Viwawa MTO WA MBU

Viwawa MTO WA MBU

Comments

Wana viwawa kumbukeni rozali cmbaka meziwake pekee bali kilacku. Mapendo!
Tumsifu Yesu Kristo Wapendwa

Hii ni kurasa-spot inayosaidia kuwafahamisha vijana wa Mto wa mbu, juu ya yote yanayoendelea katika jumuiya ya VIWAWA Parokia ya Mt. Yuda Tadei mto wa mbu

Kijana mwenzetu anafunga ndoa jumamosi hivyo mnaalikwa kuungana pamoja nasi sherehe inafanyika katika ukumbi wa parokia

Mother Oda Vocational Training Center

chuo cha ufundi stadi mother oda kinatanganaza nafasi ya mwalimu wa masomo ya sayansi kwa watahiniwa binafsi (private candidate ) na mtihani wa maarifa (qt) moja kati ya masomo atakayofundisha liwe ni somo la hesabu chuo kipo kata Mto wa mbu ,wilaya ya monduli maombi yatumwe kwa Email. [email protected]

Mother Oda Vocational Training Center

CERTIFICATE OF COMPUTER AND LANGUAGE STUDIES
📘Basic computer applications
📘French
📘English
ada Tshs 350,000/= muda miezi sita nafasi ya bweni inapatikana kwa jinsia zote kwa mwanafunzi kuchangia chakula

[10/31/17]   viwawa jamani mbona tunakuwa legelege j2 iliyopita tulikuwa na kikao lkn vijana hawakuja walikuja tuu vijana tisa jamani tafadhalini sana tunatakiwa kupanga safari ya kwenda parokia ya Bassodawish kwa gharama za paroko jaman j2 ijayo tujitokeze kwa wingi kusudi tuwe wengi

[10/24/17]   viwawa wote mjiweke tayar kwa safari ya kwenda Bagamoyo

[10/03/17]   ndugu viwawa wote nipende kuchukua nafac hii kuwakumbusha kuwa mwezi wa rozali takatifu umeanza hvyo tujitahidi kusali rozali kwa kumuenzi mama yetu Bikira Maria

[09/01/17]   VIWAWA wote mnakumbushwa kuwa kongamano katika parokia yetu litaanza trh 2/09/2017 kwa semina na trh 3 ndio litaanza rasmi hivyo basi nitumie fursa hii kuwaalika wote tushiriki bila kukosa na pia tunakumbushwa kufika cku ya ijumaa trh 1 kwaajili ya maandalizi tafadhali sana upatapo ujumbe huu mkumbushe na mwenzako

Viwawa MTO WA MBU's cover photo

Photos from Viwawa MTO WA MBU's post

Mother Oda Vocational Training Center

[04/29/16]   Uchuzi wa Viongozi ngazi ya parokia unatarajia kufanyika mapema mwezi wa tano Vijana wote mnaobwa kujitokeza kushiriki uchaguzi huo

[03/26/16]   Siku ya Vijana yaan jumapili ya matawi Vijana walifanya vizuri sana hingereni na muendeleze mshikamano huo hapa kazi tu

[01/29/16]   Nini mtazamo wa vijana kuhusu mradi wa matarumbeta ambao kamati imetoa maamuzi kwa kikundi cha kwaya pia kupiga tarumbeta hizo na kudai hakuna mradi wa kikundi cha kiroho vikundi vyote miradi yote iko chini ya parokia

tumuombe mama yetu Bikira Maria atulinde na atuombee kwa Mungu Baba afya njema ya roho na mwili pia katika kipindi hiki cha Rozali tusali tuweze kushinda majaribu ya mwovu shetani

[09/27/15]   wapendwa viwawa tumsifu yesu kristo................
kwa moyo mmoja tunaombwa kumuombea mwenzetu pius andrew ambaye ni mwanachama mwenzetu anasumbuliwa na kifua na hii ni wiki ya tatu hivyo anahitaji xana sala zenu katika hiki kipindi kigumu kwake..
alifanya chest x-ray lkn tatizo halikuonekana na yy anasikia maumivu makali xana anapokohoa au akivuta pumz kwa nguvu ndan

ni ucku mwingine tena tunapo rudi mbele za Mungu kuomba ulinzi wake
Ee Mungu utulinde xalama na utuamshe xalama.Amina

[08/01/15]   tushike iman yetu wakatoliki

[06/03/15]   Viongoz tunahitaji kikao cha viwawa mwez huu

[06/01/15]   Nini kifanyike ili kuboresha viwawa

[04/23/15]   You can not protect yourself from sadness without protect yourself from happiness

[04/10/15]   Mungu atulinde sote

[04/04/15]   Tuombeane

[02/20/15]   napendankuchukua nafasi hii kuwashukuru vijana wote waliojitokeza jumamosinya tarehe 14/02/2015 kanisani kwa ajiri ya kufanya usafi wa kanisa na mazingira yake pia tunawashukuru vijana wote waliosoma masomo na maombi kwa misa ya kwanza na ya pili mwenyezi mungu awa bawabariki na kuwaongoza kushiriki tena kazi za utume wa vijana kila pale inapotokea mpate wepesi wa kutenda pia tunakumbushwa kujiandaa ipasavyo kwa ajiri ya kutoa huduma kama hiyo ten kwa juma ya tatu ya mwezi wa tatu mungu awabariki sana

[02/05/15]   vijana tumepangiwa jukumu la kuhudumu kanisani kwa kila jumapili ya tatu ya mwezi hivyo basi tunaobwa tukutane vijana wote kanisani siku ya jumamosi tarehe 7/02/2015 ili kupeana utaratimu na kupanga namna ya kufanya huduma hiyo asante

[12/14/14]   juma tatu ya tarehe 15 vijana wataenda arusha kuhudhulia tamasha la vijana wakatoliki litakalo fanyika shule ya sec edmond kwa muda wa siku tano kila la kheri na mungu awatangulie

[12/01/14]   vijana wte tunaobwa kukutana na fr jumapili ya tarehe 7 /12/2014 bila kukosa .asanteni

[10/14/14]   vijana wote mnatangaziwa kuwa mtakua na zamu ya kuhudumu kanisani kwenye novena jumatatu tarehe 20/10/2014 mnaombwa sana kuhudhulia

[09/30/14]   hongereni vijana wote mliojitokeza juma nne ya tarehe 30/09/2014 kufanya usafi wa mazingira ya kanisa Mungu awabariki na awatie nguvu tukutane tena ijumaa tarehe 3/10/2014 tumalizie usafi huo Mungu awatangulie na kuwatia nguvu

[09/10/14]   vijana vp mbona kimya sana?ile ziara mlienda au bado?

[07/13/14]   leo ni jumapili na ni siku ya michezo kwa viwawa tukutane sa 10 jion kwenye viwanja vya kanisa

[07/13/14]   ''kusikia mtasikia,lakini hamtaelewa,
kutazama mtatazama,lakin hamtaona......''

[07/13/14]   and in them the prophecy of Isaiah is fulfilled,which says:
Hearing you will hear and shall not understand,and seeing you will see and not perceive......
But blessed are your eyes for they see,and your ears for they hear:
''For assuredly,i say to you that many prophets and righteous men desired to see what you see,and did not see it,and to hear what
you hear,and did not hear it.''
MATHEW:13-14,16-17

[06/27/14]   viwawa wote mnatangaziwa kuhudhuli kikao cha vijana kitakacho fanyika jumapili tarehe 29/06/2014 mara baada ya misa ya tatu(3) kuna jambo la muhimu kwa vijana
"maana mimi mwenyezi Mungu ninajua mambo niliyowapangia.Nimewapangien mema na si mabaya, ili mpate kuwa na tumaini la baadae"yeremia 29:11

Viwawa MTO WA MBU's cover photo

[06/14/14]   helo,viwawa nlisafir lkn next week ntakuwa nanyi.

[06/09/14]   MAANA YA VIWAWA NA HISTORIA YA VIWAWA .
MAANA YA VIWAWA.
Viwawa maana ya Viwawa ni Vijana Wakristo Wakatoliki(Wengine wanasema ni Vijana Wakatoliki Wafanyakazi) Viwawa ni chama cha kitume cha Vijana ndani ya Kanisa ambao wanatumwa na Yesu mwenyewe kuendelea kazi yake kwa watuwake kwamba yeye “NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA”Kwa Vijana wote katika maisha yao ya kila siku.

HISTORIA YA VIWAWA KIDUNIA.
Viwawa ilianzishwa mwaka 1924 mji wa Brussel nchini Ubelgijina Padri Joseph Cardjin na kupitishwarasimi na kama chama cha kitume cha vijana Kimataifa na Balaza la Kipapa Vatican mwaka 1950.Padri Joseph Cardjin pia alianzisha YCS,hivyo VIWAWA Na YCS alianzisha yeye.Makao makuu ya VIWAWA Duniani yako Roma-Italia chini ya Rais Seraphina kutoka Korea,Katibu Mkuu Jules Adached toka Bejin,Mhazini Lisa Vaccariano toka Italia na Mratibu wa kimataifa Arniel Iway toka Philipini na mshauri Pd.Joseph Ramaguera toka Spain.

HISTORIA YA VIWAWA TANZANIA.
Viwawa Tanzania iliingia mwaka 1959 katika Parokia ya Msimbazi,Jimbo kuu la Dar es salaam chini ya Mwanzilishi Padri Hendrikus Johannes Brinkhof maarufu kama Padri Mansuetus na kupitisha rasimi chama cha Kitume cha Vijana na Baraza la Maaskofu Tanzania(TEC) mwaka 1979.Baada ya kupitisha hapo kilitambulishwa pote Tanzania kama chama cha Vijana Wakatoriki Wafanyakazi Tanzania(VIWAWA).
Mpaka sasa chama hiki kipo kipo majimboni,kuanzia ngazi ya Jumuiya,Mtaa,Kanda,Kigango,Parokia,Kijimbo,Taifa na Kimataifa.

LENGO LA CHAMA.
Kumuezesha Kijana awe mkristo wa kweli na raia wengine waweze kurekebisha,Kuendeleza na Kudumisha taratibu za uchumi,utamaduni,ustawi,siasa na utaalamu kufatana na mpango wa Mungukatika kutafakali injili na kusali.

Kuunda umoja na ushirikiano kwa vijana kadili ya injili na mafundisho ya Yesu Kristo.

Kuishi upendo wa Kikristo kama watoto wa Baba mmoja.Hii ni amri ya Yesu “Amri mpya nawapa pendaneni kama vilenilivyowapenda ninyi,nanyi mpendane vivyo hivyo.(Yoh 13:34-35).

[06/09/14]   UONGOZI BILA USHIRIKIANO KWA WONGOZWAJI NA WAONGOZAJI MAFANIKIO HAKUNA TUJUE TUKO WAPI TUNAFANYA NINI NA TUNAKAkuelekea wapi pamoja tunaweza

[06/03/14]   kiwawa yeyote mto wa mbu atakaye ona page hii anaobwa ku share na wenzake.
"mapendo"

[06/02/14]   1 John 3:18 Little children, let us not love in word or talk but in deed and in truth.

Read more: http://www.whatchristianswanttoknow.com/bible-verses-about-love-25-awesome-scripture-quotes/#ixzz33WJjdysJ

[06/02/14]   “You can see God from anywhere if your mind is set to love and obey Him”

Read more: http://www.whatchristianswanttoknow.com/bible-verses-about-love-25-awesome-scripture-quotes/#ixzz33WEmF5ll

Viwawa MTO WA MBU

Viwawa MTO WA MBU's cover photo

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mto wa Mbu?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Komwex
Mto Wa Mbu
P.O.BOX 80