FPCT Shalom Temple

FPCT Shalom Temple

Official Page FPCT Shalom Temple Church Kahama Town,Box 350 Kahama Town.

@FPCT Shalom Temple ni Kanisa la Kipentekoste ambalo linaamini katika Utatu Mtakatifu wa Mungu Jehovah,lipo Kahama Mjini katika mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania,ibada kuu ni kila Jumapili kuanzia saa3:00 asubuhi mpaka saa7 mchana.

youtube.com

PASAKA 2020: PASTOR GEOFREY MORIS TOKA DSM AKIHUDUMU APRILI 12

TUNAPATIKANA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA KANISA LIPO KATA YA NYIHOGO MTAA WA MNAZI MMOJA, TUPIGIE +255 757 92 96 69. - WEBSITE👉http://shalomtemplelive.o...

#TANZIA:
- TANGA: Mke wa Askofu mkuu wa FPCT bi Christina Mulenga afiwa na mama yake mzazi Bi Lotina Daudi, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 92.

Bi Lotina alimaliza safari yake jana jioni huko Tanga na msiba uko nyumbani kwa Askofu Mulenga.

Ibada ya kumpumzisha mpendwa wao itafanyika kesho Jumamosi. BWANA alitoa Bwana Ametwaa Jina lake libarikiwe.🙏🏿

Source: @FPCT Taifa

youtube.com

Serikali Imemkaribisha Mungu | Kanisa Tusimame Katika Nafasi Yetu ~ Bishop Elias Simon

#ASKOFU_ELIAS_SIMON
>Serikali Imemkaribisha Mungu katika nchi yetu | Kanisa Tusimame Katika nafasi Yetu.

Chukua dakika 10 kumsikia makamu Askofu mkuu kanisa la FPCT nchini Tanzania akizungumza na washirika wa kanisa la FPCT Shalom Temple wilayani Kahama kwaniaba ya washirika wa Jimbo lote la Shinyanga Magharibi.

Ni katika ibada ya Jumapili iliyohudhuria na wachungaji viongozi wote wanaounda Jimbo la Shinyanga Magharibi Aprili 05 2020.

Makamu Askofu Mkuu Kanisa la FPCT amekuwa na ziara kanda ya Ziwa kuhamasisha kanisa kuendelea kujikinga na maambukizi yanayosababishwa na Homa Kali ya Mapafu itokanayo na virusi vya #Corona au #Covid19.

Mbali na kuhamasisha kanisa kuendelea kuchukua tahadhali Askofu Elias amelitaka kanisa kuendelea kusimama katika nafasi yake ya kuliombea taifa la Tanzania hasa raisi wa nchi yetu Dkt John Pombe Magufuli kwani amemkaribisha Mungu kuendelea kulitetea taifa dhidi ya janga hili linaloitikisa dunia,

Awali kabla ya mahubiri hayo Askofu Elias alipata wasaa kuitambulisha dira mpya ya kanisa la FPCT ijulikanayo kama #4U na kusisitiza kuendelea kuchangia mfuko wa maendeleo wa kanisa mpaka mwezi Mei, ambapo kila mwana FPCT anapashwa kuchangia kiasi cha 10000,

Unaweza kumsikia Makamu Askofu mkuu kupitia Chanel yako bora ya Shalom Temple Kahama pale YouTube kwa link hii https://youtu.be/97nqqi5D6ig

TUNAPATIKANA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA KANISA LIPO KATA YA NYIHOGO MTAA WA MNAZI MMOJA JIRANI, WEBSITE👉http://shalomtemplelive.org/ FACEBOOK👉https://b...

youtube.com

UIMBAJI: Vine Choir wakihudumu Aprili 05 2020 ibada kuu Shalom Temple

#UIMBAJI_VINE_CHOIR
>Ibada ya jana Aprili 05 iliyohudumiwa na Bishop Elias Simon makamu Askofu mkuu kanisa la FPCT nchini Tanzania,

Video Zaidi=>https://bit.ly/39GWhzi

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Kahama Shinyanga

Karibu katika ibada zetu kila Jumapili, kanisa lipo Kahama mjini mkoani Shinyanga eneo linaloitwa Nyihogo Mnazi mmoja ibada kuu ni kila Jumapili kuanzia saa ...

#IBADA_APRILI_05
MNENAJI: Askofu Elias
(Makamu Askofu Mkuu FPCT Taifa)
UJUMBE: Kusimama katika zamu yetu
Habakuki 2:1
AINA YA ZAMU TULIZONAZO
a/. Kudumu katika kuomba
Matendo 6:1-4
Zaburi 64:4
NB Maombi yanatusaidia sisi wenyewe.
b/. Kueneza injili ya Kristo Yesu.
Warumi 10:15
=>Kanisa linaumhimu wa kueneza injili ya tumaini katika hali zote
Yohana 10:10
c/. Kufanya kazi

Ayubu 36:11 Kama wakisikia na kumtumikia,Watapisha siku zao katika kufanikiwa,Na miaka yao katika furaha.

Sababu za kufanya kazi
=>Apate cha kumtolea Mungu
=>Apate cha kuwapa wahitaji
NB. Mungu hubariki kazi zetu toka utukufu hadi utukufu

d/. Zamu ya kumngijea Yesu
Luka 12:39
=>Tuwe Tayari wakati wote maana Yesu yuaja muda wowote.

#EXCLUSIVE
>Mahojiano maalum katibu mkuu wa FPCT Mchungaji George Mwita katika ziara yake mkoani Arusha mapema leo,

Azungumzia uanzishwaji wa chuo kikuu cha FPCT, kanisa la FPCT kuhusu ugonjwa wa #Corona na mambo mengi ya kiutendaji katika uongozi huu mpya katika kanisa letu la FPCT,

Unaweza kumsikia kupitia chanel ya Youtube ya Habari Maalum Media kwa link hii https://www.youtube.com/watch?v=81qxbogudaQ

#Pata_Ukweli

Instagram: @habari_maalum_media
Facebook: Habari Maalum Media
YouTube: Habari Maalum Media

#MHUNGULA_KAHAMA

#UZINDUZI_UMEFANYIKA
>Tumezindua rasmi ibada ya 'Wanaume Tu' watakuwa wanakutana kila Jumapili ya mwisho wa mwezi, M/kiti aeleza malengo waliyonayo video yote ipo tayari YouTube andika Shalom Temple Kahama

#HISIA_ZA_MTU_NDANI
>Kanisa tumepoteza #MGUSO wa KIMUNGU katika ibada zetu, msikie Pastor wetu akiongea katika ibada ya Jumapili Machi 29 2020 hapa FPCT Shalom Temple Kahama mjini,

Ni muendelezo wa somo letu la ''KUFANYIKA WANA'' tuliloanza kujifunza kwa awamu tofauti tofauti tangu 2017, ambapo tupo kipengele cha 'NJIA MUNGU HUZITUMIA KUSEMA NA MTU'

Katika Jumapili zilizopita tuliona namna Mungu anavyoweza kusema na mtu kupitia mtu wa ndani 'Roho/Nafsi' ambae nae anamilango 5 ya fahamu kama ilivyo katika mwili,

Tuliona namna Mungu anavyoweza kusema na mtu kupitia Macho, Masikio, Pua n.k, na bado tunaendelea na milango 5 ya fahamu ya mtu wa ndani ambae ni Roho/Nafsi,

Jumapili ya Machi 29 Pastor wetu ameanza kudadavua mlango mwingine wa fahamu ambao ni 'Hisia/Kuhisi', hapa Pastor wetu Sixberth Kuzenza anaelezea namna Mungu anavyogusa watu wake kupitia hisia zetu za mtu wa ndani,

Video yote=>https://bit.ly/2wPyyzu

Habari& Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 31 2020
Kahama Shinyanga

#KARIBU_SHALOM⛪️👇
#RATIBA_IBADA_ZETU:
>Jumapili: Saa 1:30 Asubuhi hadi Saa 3:00 Asubuhi ni kipindi cha vijana, Jumapili Saa 3:20 Asubuhi hadi Saa 6:00 Mchana ni Ibada kuu kwa watu wote, Jumatatu Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 ni kipindi cha Umoja Wanawake Watumishi 'UWW'

>Jumatano Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 Jioni Mafundisho Kanisa lote, Alhamisi Saa10:00 jioni hadi Saa 12:00 Mafundisho kwa Waamini Wapya (Katekisimu), Ijumaa Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 Jioni ni kipindi cha Maombi katika Zone (Ibada za Nyumbani),

Jumamosi Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 jioni mafundisho kwa waamini wapya (Katekisimu),

Tunakukaribisha katika ibada bila kukosa

Habari & Matangazo
FPCT Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 28 2020
Kahama Shinyanga

FPCT Shalom Temple

#SEASON_TWO
'NGUVU YA SHUKRANI
#APRIL_26_2020

#KARIBU_SHALOM⛪️👇
#RATIBA_IBADA_ZETU:
>Jumapili: Saa 1:30 Asubuhi hadi Saa 3:00 Asubuhi ni kipindi cha vijana, Jumapili Saa 3:20 Asubuhi hadi Saa 6:00 Mchana ni Ibada kuu kwa watu wote, Jumatatu Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 ni kipindi cha Umoja Wanawake Watumishi 'UWW'

>Jumatano Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 Jioni Mafundisho Kanisa lote, Alhamisi Saa10:00 jioni hadi Saa 12:00 Mafundisho kwa Waamini Wapya (Katekisimu), Ijumaa Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 Jioni ni kipindi cha Maombi katika Zone (Ibada za Nyumbani),

Jumamosi Saa 10:00 Jioni hadi Saa 12:00 jioni mafundisho kwa waamini wapya (Katekisimu),

Tunakukaribisha katika ibada bila kukosa

Habari & Matangazo
FPCT Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 28 2020
Kahama Shinyanga

youtube.com

SIKIA MAONI YA WASHIRIKA IBADA KUU MACHI 22 2020

https://www.youtube.com/watch?v=ml2QOEb-zco .

Karibu katika ibada zetu kila Jumapili, kanisa lipo Kahama mjini mkoani Shinyanga eneo linaloitwa Nyihogo Mnazi mmoja ibada kuu ni kila Jumapili kuanzia saa ...

youtube.com

Mahubiri ya Hezroni Zacharia Jumapili Machi 22 2020 Shalom Temple

https://www.youtube.com/watch?v=B8fgHxphUyA .

Karibu katika ibada zetu kila Jumapili, kanisa lipo Kahama mjini mkoani Shinyanga eneo linaloitwa Nyihogo Mnazi mmoja ibada kuu ni kila Jumapili kuanzia saa ...

youtube.com

UIMBAJI: Vine Choir wakiimba 'LIVE' ibada kuu Machi 22 2020 Shalom Temple

https://www.youtube.com/watch?v=n-Rnd2r2OoU .

Karibu katika ibada zetu kila Jumapili, kanisa lipo Kahama mjini mkoani Shinyanga eneo linaloitwa Nyihogo Mnazi mmoja ibada kuu ni kila Jumapili kuanzia saa ...

#SEASON_TWO
'NGUVU YA SHUKRANI
#APRIL_26_2020

TZ823 KITUO CHA HUDUMA YA MTOTO
>Lengo ni kumjenga mtoto hapo baadae awe mtu mzima anaeweza kujitegemea vema katika maisha ya kila siku,

>TZ823 ni kituo kinachopatikana hapa FPCT Shalom Temple mjini Kahama chenye watendakazi mahili wanaojitoa thabiti katika kumfundisha mambo kadha wa kadha mtoto ili awe mtu mzima anaeweza kujitegemea,

>Katika kituo hiki kunashughuli nyingi za kiufundi na kitaaluma zinazofundishwa na waalimu mojawapo ni shughuli za Uselemala, Upishi, Computer, Cherehani, Uchomeleaj, Uchoraji N.K

>Karibu kutazama makala hii fupi kujionea shughuli zinazofanyika hapa,

Video Hapa=>https://bit.ly/398xlR6

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 25 2020
Kahama Shinyanga

TANZIA
>Kweli mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache sana tena zilizojaa tabu sana,

Usiku huu tumeondokewa na kijana wetu Danford Moria kijana mwana umoja wa 'CYM' hapa FPCT Shalom Temple, chanzo cha ajali inasemekana ni ajali ya Pikipiki.

#BWANA alitoa #BWANA ametwaa

MUDA HUU HAPA SHALOM
>Ni katika kutekeleza kwa vitendo kauli ya Serikali wananchi wake kujikinga na ugonjwa wa #Covid19,

Picha na Mpiga picha wetu

#MZIKI_MPYA_NDANI_YA_MJENGO
>Ni baadhi ya vyombo vya muziki vipya vilivyoingia hivi karibuni hapa FPCT Shalom Temple mjini Kahama,

Katika picha hapa ni Sound Engineer Mr James Honore toka Dsm akiweka sawa mambo tayari kwa ibada ya kesho, Shalom Temple ni kanisa linalojali washirika wake na kuenenda na wakati.

Karibu uabudu nasi katika ibada zetu kila Jumatano na Jumapili, tupigie simu 0757929669.

Habari & Matangazo
FPCT Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 21 2020
Kahama Shinyanga

youtube.com

EXCLUSIVE: Mfahamu Askofu Mkuu wa FPCT Bishop Stevie Mulenga

Ile #EXCLUSIVE hii hapa
>''Nimebahatika kuzaliwa pekeyangu | Nimeoa 1982 | African Sports walinihitaji | Safari yangu ilianza 1979 mwishoni | Ninawatoto wanne'', Bishop Mulenga,

Aitaja FPCT Shalom Temple kwa ufanisi mzuri

Full Interview=>https://bit.ly/2wN3MH6

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 20 2020
Kahama Shinyanga

Karibu katika ibada zetu kila Jumapili, kanisa lipo Kahama mjini mkoani Shinyanga eneo linaloitwa Nyihogo Mnazi mmoja ibada kuu ni kila Jumapili kuanzia saa ...

TZ823 KITUO CHA HUDUMA YA MTOTO
>Lengo ni kumjenga mtoto hapo baadae awe mtu mzima anaeweza kujitegemea vema katika maisha ya kila siku,

>TZ823 ni kituo kinachopatikana hapa FPCT Shalom Temple mjini Kahama chenye watendakazi mahili wanaojitoa thabiti katika kumfundisha mambo kadha wa kadha mtoto ili awe mtu mzima anaeweza kujitegemea,

>Katika kituo hiki kunashughuli nyingi za kiufundi na kitaaluma zinazofundishwa na waalimu mojawapo ni shughuli za Uselemala, Upishi, Computer, Cherehani, Uchomeleaj, Uchoraji N.K

>Karibu kutazama makala hii fupi kujionea shughuli zinazofanyika hapa,

Video Hapa=>https://bit.ly/398xlR6

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 19 2020
Kahama Shinyanga

#JIMBO_LA_PWANI

- Watumishi 31 wa Jimbo la Pwani katika kanisa la FPCT wakiwa wamechangia mfuko wa maendeleo wa kanisa, ni wakati Askofu mkuu wa FPCT akiwa ziarani kwa semina elekezi Jimboni hapo na kuhamasisha mambo kadhaa ya maendeleo ya kanisa letu.

- Ezra 10:4 Inuka ewe mwana FPCT maaana shughulikia hii inakuhusu were,

- Moja kati ya mambo ambayo FPCT kupitia uongozi mpya wa kitaifa imepanga kuyafanya ni pamoja na kuboresha Vyuo vyetu, Hospital, kuendeleza mradi wa ujenzi wa Centre yetu kule Dodoma, Kuanzisha kituo cha Television, Kuanzisha Gazeti la kanisa letu n.k,

- Hivyo kila mwana FPCT kote nchini kwa moyo ya dhati kabisa anatakiwa achangie kiasi cha Tzs 10,000/= kila mmoja ili kufikia malengo haya,

- Zipo njia mbili ili kutuma mchango wako, unaweza kumpatia mchungaji wako fedha hiyo ya kuchangia maendeleo ya kanisa nae atakupatia stakabadhi ya malipo au unaweza kuituma moja kwa moja BANK na kisha kumjulisha kiongozi wako ili akuweke kwenye orodha ya washirika ambao tayari wamechangia,

- Akaunti ni CRDB BANK namba ni 0150043063305 Jina ni FPCT DEVELOPMENT FUND,

- Ukishaweka mchango wako piga picha inayoonyesha slip ya malipo hayo na tuma kwa WhatsApp +255 755 664 009 na itapostiwa online kuhamasisha wengine maendeleo haya,

- Fahamu hii inawahusu wana FPCT wote kote nchini kuanzia ngazi ya matawi hadi taifani,

EZRA 10:4 INUKA EWE MWANA FPCT MAANA SHUGHULI HII INAKUHUSU WEWE, mtazamo mpya, fikra mpya, mawazo mapya, ubunifu mpya FPCT mpya 2020-2024.

#CHANGIA_4U
- Safari ilianzia makao makuu ambapo watumishi 20 wa ofisi kuu walikuwa wakwanza kuchangia mfuko wa maendeleo wa kanisa letu la FPCT nchini,

- Ambapo kila mshirika wa FPCT popote alipo nchini atatakiwa kuchangia Tzs 10,000/= (elfu kumi tu) mpaka kufikia mwezi wa tano mwaka huu, hii kwa ajili ya kufanikisha malengo na Dira yetu mpya ya 4U kwa miaka 5 ijayo 2020-2024,

- Unaweza weka mchango wako kwa wakala yeyote wa CRDB BANK kupitia Namba hizi 0150043063305 Jina ni FPCT DEVELOPMENT FUND,

- Ukishaweka mchango wako piga picha inayoonyesha slip ya malipo hayo na tuma kwa WhatsApp +255 755 664 009 na itapostiwa online kuhamasisha wengine,

- FPCT ni yetu na tutaijenga sisi wenyewe #MwanzoMPYA 2020 4U , ewe mwana FPCT Inuka maana Shughuli hii Inakuhusu

#Kampeni_ya_Maendeleo

Sixberth Kuzenza

Shinyanga tunaanza leo mpaka Jumapili, ni kwenye Kanisa la Hossana kwa Askofu Kiyuga pale Kambarage. Karibuni tujumuike pamoja watu wa Shinyanga

IBADA KUU MACHI 15
>Ilivyokuwa ibada kuu hapa FPCT Shalom Temple mjini Kahama, mhubiri Mwalimu Emmanuel Paul,

Pichaz Hapa=>https://bit.ly/2QgsAyf

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 15 2020
Kahama Shinyanga

HUDUMA YA MTOTO TZ823
>Kupitia Shalom Temple TV usikose kutazama #Makala hii kujionea #Shughuli zinazoendeshwa na vijana/watoto wanaolelewa katika kituo cha Huduma ya Mtoto TZ823 hapa FPCT Shalom Temple mjini Kahama,

Ni kituo bora chenye watendaji makini katika kumuandaa mtoto kuwa mtu mzima anaeweza kujitegemea hapo baadae kiakili,kijamii na hata kiroho,

Moja ya vipaji utakavyo viona ni pamoja na utangazaji wa vipi vya Television na mambo kadha wa kadhaa,

Kumbuka ni pale YouTube kupitia chanel yako bora kabisa ya Shalom Temple TV kwa link hii https://www.youtube.com/cha…/UCHCNE_2lK7gVQgKenD-ljlg/videos

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 13 2020
Kahama Shinyanga

HUDUMA YA MTOTO TZ823
>Kupitia Shalom Temple TV usikose kutazama #Makala hii kujionea #Shughuli zinazoendeshwa na vijana/watoto wanaolelewa katika kituo cha Huduma ya Mtoto TZ823 hapa FPCT Shalom Temple mjini Kahama,

Ni kituo bora chenye watendaji makini katika kumuandaa mtoto kuwa mtu mzima anaeweza kujitegemea hapo baadae kiakili,kijamii na hata kiroho,

Moja ya vipaji utakavyo viona ni pamoja na utangazaji wa vipi vya Television na mamba kadha wa kadhaa,

Kumbuka ni pale YouTube kupitia chanel yako bora kabisa ya Shalom Temple TV kwa link hii https://www.youtube.com/channel/UCHCNE_2lK7gVQgKenD-ljlg/videos

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 12 2020
Kahama Shinyanga

Ile #EXCLUSIVE hii hapa
>''Nimebahatika kuzaliwa pekeyangu/Nimeoa 1982/African Sports walinihitaji/Safari yangu ilianza 1979 mwishoni/Ninawatoto wanne'', Bishop Mulenga,

Aitaja FPCT Shalom Temple kwa ufanisi mzuri

Full Interview=>https://bit.ly/2wN3MH6

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Kahama Shinyanga
Machi 12 2020

ASK MASENGWA AZUNGUMZA:
>Askofu wa jimbo letu la Shinyanga Magharibi Thomasi Masengwa awatumia salamu wazembe wote waliopo kwenye Jimbo letu hili la Shinyanga Magharibi: ''Mkubwa anapoagiza lazima ukimbie mbio/ni zama za 4U,

Msikie Hapa=>https://bit.ly/2vbb0UY

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 09 2020
Kahama Shinyanga

IFAHAMU 4U
>Mbele ya waandishi wa habari Askofu mkuu makanisa yetu ya FPCT aizungumzia dira yake ya 4U, aahidi kuwashughulikia watumishi wote watakaoenda kinyume na dira yake 4U,

Msikie Hapa=>https://bit.ly/2wFBtu8

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 08 2020
Kahama Shinyanga

MFAHAMU BISHOP MULENGA:
>Katika tukio la jana Machi 08 2020 Shalom Temple TV ilifunga safari mpaka mkoani Singida kushuhudia tukio la kusimikwa maaskofu 24 waliochaguliwa katika chaguzi za hivi karibuni katika majimbo yao,

Na katika Jimbo la Shinyanga Magharibi Askofu Thomas Masengwa alikuwa miongoni mwa maaskofu hao,

Ni maaskofu 7 tu ndio walifanikiwa kurudi katika nafasi zao huku 17 wakiingia kwa mara ya kwanza katika utumishi huo,

Kwenye hii #EXCLUSIVE Askofu mkuu wa makanisa yetu Stevie Mulenga alieleza kwa kirefu historia yake yote. Ni mzaliwa wa wapi anawatoto wangapi, aliokoka link hadi kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Askofu mkuu wa FPCT katika uchaguzi uliopita,

Ingia YouTube na subscribe Chanel yetu ili tutakapo iweka uwe wa kwanza kuiona.

TOKA SINGIDA:
>Zimetufikia picha 38 jinsi tukio la kihistoria lilivyoandikwa katika ardhi ya Singida ambapo maaskofu 24 wa majimbo ya FPCT nchini Tanzania wamesimikwa leo rasmi kutumika katika nafasi hizo kwa miaka mitano 2020 hadi 2024,

Askofu Thomas Masengwa wa JImbo letu la Shinyanga Magharibi ni miongoni mwa wasimikwa hao 24, katika usimikaji huo ni maaskofu 7 tu ndio walichagulia kwa awamu nyingine huku 17 wakiwa wapya,

Picha 38 Zipo=>https://bit.ly/331kvlU

Picha na Habari Maalum Media

Habari & Matangazo
Fpct Shalom Temple
+255 757 92 96 69
Machi 08 2020
Kahama Shinyanga

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

INTERVIEW
SEASON TWO TOUR >Full Interview hapa https://www.youtube.com/watch?v=QgzHm9xUtA0
TUKUTANE SEPT 29
USIKOSE JUMAPILI
HITIMISHO JUMA LA MWANAMKE AUGUST 18 2019
SIKU YA PASAKA: Tarehe 21/4/2019 Play Video Hapa Kusikia Mahojiano Maalumu na waimbaji
UJAZO ROHO MTAKATIFU
VIJANA SHALOM: >Sehemu ya matukio yaliyofurahisha sherehe ya vijana 2018 hapa FPCT Shalom Temple ukumbi wa SubMarine Hotel Kahama, enjoy na wewe hapa, ilikuwa November 25.
IBADA YA NDOA

Location

Category

Telephone

Address


Nyihogo
Kahama
BOX 350
Other Kahama places of worship (show all)
Efatha Ministry Kahama Efatha Ministry Kahama
Mbulu
Kahama, KAHAMA

psolezigmail.com psolezigmail.com
P.o Box 732
Kahama, 1987

MTOTO NA Kijana Kwanza MTOTO NA Kijana Kwanza
P.O BOX 237 KAHAMA
Kahama

releasing children from poverty in Jesus name

Mwenyehaki KIDS Prayer Mwenyehaki KIDS Prayer
S. L. P 856 KAHAMA
Kahama, +255

International Evengelism Church

Nyasubi SDA Choir,kahama Nyasubi SDA Choir,kahama
Nyakato,kahama,
Kahama

AN EVANGELISTIC CHOIR SET OUT TO PROCLAIM THE THIRD ANGEL'S MESSAGE KWAYA YA UINJILISTI INAYOTANGAZA UJUMBE WA MALAIKA WATATU