Family Vision Foundation

Family Vision Foundation

[08/09/17]   bado tunaendelea kuihudumia jamii

ni kwa neema tu...!

mimi ni mtoto, jamiiinilinde kwa nguvu zote ili niweze kufikia matarajio yangu ambayo mungu kanipangia.. 

Family Vision Foundation's cover photo

Family Vision Foundation's cover photo

[01/12/17]   mtoto wako ndio mzazi wa wajukuu zako kesho...mlinde na umtunze, ili awe mzazi mzuri baadae

Family Vision Foundation

Moja ya Kosa Kubwa Ambalo Husababisha Kushindwa ni Tabia Hii Hapa.
Tunashindwa kufikia mafanikio katika maisha kutokana na ushawishi wa watu wengine wa karibu na sisi au watuzungukao. Tumekuwa tukihalalisha kushindwa kwetu kutokana na kujilinganisha na wengine karibu yetu.

Kujilinganisha na mtu ye yote ni kosa kabisa kwa sababu tunatofautiana malengo, maono na imani. Watu wengi wamesombwa ukawaida. Kawaida huwa ni kikwazo ambacho huwazuia watu wengi ambao wameshindwa kujua siri ya kufanikiwa maishani. Kwa wewe ambaye unasoma maandiko yetu kila siku, tayari utakuwa umeanza kujua siri za kufikia mafanikio ya maisha yako, hivyo utakuwa wajua namna ya kupuuza na kukaa mbali na kawaida. Waliofanikiwa ni wale wote ambao walijizuia kuchukuliwa na kawaida zilizozoeleka.

[12/27/16]   Moja ya Kosa Kubwa Ambalo Husababisha Kushindwa ni Tabia Hii Hapa.

HAPA KAZI TU

F.V.F ni asasi yenye hadhi isiyokuwa ya kiserikali, kisiasa wala kidini inayoshughulika na masuala ya kusaidia familia zenye maisha ya chini kujikwamua kimaisha katika kipenegelea cha afya, uchumi na kijamii kuanzia ngazi ya mtaa, kijiji, kata, tarafa na wilaya.

SHUGHULI TUNAZOFANYA
kiafya na mazingira;
• Kutoa elimu ya afya ya uzazi salama kwa wanafamilia wa wilaya ya kahama kwa kutumia wataalamu mbalimbali wenye uelewa wa kina juu ya masuala ya afya uzazi.
• Kutoa elimu na Uhamasishaji juu ya kupunguza maambukizi ya UKIMWI/VVU
• Kutoa elimu ya mama na mtoto kwa wanafamilia wa wilaya ya kahama
• Kutoa elimu na uhamishaji juu ya mambo ya lishe bora kwa watoto na watu waishio na virusi vya ukimwi (WAVIU)
• Kutoa elimu na uhamasishaji jamii juu ya usafi na utunzaji wa mazingira vikiwemo vyanzo vya maji na upandaji wa miti.
kiuchumi na biashara
 Kutoa elimu ya ujasiliamali kwa wananchi (wanafamilia) ikiwemo namna ya upatikanaji wa mitaji kwa wajasiliamali wadogo wadogo
 Kutoa ushauri wa kibiashara ikiwe uandishi wa maandiko mradi.
 Kusadia wanafamilia/wanajamii kupata mikopo ya mashariti na riba ndogo

kijamii
 Kuelimisha jamii juu ya malezi na makuzi salama ya mtoto (ulinzi na usalama wa mtoto)
 Kuzuia na Kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto
 Kusaidia watoto kupata haki zao za msingi
 Kuzuia na Kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake
 Kutoa elimu juu ya sheria mbalimbali za nchi zinazotuongoza katika shughuliza kila siku ikiwemo katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

ANUANI
Family Vision Foundation
S.L.P 629
NYASUBI-KAHAMA,
SIMU: 0766945554
Barua pepe: [email protected]

[12/01/16]   F.V.F ni asasi yenye hadhi isiyokuwa ya kiserikali, kisiasa wala kidini inayoshughulika na masuala ya kusaidia familia zenye maisha ya chini kujikwamua kimaisha katika kipenegelea cha afya, uchumi na kijamii kuanzia ngazi ya mtaa, kijiji, kata, tarafa na wilaya.

SHUGHULI TUNAZOFANYA
kiafya na mazingira;
• Kutoa elimu ya afya ya uzazi salama kwa wanafamilia wa wilaya ya kahama kwa kutumia wataalamu mbalimbali wenye uelewa wa kina juu ya masuala ya afya uzazi.
• Kutoa elimu na Uhamasishaji juu ya kupunguza maambukizi ya UKIMWI/VVU
• Kutoa elimu ya mama na mtoto kwa wanafamilia wa wilaya ya kahama
• Kutoa elimu na uhamishaji juu ya mambo ya lishe bora kwa watoto na watu waishio na virusi vya ukimwi (WAVIU)
• Kutoa elimu na uhamasishaji jamii juu ya usafi na utunzaji wa mazingira vikiwemo vyanzo vya maji na upandaji wa miti.
kiuchumi na biashara
 Kutoa elimu ya ujasiliamali kwa wananchi (wanafamilia) ikiwemo namna ya upatikanaji wa mitaji kwa wajasiliamali wadogo wadogo
 Kutoa ushauri wa kibiashara ikiwe uandishi wa maandiko mradi.
 Kusadia wanafamilia/wanajamii kupata mikopo ya mashariti na riba ndogo

kijamii
 Kuelimisha jamii juu ya malezi na makuzi salama ya mtoto (ulinzi na usalama wa mtoto)
 Kuzuia na Kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto
 Kusaidia watoto kupata haki zao za msingi
 Kuzuia na Kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake
 Kutoa elimu juu ya sheria mbalimbali za nchi zinazotuongoza katika shughuliza kila siku ikiwemo katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

ANUANI
Family Vision Foundation
S.L.P 629
NYASUBI-KAHAMA,
SIMU: 0766945554
Barua pepe: [email protected]

[11/29/16]   bado tuko njiani tunakuja

Family Vision Foundation

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

P.O BOX 629
Kahama
P.O BOX 629 KAHAMA
Other Religious Organizations in Kahama (show all)
Mwenyehaki KIDS Prayer Mwenyehaki KIDS Prayer
S. L. P 856 KAHAMA
Kahama, +255

International Evengelism Church

MTOTO NA Kijana Kwanza MTOTO NA Kijana Kwanza
P.O BOX 237 KAHAMA
Kahama

releasing children from poverty in Jesus name

FPCT Shalom Temple FPCT Shalom Temple
Nyihogo
Kahama, BOX 350

Official Page FPCT Shalom Temple Church Kahama Town,Box 350 Kahama Town.

Efatha Ministry Kahama Efatha Ministry Kahama
Mbulu
Kahama, KAHAMA