Efatha Ministry Kigoma, Kigoma Video October 2, 2019, 3:26am

Videos by Efatha Ministry Kigoma in Kigoma. Healing and Deliverance By the Blood of Jesus

KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO
Kusanyiko la Wana wa Mungu, litakaloongozwa na Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Josephat E Mwingira. Ni kuanzia tarehe 7 - 14 Mwezi huu wa kumi, siku saba zilizojawa na Ushindi wenye UTUKUFU. Mchungaji kiongozi wa Mkoa wa kigoma Benson E Mpelle na mkewake Safina E Mpelle pamoja na waimbaji watakuwepo usipange kukosa.
Mtaarifu na jirani yako.

Other Efatha Ministry Kigoma videos

Pumzika kwa amani Mzee Elias Mwingira. Tumejifunza mambo mengi katika kipindi chako chote cha miaka 94.Umeondoka ila bado tutakukumbuka daima.

Kusanyiko la NNe kigoma

Halleluyaa

TAREHE 22/12/2019

KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO Kusanyiko la Wana wa Mungu, litakaloongozwa na Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Josephat E Mwingira. Ni kuanzia tarehe 7 - 14 Mwezi huu wa kumi, siku saba zilizojawa na Ushindi wenye UTUKUFU. Mchungaji kiongozi wa Mkoa wa kigoma Benson E Mpelle na mkewake Safina E Mpelle pamoja na waimbaji watakuwepo usipange kukosa. Mtaarifu na jirani yako.

Usikose KUSANYIKO

MAPOKEZI KIBONDO
MAPOKEZI ZIARA YA KITUME, Iliongozwa na Mch. Kiongozi Benson E Mpele. Kigoma wilaya ya KIBONDO

MPANDA
Baba Mtume Na Nabii JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA Alivyopokelewa MPANDA

Vile alivyo Baba ndivyo na Mtoto alivyo, kuna vitu watoto wanajifunza kutoka kwa wazazi. Mzazi mlee mtoto katika njia impasayo nae atapenda kumtumikia Mungu .

Ibada ya Mkesha tare 31.05.2019
IBADA YA MKESHA

HIVI NDIVYO MFUNGO WETU ULIVYOISHA
Sawa sawa na Agizo la Baba yetu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Usiku wa Tarehe 31.5.2019, Wanaefatha wakusanyike na kumaliza maombi yao, wale na kunywa mbele za Bwana.

UFUNUO WOWOTE UNANGUVU NDANI YAKE. Kamwe ufunuo hauwezi kukuacha kama ulivyokuwa
MWEZI WA MFUNGO Andaa siku yakushangilia mbele za Bwana na Utoe sadaka , Iwe shukurani kwa Mungu.

Mwezi wa mfungo (TUMEUNGANA MUBASHARA KUTOKA MWENGE)Kuimba sifa na Kucheza
Mwezi wa mfungo (TUMEUNGANA MUBASHARA NA MASS CHOIR MWENGE)Kuimba sifa na Kucheza Kupitia Trenet TV

KUNA SEHEMU HUTAKIWI KUONEKANA WEWE ULIYEZALIWA MARA YA PILI.
KUNA SEHEMU HUTAKIWI KUONEKANA WEWE ULIYEZALIWA MARA YA PILI.

UIMBAJI ULIOJAA SHANGWE NA FURAHA YA BWANA
UIMBAJI ULIOJAA SHANGWE NA FURAHA YA BWANA

FURAHA YA BWANA INAKIMBIZA UFUKARA
FURAHA YA BWANA INAKIMBIZA UFUKARA (Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira)

UJUMBE kWA WANANDOA
POKEA UJUMBE HUU UKUVUSHE

BARAKA HIZI ZA UBABA ZIKAKUFUATE NA KUKUFIKIA.
BARAKA HIZI ZA UBABA ZIKAKUFUATE NA KUKUFIKIA

TARAJIA MAAJABU YA MUNGU
TARAJIA MAAJABU YA MUNGU LEO

IJUE SIRI ILIOPO KWENYE UKOMBOZI NA UPONYAJI
IJUE SIRI ILIOPO KWENYE UKOMBOZI NA UPONYAJI

AMUA KUSEMA KILE UNACHOAMINI, SAWASAWA NA KILE UMESIKIA.
JE! UNATAKA KUWA MTU MKUU? - AMUA KUSEMA KILE UNACHOAMINI, SAWASAWA NA KILE UMESIKIA.

TAFUTA PENDO LA MUNGU, MAISHA YAKO YATAKUWA NA UTELE.
TAFUTA PENDO LA MUNGU, MAISHA YAKO YATAKUWA NA UTELE. © Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).

MCH SAFINA BENSON MPELE
2019 MUNGU ANAENDA KUKUSHANGAZA

JE! UNATAKA KUWA MTU MKUU?
JE! UNATAKA KUWA MTU MKUU WA MUNGU HAPA DUNIANI? Kama ndiyo, sikiliza ujumbe huu. - Jitahidi kwa NGUVU zako zote, angalia vitu vyenye kuleta maana.

FAHAMU SIRI ILIYOMFANYA MTUMISHI WA MUNGU, MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA KUSTAWI.
Ili kujua SIRI iliyomfanya Mtumishi wa Mungu, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira kustawi, pokea ujumbe huu.

Maandalizi ya Kusanyiko la Tatu mkoani kigoma yanaendelea
Ni Wakati wa Nchi ya Tanzania kumuabudu Mungu

IBADA ZETU

Sehemu ya Ibada ya jumapili 21.10.2018 kwa ufupi -NGUVU YA MUNGU KATIKA PENDO
Sehemu ya ibada kwa ufupi { NGUVU YA MUNGU KATIKA PENDO } wasiliana nasi kupata mwendelezo kwa somo CD zinapatikana kwa 0714 191210

Usipange kukosa kusanyiko Hili ni kwaajili yako Mwana wa Mungu Trenet Tunauleta ulimwengu kwa Yesu.

Kusanyiko kusanyikooo

Tukutane kibaha

Uje kusanyiko kuna mibaraka yako

Kijana huyu kakutana na muujiza wake.

Kusanyiko kusanyiko Mama safina akizungumza juu ya kusanyiko

Mungu anamtumia Mtu
Amekaa ndani ya Ndoa miaka sita bila ya kupata Mtoto ila Baada ya kukutana na Mtumishi wa Mungu Ben E Mpelle na kuombewa leo hii ni mja mzito anatarajia mtoto. Mungu anatenda maajabu

Mchungaji Kiongozi Kigoma- Ben E Mpelle Akizungumzia kusanyiko litakalo anza tarehe 1.10.2018 Precious center- kibaha

Nafasi ya Mtumishi wa Mungu
Pokea

uimbaji wa Efatha
Ibada ya sifa

Sifa za BWANA
Ibada ya Kumsifu Mungu. Mch Kiongozi Ben E Mpelle Na Mkewake Safina B Mpelle wakiwa uweponi mwa Bwana. Sifa za Bwana Mungu Alieziumba Mbingu na nchi zivume.

About   Privacy   Login