TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania

Comments

Baba Mch kanisa la T.A.G Betheli Deliveranc, BWANA YESU ASIFIWE. Kanisa la T.A.G Buziku Miracle Centre (CHATO) linatafuta watu wanaosaport mikutano ya injili na kuhubiri. Kama wapo unaowafahamu tufanyie mpango au unaweza kutuunganisha nao (0753016921/0714993655)

[10/08/16]   Karibu Uabudu pamoja nasi ktk ibada ya kesho Yupo Yesu mnazareti atayagusa maisha yako hutotoka kama ulivyoingia.

[06/25/16]   Shukrani,
Kwa Wote Walio Tubeba Kwa Maombi Na Kututakia Huduma Njema Kwa Mkutano Uliokuwa Wa Trh 17-19/06/2016 Wiki Jana,

Mungu Awabariki Na Kuwakumbuka Ktk Haja Na Maitaji Yenu,hakika Mungu Alifanya Wengi Wali isikia Injili, Kuponywa,kuokoka

Na Hata
Wengine Walifunguliwa Kutoka Ktk Nguvu Za Giza Na Kuwekwa Huru Na Bwana Yesu.

OMBEA MKUTANO HUU MWANA WA INJILI NA MUNGU AKUBARIKI.

[04/05/16]   TAFAKARI ANDIKO HILI...
MATHAYO 11:28 NJONI KWANGU NINYI NYOTE MSUMBUKAO NA WENYE KULEMEWA NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA.....NIRA YANGU NI LAINI NA MZIGO WANGU NI MWEPESI.

JE! UPO TAYARI KUTUA MZIGO MZITO ULIO NAO NA KUPOKEA MWEPESI KWA YESU?

[03/07/16]   TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI UTAKAO ANZA TRH 09-13/03/2016 KATIKA VIWANJA VYA KANISA HAPA BETHELI DELIVERANCE SOFI CENTER-MUHONGOLO KAHAMA TANZANIA.

TUNAITAJI MAOMBI YAKO MTU WA MUNGU.

Mwinjilisti Baraka January akihubiri katika moja wapo ya ibada kanisani kwetu Betheli.

Tamka neno la Baraka Kwa Mtumishi huyu.

USIOGOPE!

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania

[03/12/15]   Naibariki siku yako Katika jina la Yesu.

Mawazo ya Mungu si kama ya Mwanadamu.

Photos from TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania's post

TULIKO TOKA NA TUNAKOELEKEA................
Hata sasa Tunao ushuhuda.

LUKA 1:37
KWA KUWA HAKUNA NENO LISILOWEZEKANA KWA MUNGU.

[01/28/15]   NAKUTAKIA BARAKA ZA BWANA RAFIKI

Profile Pictures

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania

Jina hili la Yesu Kristo Mnazareti ambae ni mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana likutendee mema kwa utukufu wa Mungu baba Mwana na Roho Mtakatifu.

Type Amen.

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania's cover photo

[01/04/15]   Karibu katika ibada tumwabudu Mungu pamoja.

Ulie nje ya Kahama/Mbali tunaenelea kukuombea.

Stay connected

[01/02/15]   MWAKA WA KUNG'ARA NA KIBALI.
2015

TUNAMSHUKURU MUNGU NA BWANA WETU YESU KRISTO KATIKA IBADA YA MWAKA MPYA YA TRH 01/01/2015 BWANA AMESEMA NASI NENO LA KINABII KWA MWAKA 2015 KUPITIA MTUMISHI WAKE PASTOR & EV.EMMANUEL F.KITALY KUWA :-

MWAKA HUU NI MWAKA WA "KUNG'ARA NA KIBALI" KWA KUWA "NURU" YAKO IMEKUJA NA UTUKUFU WA BWANA UMEKUZUKIA.
ISAYA 60:1-7.

HATA KWAKO SIKIA NENO LA BWANA!!!!!
NATAMKA "KUNG'ARA NA KIBALI:-

KATIKA FAMILIA ,OFISI, BIASHARA, MASOMO,HUDUMA NA NDOA.
UWE NA KIBALI UKAFANIKIWE NA KUNG'ARA KATIKA KILA UFANYALO.

BWANA AONDOE:- MATESO,MAGONJWA,MADENI,KUONEWA,DHULUMA NA KILA AINA YA UONEVU TOKA KWA SHETANI.
UKAONE WEMA WA BWANA NA FURAHA YA WOKOVU TANGU SASA KATIKA JINA LA YESU!

TYPE AMEN.

******HAPPY NEW YEAR 2015*****

2015. 2015. 2015. 2015
KARIBU RAFIKI

TUNA PENDA KUKU KARIBISHA KATIKA IBABA YA MOTO NA UDHIHIRISHO WA ROHO MTAKATIFU YA MWAKA MPYA 01/01/2015.

LIPO NENO KWA AJILI YAKO KWA MWAKA 2015 MUNGU ANA MAKUSUDI NA MPANGO MZURI KWA MAISHA YAKO
NJOO UPATE DIRA NA MWELEKEO WA MAISHA YAKO.

ISAYA 49:16
TAZAMA NIMEKUCHORA KATIKA VITANGA VYA MIKONO YANGU; KUTA ZAKO ZIKO MBELE YANGU DAIMA.

TUNAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA.
HAPPY NEW YEAR 2015

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania's cover photo

Yesu anakupenda tena anakujali sana.

[12/23/14]   Mungu anakupenda rafiki!
Je na wewe unampenda.......

~NI HABARI NJEMA KWA WOTE~

TUNA WAKARIBISHA WOTE KATIKA
IBADA ZETU.

JUMAPILI:-

ASUBUHI:-
~09:00-10:00 MAOMBI PAMOJA NA
NENO LA UTANGULIZI

~10:00-12:30 IBADA KUU.

JUMA TANO-JIONI:-
04:00-06:00 MAFUNZO YA BIBLIA.

IJUMAA-JIONI
04:00-06:00 MAFUNZO NA MAOMBI.

KUMBUKA:-
HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI KWA WOTE INATOLEWA.
IKIWA UNA TATIZO LOLOTE USISITE KUFIKA KWA MAOMBEZI NA USHAURI PIA.

TUMEJIPANGA KUKUHUDUMIA KWA MOYO WA UPENDO NA KWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU BWANA YESU ATAKUPONYA,ATAKUFUNGUA NA KUKUWEKA HURU KABISA.

MATHAYO 10:8
POZENI WAGONJWA,FUFUENI WAFU,TAKASENI WENYE UKOMA,TOENI PEPO "MMEPATA BURE TOENI BURE"

WAWEZA KUTUMA MAITAJI/SHIDA YAKO IN BOX NASI TUTAOMBA PAMOJA NAWE.

**TUNAKUTAKIA BARAKA ZA BWANA**
**WETU YESU KRISTO KWA MAISHA**
**YAKO**
........ KARIBU SANA...........

SIMU-0754-478929
0784-478929
[email protected]

[12/16/14]   UMESHA JIULIZA SWALI HILI!

IKITOKEA UMEKUFA AU PARAPANDA LIMELIA TAYARI KWA UNYAKUO WA WATAKATIFU.
UTAKUWA WAPI KWA MAISHA YA UMILELE?

A.JEHANAMU MILELE
B.UZIMA WA MILELE

CHUKUA HATUA YESU YU KARIBU RAFIKI,NAFASI YA KUAMUA BADO IPO INAKUSUBIRI.

[12/09/14]   Mungu ni mwaminifu hata kuacha endelea kumwamini na kuutunza Utakatifu ambao hakuna atakae mwona Mungu asipo kuwa nao.

Naibariki siku yako tena uwe na siku njema.

[12/06/14]   NAKUTAKIA USIKU MWEMA MUNGU AKULINDE NA KUKUTUNZA.

Wainjilisti wakihudumu Betheli ktk ibada

Nakutakia Baraka za Bwana.

Baadhi ya kumbukumbu Kanisa lilipo zaliwa Trh 26/03/2014-Trh 23/11/2014..Kupata Mchungaji.

[12/03/14]   HALELUYAAAAAAAAA!

Nakusalimu katika jina lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo.

Napenda kukukaribisha mwana FB katika kurasa yetu hii ya T.A.G BETHELI CHURCH-SOFI KAHAMA ambalo ni Tawi la Kanisa la T.A.G DELIVERANCE CHURCH-KAHAMA MJINI.

Kanisa hili LIPO NJE KIDOGO YA MJI WA KAHAMA KATA YA MHONGOLO-KIJIJI CHA SOFI Kanisa hili lilianzishwa na Idara ya uinjilisti ya Kanisa la T.A.G DELIVERANCE TEMLE Tarehe 26/03/2014 na kusimamiwa na Idara hiyo.

Na baada ya Huduma kuendelea vizuri Kanisa lilipewa Mchungaji rasmi wa kulichunga Trh 23/11/2014.

NIFURAHA YETU UWAPO KAHAMA AU UFIKAPO KAHAMA UTATUTEMBELEA.

HAKIKA TUTAFURAHI KUKUONA NA KUSHIRIKI BARAKA ZA BWANA PAMOJA NAWE.

NIMAOMBI YETU:-

MUNGU AKULINDE NA KUKUFANIKISHA KATIKA YOTE UYAENDEAYO KATIKA BWANA.

TENA TUNAKUTAKIA BARAKA ZA BWANA, BWANA AKUKUMBUKE NA AKUTENDEE SAWA NA KIU YA HAJA YA MOYO WAKO.

KARIBU.

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania

TAG Betheli Deliverance Church-Sofi Kahama Tanzania's cover photo

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Kahama
S.L.P 576
Other Religious Organizations in Kahama (show all)
Mwenyehaki KIDS Prayer Mwenyehaki KIDS Prayer
S. L. P 856 KAHAMA
Kahama, +255

International Evengelism Church

Efatha Ministry Kahama Efatha Ministry Kahama
Mbulu
Kahama, KAHAMA

Nyasubi SDA Choir,kahama Nyasubi SDA Choir,kahama
Nyakato,kahama,
Kahama

AN EVANGELISTIC CHOIR SET OUT TO PROCLAIM THE THIRD ANGEL'S MESSAGE KWAYA YA UINJILISTI INAYOTANGAZA UJUMBE WA MALAIKA WATATU

MTOTO NA Kijana Kwanza MTOTO NA Kijana Kwanza
P.O BOX 237 KAHAMA
Kahama

releasing children from poverty in Jesus name