Tucasa-CBE Mwanza

Tucasa-CBE Mwanza

TUCASA

TANZANIA UNIVERSITIES AND COLLEGES ADVENTIST STUDENTS ASSOCIATION

Mission: Evangelism

[01/09/15]   NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA YA SABATO WAPENDWA KARIBUNI SANA SABATO YA KESHO CHOUNI KWETU CBE

ILIKUWA SABATO YA KIPEKEE SANA TULIPOJUMUIKA PAMOJA NA WENZETU WA VYUO MBALIMBALI KATIKA JOINTMASS ILIYOFANYIKA FISHERIES.

[07/04/14]   happy 7th

[06/25/14]   JAMANI WAPENDWA KATIKA BWANA JITAHIDINI BAC KUTOA HELA YA MAHUBIRI YANAYOENDA KUFANYIKA KULE UKEREWE MUNGU AWBARIKI MNAPOENDA KUMTOLEA LEO KWA AJILI YA KAZI YAKE

[06/17/14]   BWANA NI MWEMAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!WAPENDWA NNA PENDA KUWATAARIFU KUWA KUTOKANA NA UCHACHE WETU KUANZIA JUMAMOC HII INAYOKUJA NA KUENDELEA HATUTAKUWA 2NASALI CHUONI MPAKA PALE TUTAKAPOTANGAZA TENA MUNGU AWABARIKI.

[06/13/14]   MAANDALIO MEMA YA SABATO WAPENDWA MUNGU AWABARIKI MNAPOPANGA KUANZIA SASA HV KUTOIVUNJA KWA KUANZA KUWEKA MAMBO YETU VIZURI KABLA YA MASAA MATAKATIFU..

Tukiwa nyumbani kwa mama yetu mpendwa/mlezi na rafiki yetu cku ya jumamosi

Tucasa-CBE Mwanza's cover photo

Tucasa CBE Mwanza, Graduation - 2014

Njoo tumsifu Mungu kwa njia ya uimbaji

coming soon......

Tucasa CBE kwaya wakiwa Studio

Mwambie jirani yako habari njema za wokovu

Tucasa-CBE Mwanza's cover photo

Bukumbi - Mwanza

Siku ya Injili kwa njia ya Matendo ya Huruma, Tucasa Lake Zone

Siku ya Injili kwa njia ya Matendo ya Huruma, Tucasa Lake Zone

Timeline Photos

kwaya yetu ya tucasa cbe, ikitoa huduma ya uimbaji,
Mungu ibariki kwaya yetu....Sema Amina

[11/15/13]   Karibuni nyote, kesho katika ibada ya sabato hapa chuoni CBE, ukumbi wa new class.........Mungu awabariki

[11/15/13]   Happy Sabath

[11/03/13]   May God Bless you all!

Warmly welcome

Sabato ya tar 14/09/2013

Karibu nyoote kujumuika nasi katika kufunga haya mahubiri ya wenzetu wa butimba, Pia itakuwa ni Sabato ya Wageni..Wageni Wote hata kama sio mwana Tucasa Unakaribishwa!
Mungu Akubaliki Sana.

Sabato ya tar 7/09/2013

[08/21/13]   Bwana ni Mwema!
Sabato ijayo ya tar 24/08/2013, wana Tucasa CBE wote tutasali katika kanisa letu lezi(KIRUMB) ili kujumuika na walezi wetu katika kuhitimisha siku kuu ya vibanda(MAKAMBI).
Hivyo basi wewe kama mwanatucasa na usie mwanatucsa, unakaribishwa sana kuhudhulia siku hiyo, Pia siku hiyo Uongozi wote wa Tucasa CBE utakuepo ili kutoa maelekezo ni jinsi gani Ibada ya Chuoni Itavyoanza pamoja na Mipango pamoja na mikakati mingineyo ya Chama.
Mungu awabariki sana mnapojiandaa kushiriki

[08/19/13]   Bwana Yesu Asifiwe,
Uongozi wa Tucasa CBE unapenda kuwatangazia wana tucasa na wasio wana tucasa kuwa, Ibada ya kila Jumamosi hapa chuoni CBE mwanza itaanza rasmi(upya) tar 31/08/2013, hii ni baada ya kutokuwa na hyo ibada kwa takriban miezi miwili. Mungu awabariki Mnapojiandaa kushiriki

[08/18/13]   God is good...
we are real sorry guys for being quite for that long, But I promise that by the Grace of God our father, we will be available from now on,
Your welcome again to our page Tucasa Cbe and you'll get all updates concerning with Tucasa CBE matters
May God Bless you all.............Amen

Tucasa-CBE Mwanza

SABATO HII 29/06/2013 WANA TUCASA CBE TUTASALI PALE KANISA MAMA ( KIRUMBA S.D.A CHURCH ) AMBAPO KUTAKUWEPO NA MEZA YA BWANA" TUJIANDAE KUSHIRIKI

[06/25/13]   SABATO HII 29/06/2013 WANA TUCASA CBE TUTASALI PALE KANISA MAMA ( KIRUMBA S.D.A CHURCH ) AMBAPO KUTAKUWEPO NA MEZA YA BWANA" TUJIANDAE KUSHIRIKI

Timeline Photos

[05/28/13]   Bwana Yesu asifiwe...
Jumamosi ijayo, yaana tar 1/06/2013, tutakuwa na Sabato ya Pamojo(Joint Mass Tucasa-Lake zone) katika chuo cha mafunzo ya ufundi VETA mwanza, Ibada itaanza asubuhi na kuendelea....
Nyote Mnakaribishwa....
Mungu awabariki sana

Bado tukiendelea na ibada hapa chuoni

karibu katika Sabato ya Leo

Timeline Photos

[05/24/13]   Kumbuka sabato ya Mama ni kesho....tar 25/5/2013
Nyote mnakaribishwa...........

Timeline Photos

...........Mungu na atusaidie ili tufanikishe malengo ya kurecord........
type Amen..., kama ni ombi lako pia...

Baada ya zoezi la kwaya ya tucasa cbe iliyoko kwenye mchakato wa recording, walipiga picha ya pamoja leo hii may 23, pale kwa babu....

[05/22/13]   Habarini za Mda huu,
Wana-tucasa wote wa cbe Mnataarifiwa kwanza Jumamosi ijayo ya tarehe 25/05/2013 itakuwa ni sabato Mama.
Kama kawaida yetu Mama alieanzisha tawi la tucasa hapa cbe (zamani THISDASO)....Utaratibu ni uleule...tutasali cbe new class vipind vyote vya asubuhi, then Mchana tunaelekea wote kwa Mama...
Tafadhali usipange kukosa...
Chakula tutakula huko,
andandaa nauli yako ya kwenda na kurudi tsh 800/=.
Mtaarifu na mwenzako
Pia wageni mnakaribishwa sana,
KARIBUNI KWA PAMOJA KWA KUENDELEA KUUTAMBUA MCHANGO WA MAMA YETU WANA TUCASA CBE....
MUNGU NA AWABARIKI NYOTE!

Tucasa-CBE Mwanza's cover photo

[05/19/13]   Lessoni ya wiki hii, tuko somo la 8,
Na linasema 'Kutumainia Wema wa Mungu (HABAKUKI)'
'Trusting God's Goodness (Habakkuk)'
jiandae na sabato ijayo

[05/19/13]   Tunawashukuru sana mnaoendelea ku like page yetu, na Mungu awabariki....

Sabato ya tar 18/05/2013

[05/18/13]   Sabato ya kupendeza. Sabato ya leo tar 18/05/2013....
Sabato ya kupitishwa rasmi na kuwekwa wakfu kwa viongozi wapya wa tucasa cbe,
Sabato tuliyotembelewa na Vijana waMabatini SDA church......
Mungu awabariki nyote....

CBE graduation

tucasa-cbe mwanza

tucasa-cbe mwanza

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Mwanza
+255
Other Mwanza places of worship (show all)
Peter Mbajije victory - Angaza Gospel Peter Mbajije victory - Angaza Gospel
Tanzania
Mwanza, 83

Utukufu una yeye aliyezifanya mbingu na Nchi.What'sp no (+255) 752 107 183 Email:[email protected]

FPCT-Kitangiri FPCT-Kitangiri
83
Mwanza

Ratiba ya ibada Jumapili 07:30 -10:00 Asubuhi. Ibada kwa watu wote. 10:30 - 13:00 Asubuhi. Ibada kwa watu wote. 08:00 asubuhi. shule ya Jumapili ya watoto.

Nyakato Seventh Day Adventist Church Mwanza Tanzania. Nyakato Seventh Day Adventist Church Mwanza Tanzania.
Nyakato - Mwanza, Tanzania
Mwanza

Kyaruzi Tz Kyaruzi Tz
Ngara
Mwanza, 00000

If you don't have an alternative don't criticise

Bujora Sukuma Museum Bujora Sukuma Museum
Bujora Cultural Centre (Sukuma Museum)
Mwanza, 76

Visit us and discover the traditional and contemporary life of the Sukuma people. Tour the museum and join us for the annual Bulabo Dance Festival in June!

Efatha-Mwanza Efatha-Mwanza
Mwanza
Mwanza, P.O.BOX 11626

Efatha mwanza is located at nyakato nundu B in we are among the church which are growing very fast. We are running the vision and mission of Apostle J.E.M

Press and Publicity Team- New Vine Church Press and Publicity Team- New Vine Church
NYEGEZI
Mwanza, 1345

Ukurasa huu una dhamira ya kufikisha mafundisho ya Neno la MUNGU na kusababisha matokeo ya kazi ya MUNGU kujulikana kwenye jamii kubwa ya watu.

UHURU UHURU
ISAMILO
Mwanza

Uhuru wa mawazo fikra.kira mtu ana uhuru wa point ispokuwa usiende kinyume na sheri.

Tucasa Lakezone Tucasa Lakezone
Mwanza, P.O BOX 401

Endure to the end

Africa Inland Church Tanzania-AICT Africa Inland Church Tanzania-AICT
Mwanza

This is an official page of Africa Inland Church-Tanzania[AICT]