Africa Inland Church Tanzania - AICT

Africa Inland Church Tanzania - AICT

Comments

GOD IS A GOOD ALL TIME TODAY AND TOMORROW ukiwa dani ya kristo utafrahia maisha siku zote nawasihi wanadam wenzangu tjaribu kmkmbuka GOD ili tuweze kuyashida majarib pia tupate mafanikio mwaka huu 2020 ISAY THAT IN GOD WE TRUST.LIVES IN GOD IN ORDER TO GET GOOD LIFE by SAM boyTz
Rock city
MUNGU IBARIK TANZANIA MUNGU IBARIKI AIC(T) KWAUJUMLA IZIDI KUSONGA MBELE nihuyo huyo yesu ndie alie 2okoa jina lake liinuliwe amina
MUNGU IBARIK TANZANIA MUNGU IBARIKI AIC(T) KWAUJUMLA IZIDI KUSONGA MBELE nihuyo huyo yesu ndie alie 2okoa jina lake liinuliwe amina
Ndugu watumishi wa Mungu, Bwana Yesu asifiwe. Namshukuru Mungu kwa neema yake kunilinda na zaidi kuniokoa. Ninapendekeza kuwa kanisa letu AICT, liweke pia Kitabu cha nyimbo za Sifa kwenye Mtandao ili watu tuweze kupakua. Mungu awabariki.
Bwana Yesu asifiwe!
Askofu Mkuu wa AICT Mussa Magwesela akihutubia kanisa la AIC Masumbwe Jerusalem juu ya mpango mkakati wa Kanisa
Askofu Mkuu wa AICT Dk Mussa Magwesela akihutubia kanisa la AIC Masumbwe juu ya mpango mkakati wa kanisa
AIC Masumbwe na Askofu mkuu M.Magwesela, Askofu diocese ya Shinyanga Z.Bugota na Katibu mkuu diocese Shinyanga
MITHALI 4:23 LINDA SANA MOYO WAKO KULIKO YOTE ULINDAYO.
Asante yesu kwa kuendelea kusimama kwa ajili ya kanisa lako.
ENGLISH - SWAHILI TRANSLATOR Hello, I'm a Tanzanian native Swahili speaker, professional and experienced freelance translator. I'm available for translation service from English to Swahili and vice versa for the reasonable and negotiable rates. CONTACT: Email: [email protected] Mobile: +255755350165/ +255622274795

Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God).

Dira (Vision) Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God) Kaulimbiu (Slogan) Tuthubutu (tudiriki), tujitoe kwa utukufu wa Mungu (let us dare, commit ourselves to the Glory of God) Dhima (Mission) Kumuhudumia Mwanadamu kikamilifu kwa utukufu wa Mungu (to serve humanity holistically to the Glory of God) Amali (Values) Umoja - Unity Huduma kwa jamii - Ministering to community Imani yetu katika Biblia – A Bible based Faith Uadilifu - Honesty Uwazi - Transparency

Mission: Kumuhudumia Mwanadamu kikamilifu kwa utukufu wa Mungu (to serve humanity holistically to the Glory of God)

aictanzania.org

Uzinduzi wa AICT Mpango Mkakati | aictanzania.org

Uzinduzi Mpango Mkakati wa AICT.

aictanzania.org Kanisa la Africa Inland Church of Tanzania (AICT) leo tarehe 30 Juni, limefanya uzinduzi wa mpango mkakati katika kanisa kuu la AICT Makongoro. Kabla ya tukio hilo la kihisitoria, kulitangulia na vikao vya baraza la utendaji kwa siku mbili na kisha kufuatia kwa Sinodi kuu ya kanisa kwa siku tatu. Mp...

#AICTMpangoMkakati Uzinduzi wa mpango mkakati wa AICT, umefanyika leo tarehe 30 June, katika kanisa kuu la dayosisi ya Mwanza, AICT Makongoro. Uzinduzi huu umeudhuliwa na viongozi wa juu wa kanisa na pia viongozi wa kiserikali.

Maafali ya kwanza ya chuo cha Biblia, kanda ya Tabora (Tabora Bible school). Maafali hayo yalifanyika dayosisi ya Tabora, mgeni rasmi akiwa Ask Silas M. Kezakubi. Wanafunzi 28 walihitimu mafunzo yao katika awamu ya kwanza ya maafali ya chuo hicho. Neno Kuu lilitoka katika Kitabu cha Isaya 6.8 "KISHA NIKASIKIA SAUTI YA BWANA , AKISEMA NIMTUME NANI, NAYE NI NANI ATAKAYEKWENDA KWA AJILI YETU? NDIPO NILIPOSEMA, MIMI HAPA, NITUME MIMI."

aictanzania.org

PART TWO - IBADA YA UKUMBUSHO WA KUZALIWA KWA YESU KRISTO | Aictanzania.org

VIDEO PART TWO - IBADA YA UKUMBUSHO WA KUZALIWA KWA YESU KRISTO. Mbali na viongozi wa kidini wakiongozwa na Baba Askofu Mkuu AICT, Mussa Magwesela, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikiristo Tanzania, pia viongozi wa inchi walihudhuria wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mh John Mongella na Mbunge wa jimbo la Nyamagana Mh. Stanslaus Mabula katika kanisa letu la AICT Makongoro Mwanza.

aictanzania.org Watch PART TWO - IBADA YA UKUMBUSHO WA KUZALIWA KWA YESU KRISTO

aictanzania.org

PART ONE - IBADA YA UKUMBUSHO WA KUZALIWA KWA YESU KRISTO | Aictanzania.org

VIDEO PART ONE - IBADA YA UKUMBUSHO WA KUZALIWA KWA YESU KRISTO. Mbali na viongozi wa kidini wakiongozwa na Baba Askofu Mkuu AICT, Mussa Magwesela, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikiristo Tanzania, pia viongozi wa inchi walihudhuria wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mh John Mongella na Mbunge wa jimbo la Nyamagana Mh. Stanslaus Mabula katika kanisa letu la AICT Makongoro Mwanza.

aictanzania.org Watch PART ONE - IBADA YA UKUMBUSHO WA KUZALIWA KWA YESU KRISTO

Africa Inland Church Tanzania - AICT's cover photo

aictanzania.org

ASKOFU PHILIPO MAFUJA AKILA KIAPO | Aictanzania.org

VIDEO - ASKOFU PHILIPO MAFUJA AKILA KIAPO:

aictanzania.org Watch ASKOFU PHILIPO MAFUJA AKILA KIAPO

aictanzania.org

WASIFU WA ASKOFU PHILIPO MAFUJA | Aictanzania.org

VIDEO - WASIFU WA ASKOFU PHILIPO MAFUJA:

aictanzania.org Watch WASIFU WA ASKOFU PHILIPO MAFUJA

aictanzania.org

IBADA YA KUMUAPISHA NA KUMTIA WAKIFU ASKOFU PHILIPO MAFUJA. | Aictanzania.org

Ibada ya kumuapisha na kumtia wakifu Askofu Mteule Philipo Mafuja kuwa Askofu wa nne wa dayosisi ya Mwanza imefanyika leo tarehe 23 Disemba 2018 kwenye viwanja vya makao makuu AICT, Makongoro Mwanza.

aictanzania.org Watch IBADA YA KUMUAPISHA NA KUMTIA WAKIFU ASKOFU PHILIPO MAFUJA.

Ibada ya kumsimika Askofu mteule Philipo Mafuja ikiendelea viwanja vya Makongoro, makao makuu ya AICT. Viongozi mbalimbali wa kidini na kisiasa wameweza kuhudhuria ibada hii. AICT Media tutaendelea kuwaletea matukio yatakayotokea mahali hapa. Wakiristo wote tuungane pamoja katika kumuomba Mungu alifanikishe jambo hili kama yalivyo mapenzi yake.

Leo ikiwa ni mfululizo wa siku ya nne, kongamano la mpango mkakati limefika mwisho kwa maazimio makuu ambayo yatatangazwa kwa walengwa wahusika kupitia viongozi wao sehemu mbalimbali. Kikubwa tulichojifunza kama wana AICT ni kuwa kanisa letu linahitaji kupokea mabadiriko chanya kulingana na wakati tuliopo ili kuweza kukua kwa huduma zetu za kiroho na kimaendeleo zaidi na zaidi. Wakiristo lazima waungane na viongozi kusudi hili liweze kutimia.

youtube.com

kanisa litoe huduma thabiti za kiroho

Muendelezo wa michango ya wajumbe kwenye kongamano la mpango mkakati ambalo limeingia siku ya nne. Mrs Pendo Limbe, Mratibu wa idara ya elimu ya kikiristo, akichangia kwa kuhimiza kanisa lijikite katika kutoa huduma dhabiti za kiroho.

Mrs Pendo Limbe akichangia katika mchakato wa mpango mkakati.

youtube.com

kanisa linahitaji utafiti kujua maendeleo yake

Kongamano la mchakato wa mpango mkakati wa kanisa letu la AICT limeendelea leo ikiwa siku ya tatu. Kwa wajumbe mbalimbali kuchangia hoja zao. Dr Abraham Kid alikuwa mojawapo wa wale waliotoa mchango wao.

Dr Abraham Kid, akichangia katika mchakato wa mpango mkakati wa AICT.

youtube.com

PART TWO tubadilike ili tuendelee

"Tubadirike ili tuendelee" ujumbe uliotolewa na Katibu Mkuu wa AICT, Mch Josephales Mtebe, akiwa anaelezea mwelekeo wa kanisa kwenye kikao cha mpango mkakati.

Katibu Mkuu Kiongozi Mch. Josephales Mtebe akielezea mwelekeo wa Kanisa katika kikao cha Mpango mkakati kinachofanyika kwenye kanisa la AICT Makongoro Mwanza.

youtube.com

PART ONE kanisa lisimamie mafundisho sahihi

Katibu Mkuu wa AICT, Mch Josephales Mtebe akielezea mwelekeo wa Kanisa letu.

Katibu Mkuu Kiongozi Mch. Josephales Mtebe akielezea mwelekeo wa Kanisa katika kikao cha Mpango mkakati kinachofanyika kwenye kanisa la AICT Makongoro Mwanza.

Leo wajumbe wameunda makundi ya majadiriano ya mpango mkakati wa AICT. Kila kundi limepata kiongozi ambaye atawasilisha mawazo ya wajumbe husika. Huu ni mwendelezo wa kikao hiki cha siku tatu cha uongozi wa juu wa kanisa letu.

twitter.com

Aictanzania (@Aictanzania1) | Twitter

Sasa unaweza kupata habari za kanisa kupitia mtandao wa twitter kwa kujiunga kwenye akaunti yetu iliyopo hapo chini. @Aictanzania1

twitter.com The latest Tweets from Aictanzania (@Aictanzania1). Dira (Vision) Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God). Tanzania

Wajumbe wakimsikiliza mwezeshaji Ndg Jerry Massaga akielezea utaratibu wa fedha na miradi ya AICT kwenye kikao cha leo.

aictanzania.org

MPANGO MKAKATI WA AICT | aictanzania.org

aictanzania.org LEO TAREHE 17/12/2018 HADI TAREHE 19/12/2018 UONGOZI WA KANISA LA AFRICA INLAND CHURCH TANZANIA UMEKUTANA MAKAO MAKUU YA KANISA MAKONGORO - MWANZA. LENGO KUU NI KUWEKA MPANGO MKAKATI WA KANISA . KATIKA KONGAMANO HILI KUTAKUWA NA UWASILISHAJI MBALIMBALI. K/KATIBU MKUU KIONGOZI WA KANISA MCHUNGAJI JOS...

Kikao cha Mpango Mkakati wa AICT kinachoongozwa na Baba Askofu Mkuu Mussa Magwesela kikianza katika kanisa kuu la AICT Makongoro leo asubuhi.

Hongera Askofu Zakayo Bugota pamoja na mama Askofu, Mungu awajilie utumishi mwema katika dayosisi ya Shinyanga na kanisa letu la AICT kwa ujumla.

Askofu Mkuu wa AICT Mussa Magwesela akiendelea na zoezi la kumuwekea mikono Askofu mteule wa Dayosisi ya Shinyanga Zakayo Bugota.

Uhuru wa Yesu! leo ni siku kuu katika dayosisi ya Shinyanga na kanisa letu la AICT kwa ujumla, ambapo Askofu mteule Zakayo Bugota anawekewa mikono kuwa Askofu wa dayosisi ya Shinyanga.

[08/25/18]   Tumsifu Yesu Kristo, viongozi waliochaguliwa katika Sinodi kuu, iliyofanyika AICT Buzuruga tarehe 23 na 24 ya mwezi Agosti 2018 ni wafuatao:
Askofu Mussa M. Magwesela alichaguliwa kuwa Askofu Mkuu AICT.
Askofu Charles S. Salala alichaguliwa kuwa Makamu wa Askofu Mkuu.
Mch Peter Phares alichaguliwa kuwa Askofu wa dayosisi ya Mara na Ukerewe.
Mch Zakayo Bugota alichaguliwa kuwa Askofu wa dayosisi ya Shinyanga.
Mch Philipo Mafuja alichaguliwa kuwa Askofu wa dayosisi ya Mwanza.
Tarehe za kuwaapisha Maaskofu wateule zitatangazwa siku chache kutoka sasa. Tukio la uchaguzi limekwisha sasa ni muda wa Wakiristo wote kuwaunga mkono viongozi waliochaguliwa na Sinodi kuu, kulitumikia kanisa katika nafasi zao walizopewa. Mungu Awabariki.

aictanzania.org

BARAZA LA UTENDAJI LAPATA WAJUMBE WAPYA | aictanzania.org

BARAZA LA UTENDAJI LAPATA WAJUMBE WAPYA

aictanzania.org Kushoto ni Mchungaji Joseph Mayala na Kulia ni Ndugu Ndaki P. Munyeti. Baraza la Utendaji la Sinodi Kuu litakutakuwa na kikao chake cha kawaida tarehe 22 na 23 March 2018 likiwa na wajumbe wawili wapya. Wajumbe hao, ambao Baraza hilo liliteua kuwa wenyeviti wa idara za kanisa tangu mwezi August 20....

Uongozi wa Kanisa la AICT, unawatakia Merry Christmas na Mwaka mpya ulio mwema na mafanikio tele waumini wote na watanzania kwa ujumla. Tudumishe upendo na amani siku zote. Asanteni.

aictanzania.org

HONGERA KANISA LA KILUTHELI | aictanzania.org

HONGERA KANISA LA KILUTHELI

aictanzania.org Mimi pamoja na wakristo wote wa Africa Inland Church, Tanzania (AICT) tunawapongeza wakristo wa Kanisa la Kilutheri popote walipo duniani kwa kuishikilia imani ya kweli kwa kipindi cha miaka 500. Kanisa la Kilutheri lilizaliwa mwaka 1517 kwa mwasisi wake, Martin Luther kutongaza rasmi msimamo wa ima...

aictanzania.org

Constitution Forum

MPENDWA MKIRISTO, KANISA LINAHITAJI MAONI YAKO KWENYE MCHAKATO WA MAREKEBISHO YA KATIBA YA AICT. Tafadhari bonyeza hapo chini kuweza kwenda kutoa maoni yako (kuweza kutoa maoni kwenye mada yoyote ile tafadhari bonyeza kitufe "comment".)

aictanzania.org

aictanzania.org

BABA ASKOFU KEZAKUBI AKITOA HISTORIA YAKE NA UJUMBE KWA KANISA. | Aictanzania.org

BABA ASKOFU KEZAKUBI AKITOA UJUMBE KWA KANISA.

aictanzania.org Watch BABA ASKOFU KEZAKUBI AKITOA HISTORIA YAKE NA UJUMBE KWA KANISA.

aictanzania.org

BABA ASKOFU KITULA AKITOA UJUMBE KWA KANISA. | Aictanzania.org

BABA ASKOFU KITULA AKITOA UJUMBE KWA KANISA.

aictanzania.org Watch BABA ASKOFU KITULA AKITOA UJUMBE KWA KANISA.

aictanzania.org

BABA ASKOFU SALALA AKITOA UJUMBE KWA KANISA | Aictanzania.org

BABA ASKOFU SALALA AKITOA UJUMBE KWA KANISA

aictanzania.org Watch BABA ASKOFU SALALA AKITOA UJUMBE KWA KANISA

Wajumbe kutoka maeneo mbalimbali ya AICT, wakikaribia kuanza kikao cha baraza la Utendaji, asubuhi ya leo hapa katika ukumbi wa Makongoro, Makao makuu ya kanisa la AICT, tayari kufanya mambo mbalimbali ikiwemo suala kuu la kuwatuma wachungaji kwenda kueneza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo katika maeneo mbalimbali. Tuzidi kuliombea kanisa letu katika kikao hiki.

TUJIKUMBUSHE;
Picha hii hapo chini, ilichukuliwa katika kanisa gani? Ilikuwa ni siku ya ibada ya nini na tarehe ngapi? Ni nani alikuwa kiongozi wa ibada? Ni nani alikuwa kiongozi wa nyimbo, ni nani alikuwa mhubiri? Kwaya zipi ziliimba katika ibada hio? Neno kuu lilitoka katika kitabu (msitari wake) gani? Mhubiri alihubiri juu ya nini?

aictanzania.org

TUKIO LA KUBARIKI NA KUGAWA VYETI VIPYA VYA NDOA photos | aictanzania.org

TUKIO LA KUBARIKI NA KUGAWA VYETI VIPYA VYA NDOA;
Tukio hili lilifanyika tarehe 8/8/2017 katika ukumbi wa AICT, makongoro Mwanza. Tukio hili liliongozwa na Baba Askofu Mkuu, Silas Kezakubi katika kubariki na kugawa vyeti vipya vya ndoa kwa watumishi.

aictanzania.org

aictanzania.org

(INTRO) MCH TIMOTH MPANILEHI AKITOA NENO | Aictanzania.org

Biblia inasema neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu (Wakolosai 3:16).
Kwa nini basi neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu? Ni kwa sababu lina mambo yafuatayo ambayo ni muhimu katika maisha yetu ya Ukristo. Mambo hayo ni…
A) Neno la Mungu li Hai
B) Neno la Mungu lina nguvu (Mwanzo 1:6).
C) Neno la Mungu lina ukali kuliko upanga
D) Neno la Mungu linachoma hata kuzigawanya nafsi, roho viungo na mafuta yaliyomo ndani yake
E) Neno la Mungu li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo

aictanzania.org Watch (INTRO) MCH TIMOTH MPANILEHI AKITOA NENO

youtube.com

AICT Media

TUNAWAOMBA WANA AICT WOTE MUWEZE KUJIUNGA (SUBSCRIBE) NA YOUTUBE CHANNEL YETU ILI KUWEZA KUPATA MATUKIO MBALI MBALI YA PICHA (VIDEO). TAFADHARI BONYEZA LOGO YETU HAPO CHINI KUWEZA KWENDA KWENYE UKURASA WETU WA YOUTUBE KUWEZA KUJIUNGA

youtube.com Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God) Kumuhudumia ...

youtube.com

AICT Media

TUNAWAOMBA WANA AICT WOTE MUWEZE KUJIUNGA (SUBSCRIBE) NA YOUTUBE CHANNEL YETU ILI KUWEZA KUPATA MATUKIO MBALI MBALI YA PICHA (VIDEO). TAFADHARI BONYEZA LOGO YETU HAPO CHINI KUWEZA KWENDA KWENYE UKURASA WETU WA YOUTUBE.

youtube.com Kanisa linalothubutu katika kutimiza utume kamili kwa utukufu wa Mungu (a daring church that carries out a holistic mission to the Glory of God) Kumuhudumia ...

aictanzania.org

HISTORIA FUPI YA KANISA LA AICT | aictanzania.org

JE UNAIJUA HISTORIA YA KANISA LAKO LA AICT?

aictanzania.org Mnamo mwaka 1877-1909 lilikuwa likiitwa CMS yaani Church Missionary Society lilianza kazi ya kuhubiri Injili katika Afrika Mashariki,Bagamoyo Tanganyika,mwezi Julai 1876.Mwaka 1909-1937 Peter Cameron Scott alianzisha AFRICA INLAND MISSION (AIM)mjini Philadelphia,USA.Madhumuni yake ilikuwa ni kuhubir...

aictanzania.org

BABA ASKOFU MKUU SILAS KEZAKUBI AKIELEZEA KUHUSU MPANGO WA NTC | Aictanzania.org

BABA ASKOFU MKUU SILAS KEZAKUBI AKITOA MAELEZO KUHUSU MPANGO WA KANISA JUU YA CHUO CHA NASA THEOLOGICAL COLLEGE, NASA.

aictanzania.org Watch BABA ASKOFU MKUU SILAS KEZAKUBI AKIELEZEA KUHUSU MPANGO WA NTC

Kongamano la Idara ya Wanawake AICT lilifanyika wilaya ya Kibaha, katika shule ya Philbert Bayi, kuanzia tarehe 28 June hadi tarehe 2 July. Mgeni rasmi alikuwa Mama Anna Makinda, spika wa bunge mstaafu, Askofu Mkuu AICT pamoja na viongozi mbalimbali wa kanisa na kitaifa pia walihudhuhuria.

Africa Inland Church Tanzania - AICT

Africa Inland Church Tanzania - AICT's cover photo

aictanzania.org

KUUZWA KWA BISHOP NKOLA SECONDARY SCHOOL, SINODI KUU YARIDHIA MAAMUZI YA BARAZA LA UTENDAJI | aictanzania.org

KUUZWA KWA BISHOP NKOLA SECONDARY SCHOOL, SINODI KUU YARIDHIA MAAMUZI YA BARAZA LA UTENDAJI

aictanzania.org Sinodi Kuu ya Africa Inland Church Tanzania, imeridhia kuwaondoa uaskofu Askofu John Kanoni Nkola na Askofu John Bunango. Sinodi hiyo, ambayo ilihudhuliwa na wawakilishi wapatao 800 kutoka nchini kote, ilipokea taarifa ya Baraza la Utendaji la kanisa hilo iliyotolewa na Askofu Mkuu Silas Kezakubi am...

RAISI DR JONH POMBE MAGUFULI AMEHUDHURIA MISA YA PASAKA KATIKA...

PASAKA: Leo Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wamehudhuria misa katika kanisa letu Kuu la Uaskofu kwa dayosisi ya pwani,AICT Magomeni. Ujumbe wao kwa wana AICT pamoja watanzania wote kwa ujumla ilikuwa kama ifuatavyo:

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

RAISI DR JONH POMBE MAGUFULI AMEHUDHURIA MISA YA PASAKA KATIKA...

Location

Telephone

Address


P.O Box 905 Makongoro Street, Plot No 66
Mwanza
Other Religious Centers in Mwanza (show all)
LIFE Givers Ministries International LIFE Givers Ministries International
Mwanza
Mwanza, 30585

Our vision is to win the lost souls back to Christ and prepare the church for the rapture.

Huduma ya Maandiko Huduma ya Maandiko
P.O. Box 2017
Mwanza, 25528

Worlds Largest Christian Bible Study site. All available as a free download .

Jesus Restoration Centre - JRC Church Jesus Restoration Centre - JRC Church
Kirumba
Mwanza, 255

Jesus Restoration Centre ni kanisa la kipentekoste lililopo chini ya uongozi wa Mchungaji George Mukabwa. Kanisa hili lilianza Novemba, 2011.

Ukombozi church Ministries Ukombozi church Ministries
P.O.Box 10568 Nyamagana
Mwanza, +255

This is An Official Account, we want to show the world extra ordinary Miracles that Lord Jesus is doing through our Ministry. Web: www.ukombozichurch.org

Efatha-Mwanza Efatha-Mwanza
Mwanza
Mwanza, P.O.BOX 11626

Efatha mwanza is located at nyakato nundu B in we are among the church which are growing very fast. We are running the vision and mission of Apostle J.E.M

ECG Church Mwanza Branch ECG Church Mwanza Branch
Pasiansi
Mwanza

This is the official page of Enlightened Christian Gathering church (ECG) MWANZA BRANCH TANZANIA