00 Alasiri Hadi 12:00 Jioni kwa tarehe 02 na 03 na siku ya tarehe 04 ni kuanzia saa 02:00 asubuhi mpaka saa 08:00 mchana.
Walete wagonjwa wa HIV, Kansa, Kisukari, nk nao wataponywa hapohapo, Waliofungwa na nguvu za giza watafunguliwa tasa watapata uzao, Wanaohitaji amani katika ndoa zao watarejeshewa amani iliyopotea , Waliokosa ajira watapata ajira nk
Kumbuka uonapo ujumbe huu share kwa mwenzako.

#MakeJesusFomus
#GodOfMajor1
#OpenDoors

ROHO MTAKATIFU NI UFUNGUO ni Ibada kubwa itayofanyika jumapili hii ya tarehe 28/07/2019, katika kanisa la ECG Mwanza na Prophetic Pastor Philipo Msengi kuanzia saa 02:00 asubuhi Hadi 08:00 mchana, kutakuwepo na Neno, maombezi, uponyaji, na unabii.
Walete wagonjwa na walifungwa na nguvu za giza na Mungu wa baba yetu Major 1 atawaweka huru.
Kumbuka uonapo ujumbe huu share na mwenzako, Amen

#GodIsStillSpeakingToDay
#GodOfMajor1

Hakika hii si ya kukosa

Kanisa la ECG Mwanza linakukaribisha katika kongamano la siku tatu (3) za ROHO MTAKATIFU (Allos Parakletos) Kumbuka utakuwa ukihudumiwa na mwana wa nabii mkuu Chief Apostle Mtalemwa katika, katika kanisa la HEMA LA MAJIBU Pasiansi Karibu kabisa na Ladson Hoteli, ni kuanzia tarehe 2 hadi 4 August 2019,
Tarehe 2 na 3 ni kuanzia saa 9:00 Alasiri hadi saa 12:00Jioni na Tarehe 4 ni kuanzia saa 2:00 asubuhi, Kumbuka katika kongamono hilo kutakuwa na Uponyaji, unabii,kufunguliwa walete wagonjwa na wenye shida waliofungwa na nguvu za giza watawekwa huru , Njoo, wewe, ndugu jamaa na marafiki na mkono wa Mungu wa baba yetu Major 1 utawagusa, Amen.

Kumbuka kushare na mwenzio ujumbe huu na Mungu wa Major 1 atakubariki.

[07/21/19]   IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU

TAFADHALI ENDELEA KUHUDHURIA KATIKA

IBADA ZETU NI KAMA IFUATAVYO:-
Jumatatu - Miracle Monday saa 10:00 Jioni
Jumanne- Diplomatic Service saa 10:00 Jioni
Alhamisi - Healing and Deliverance saa 10:00 Jioni
Jumapili -prophetic service saa 2:00Asubuhi

Tafadhali kwa wewe unaetokea Igoma au Buhongwa panda gari zinazokwenda Airport au Ilemela kisha shuka kituo cha Pasiansi.
Na kwa wewe unaetokea Airport au Ilemela tafadali panda gari zinazokwenda Buhongwa au Igoma kisha shukia kituo cha Pasiansi.

Ukifika Pasiansi ulizia chuo cha Maliasili , kisha njoo na hiyo barabara ya Maliasili moja kwa moja usikatize kushoto wala kulia hadi utakapofika Ladson hall ambapo hatua chache kutoka hapo , utaona HEMA LA MAJIBU .

SHALOOOM!

STAY CONNECTED!!!!!!!!!

IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU

JINSI YA KUNENA KWA LUGHA

Kunena kwa lugha ni kutabiri.

1Wakorintho 13:1

Mtu yeyote anayenena kwa lugha hakai chini , bali anakaa juu. Mtu yeyote mwenye uwezo wa kunena kwa lugha , lazima awe katika viwango vingine.

Kunatofauti kati ya Kunena kwa lugha na Pentekoste:

•Neno Pentekoste ni sherehe ya mavunoambayo Wayahudi walikuwa wakiifanya

•Roho Mtakattifu alikuja siku ya sherehe ya mavuno, yaan Pentekoste kwa sababu wayahudi wote walikuwa wakiifanya kwa mavuno.

•Ilikuwa ni siku ya Pekee ya kuhubiri injili.

Matendo 1:13-14

“Hata walipoingia,wakapanda orofani,walipokuwa wakikaa,Petro, Yohana, Yakobo , Andrea, Filipo,Tomaso, Bartholomayo,Mathayo,Yakobo wa Alfayo,Simon Zelote na Yuda wa Yakobo”----

Unaponena kwa lugha unaufunga ubinadabu na kuufungua ulimwengu wa roho. Pia unakuwa unaomba moja kwa moja kutoka katika kiti cha enzi.

Ni vizuri kujiombea kwa kunena kwa Lugha kwa sababu mapepo na mtu yeyote ambaye anaweza kuzuia maombi yako hatasikia,ata Daudi alipokuwa anaomba maombi yake yalizuiwa kwa sababu kunawatu walielewa lugha aliyokuwa akiitumia kuomba.

Unapokuwa unanena kwa lugha mapepo hayawezi kusikia lugha unayoongea, na ndiyo maana kunena kwa lugha ni kutabiri, kwahiyo unakuwa unajitabiria kitu ambacho mapepo hayawezi yakasikia na kuelewa , pia hayawezi kuzuia maombi yako, kwa sababu lugha unayonena ni ya kimungu.

Shetani na Mapepo wana Lugha zao.

Siku ya leo hakika utakuwa katika viwango vingine kwa sababu utapokea na kujanzwa nguvu ya roho mtakatifu.

IBADA KUU YA KINABII
JUMAPILI YA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU

Popote ulipo unakaribishwa katika ibada ya kinabii ya kujazwa Roho Mtakatifu, inayoongozwa na mwana wa nabii mkuu Shephard Bushiri , Prophetic P astor Philipo Mserngi, katika Hema la Majibu,Pasinsi Mwanza.

NI muda wa kusifu na kumwabudu Mungu aliye hai, maana kusifu na kuabudu vinawapasa wanyofu moyo.

Bado hujachelewa karibu sana.Uliyembali waweza kujiungamanisha na upako huu na Mungu atakugusa .

STAY CONNECTED!!!

Ibada ya Roho Mtakatifu jumapili hii usipange kukosa katika kanisa la Hema la Majibu Pasiansi Mwanza karibu na Ladson Hiteli, kuanzia saa 1:00 asubuhi Hadi saa 8:00 mchana na Prophetic Pastor Philipo Msengi.

Kumbuka kushare kwa mwenzio Mara uonapo post hii

MIFUPA MIKAVU KUISHI TENA ni siku ya Jumapili hii ya tarehe 30/06/2019 katika kanisa la Hema la Majibu Pasiansi Mwanza karibu na Ladson kabisa Hoteli muda ni saa 02:00 Hadi saa 8:00 mchana, na Prophetic Pastor Philipo Msengi njoo wewe, ndugu jamaa na Marafiki na Mungu wa baba yetu Major 1 lazima akuguse kwa viwango vya juu zaidi na kurudisha uhai kwenye biashara iliyokufa au ndoa iliyovunjika/kuwa na migogoro na Kila sehemu kwenye maisha yako.

Kumbuka kushare kwa mwenzako Mara tu uonapo ujumbe huu, Amen.

IBADA KUU YA KINABII
JUMAPILI YA IBADA YA AGANO LA CHUMVI
TAFADHALI ENDELEA KUHUDHURIA KATIKA

IBADA ZETU NI KAMA IFUATAVYO:-
Jumatatu - Miracle Monday saa 10:00 Jioni
Jumanne- Diplomatic Service saa 10:00 Jioni
Alhamisi - Healing and Deliverance saa 10:00 Jioni
Jumapili -prophetic service saa 2:00Asubuhi

Tafadhali kwa wewe unaetokea Igoma au Buhongwa panda gari zinazokwenda Airport au Ilemela kisha shuka kituo cha Pasiansi.
Na kwa wewe unaetokea Airport au Ilemela tafadali panda gari zinazokwenda Buhongwa au Igoma kisha shukia kituo cha Pasiansi.

Ukifika Pasiansi ulizia chuo cha Maliasili , kisha njoo na hiyo barabara ya Maliasili moja kwa moja usikatize kushoto wala kulia hadi utakapofika Ladson hall ambapo hatua chache kutoka hapo , utaona HEMA LA MAJIBU .

SHALOOOM!

STAY CONNECTED!!!!!!!!!

IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA IBADA YA AGANO LA CHUMVI

Yoshua 5:11-15
2Mambo ya nyakati15:

Katika maisha Kuna kipindi kigumu ambacho unapitia ambapo Mungu anakua anakutengeneza ili uzifikie Baraka zako.

Wapo watu wengi wanaoishi kwa neema ya Mungu, kwa sababu watu hao wako jangwani wakizielekea Baraka.

Wakati mgumu kama huo ambao ni wakati wa Jangwani hutakiwi kukata tamaa, na mara nyingi wakati huo, Neema ya Mungu huwa haipungui kwako.

Mtu hupitia katika jangwa kwa sababu kuna viumbe wamekaa mahali ili kuzuia Baraka zako unazopaswa kuzimiliki.

2Wafalme :2:19-20

“Akasema nileteeni chombo kipya , mtie chumvi ndani yake .wakamletea.”

“Akatoka akaenda hadi mpaka chemchemi ya maji,akatupa ile chumvi humo ndani, akasema Bwana asema hivi , nimeyaponya maji haya,hakutatoka tena kufawala kuzaa mapooza.”

Yapo maagano ambayo yaliwekwqa kwaajili yako, ambayo yamejenga miisingi ya uovu katika uzao wako na kusababisha maisha yako kuharibika na kutofanikiwa kwa kitu chochote unachokifanya, lakini leo hakina maagano yote yamevunjwa na kuharibiwa katika jina la yesu.

.STAY CONNECTED!!!!!!!!!!!!!!!!.

IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA KUHARIBU MAAGANO YALIYOTUMIKA KUJENGA MISINGI YA UOVU.

SHUHUDA

Dada huyu aitwae Miriamu anamshukuru Mungu wa Major one,kwa kumteendea muujiza ambapo alikuwa akipata maumivu makali ya tumbo na miguu yake kuvimba , wakati akiingia katika mzunguko wake wa mwezi.

Lakini baada ya mtumishi wa Mungu Pastor Phiipo Msengi kumuombea, sasa anaingia katika mzungungo wake wa mwezi bila kupata maumivu yoyote na wala miguu haivimbi tena, hakika Mungu wa Major one nio mkuu.STAY CONNECTED!!!!!!!!!!!!!!!!.

IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA KUHARIBU MAAGANO YALIYOTUMIKA KUJENGA MISINGI YA UOVU.

SHUHUDA

Dada huyu anaitwa Diana Clement, anamshukuru Mungu wa Major one,kwa kumteendea muujiza baada ya kuwa akianguka mara kwa mara bafuni , na kupata maumivu makali katika mwili wake.

Lakini siku ya ijumaa alikuja katika Hema la Majibu na mtumishi wa Mungu Pastor Philipo Msengi kumuombea, maumivu yote yamepotea na sasa ni mzima wa afya. Na leo amekuja kumshuhudia matendo makuu aliyotendewa na Mungu aliye hai, Mungu wa Major One.

STAY CONNECTED!!!!!!!!!!!!!!!!.

IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA KUHARIBU MAAGANO YALIYOTUMIKA KUJENGA MISINGI YA UOVU.

Ule wakati wa kuvunja na kuharibu maagano yaliyotumika kujenga misingi ya uovu kwenye kizazi au mji wako umewadia .
Tayari mtumishi wa Mungu Prophetic Pastor Philipo Msengi ameshasimama madhabahuni kwa ajili ya kuvunja na kuharibu maagano yote yaliyotumika kujenga misingi ya uovu kwenye kizazi au mji wako.

STAY CONNECTED!!!!!!!!!!!!!!!!.

IBADA KUU YA KINABII

JUMAPILI YA KUHARIBU MAAGANO

Tayari ibada ya kuvunja na kuharibu maagano yaliyotumika kujenga misngi ya uovu kwenye kizazichako au mji wako, imeshaanza hapa ECG Mwanza katika Hema La Majibu.

Na sasa ni muda mzuri wa kusifu na kumwabudu Mungu, ,maana biblia inasema kusifu na kuabudu kunawapasa wanyofu wa moyo.

Kwa wewe uliye Mwanza bado hujachelewa Karibu tujumuike kwa pamoja tumsifu na kumwabudu Mungu aliye hai.

Na wewe uliyembali na Mwanza waweza kujiungamanisha na ibada ya leo ili maagano yote yasiyo ya kimungu yavunjwe.
Karibu saana ibadani.

STAY CONNECTED!!!!!!!!!!!!!!!!.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Maombi ya kuliombea Taifa letu zuri la Tanzania na mwana wa Nabii Mkuu Prophetic Pastor Jonathani Bulabo, katika Hema la majibu yako Pasiansi Mwanza

Location

Address


Pasiansi
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Other Religious Centers in Mwanza (show all)
Efatha-Mwanza Efatha-Mwanza
Mwanza
Mwanza, P.O.BOX 11626

Efatha mwanza is located at nyakato nundu B in we are among the church which are growing very fast. We are running the vision and mission of Apostle J.E.M

Ukombozi church Ministries Ukombozi church Ministries
P.O.Box 10568 Nyamagana
Mwanza, +255

This is An Official Account, we want to show the world extra ordinary Miracles that Lord Jesus is doing through our Ministry. Web: www.ukombozichurch.org

Africa Inland Church Tanzania - AICT Africa Inland Church Tanzania - AICT
P.O Box 905 Makongoro Street, Plot No 66
Mwanza

Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God).

Jesus Restoration Centre - JRC Church Jesus Restoration Centre - JRC Church
Kirumba
Mwanza, 255

Jesus Restoration Centre ni kanisa la kipentekoste lililopo chini ya uongozi wa Mchungaji George Mukabwa. Kanisa hili lilianza Novemba, 2011.

Huduma ya Maandiko Huduma ya Maandiko
P.O. Box 2017
Mwanza, 25528

Worlds Largest Christian Bible Study site. All available as a free download .

LIFE Givers Ministries International LIFE Givers Ministries International
Mwanza
Mwanza, 30585

Our vision is to win the lost souls back to Christ and prepare the church for the rapture.