Mwenyehaki KIDS Prayer

Mwenyehaki KIDS Prayer

International Evengelism Church

Photos from Mwenyehaki KIDS Prayer's post

Join hand save the kids

Photos from Mwenyehaki KIDS Prayer's post

[01/08/19]   Join hand save the kids

Join hand save the kids

We care kids

Hug me,

Timeline Photos

Make joy to your kids, because
Philippines 4:4

[11/01/16]   Yesu anakupenda, chukua hatua njoo kwa yesu , anakuita

Joy make me hopefull

[09/05/16]   Naomba kufanya kazi na Joyce meyer ministries kiswahili

Tuna maombi ya kuombea nchi ,,, sisi watoto tumejitoa kuiombea nchi yetu ili Mungu awanyamazishe wanasiasa

Pray for me,

iii nalemaga

Furaha yangu timilifu , kwakuwa Bwana ni ngome, mwamba na wokovu wangu.

Timeline Photos

Kama sio Mungu Mwenyehaki na aseme

Join hands, save the kids

Unafikiri nini ukiona picha ya watoto hawa, comment yako hapo chini

Timeline Photos

Join hands, save the kids

Timeline Photos

UPENDO HAUBAGUI , FUNDISHA KILA MTOTO KUMJUA MUNGU

[06/17/16]   Things that can be brought about your son went into categories evil that is, street children are poverty, a father when drunk starts to beat and insulted the family, your son has sent cigarettes, marijuana or alcohol before being delivered to you it tasted, and things like that, is to be caring for the child in the way he should go, even if you are an alcoholic struggling to protect your son from being drunk and do apostle They brought the things that can harm and failing to fulfill his dreams, also to save his family from poverty ,,,
Stay with your child regularly been urged to tell or advise ways that should follow in order to succeed, as well as teach children to be HONEST as Younger. Say amen if you understand me

[06/17/16]   Mambo ambayo yanaweza yakasababisha mwanao akaingia katika makundi mabaya yaani, watoto wa mtaani ni Umasikini, baba ukilewa unaanza kupiga na kuwatukana familia, mwanao una mtuma sigara , bangi au pombe kabla hajafikisha kwako anaonja, na mambo kama hayo, inatakiwa umlee mtoto katika njia impasayo, hata kama wewe ni mlevi jitahidi mwanao kulinda asiwe mlevi na usimtume vitu ambavyo vinaweza vikamletea madhara na kushindwa kutimiza ndoto zake , pia hata kuiokoa familia yake kutoka katika umaskini,,,
Kaa na mwanao mara kwa mara ukimsihi na kumwambia au kumshauri njia ambazo anatakiwa kuzifuata ili afanikiwe, pia MFUNDISHE MTOTO UAMINIFU akiwa Mdogo. Sema amina kama umenielewa

[05/03/16]   Have you met with a group of street children (street kids), what do you think about them? Perhaps you might have thought as I did, that it is the children of the devil School which offers workers as follows,: thugs, gangsters, marijuana smokers, and all the dirty things like these. If you read the Bible Ephesians 6: 1-4, Redirecting way of raising a child with warnings and decency, and yet may warn the child, but not for decency. The child must be warned politely to understand what he needs to do and what he must not do, Ephesians 6: 4a says, ye fathers, provoke not your children, and I advise friends do not provoke your son but Lee in the way he should, next week I will tell you some ways that is aggression for son, be blessed

FURAHA YA BWANA NDIO NGUVU YANGU

Happy passover

[03/28/16]   Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee

[12/30/15]   Je, wajua? Malezi ya mtoto yanatakiwa kuanza tu, utakapo gundua kuwa una ujauzito /mke wako anaujauzito mpaka atakapokuwa na miaka Sita. Tofauti na miaka 0 - 6, mtoto atakuwa amevuka umri wa malezi, ( hiyo ni elimu kutoka kwa Mungu)

Mwenyehaki KIDS Prayer's cover photo

Mwenyehaki KIDS Prayer's cover photo

OUT IN JESUS NAME

FURAHA YETU NI TIMILIFU KSTIKA EVENTOS VIDA AFRICA

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Telephone

Address


S. L. P 856 KAHAMA
Kahama
+255
Other Religious Organizations in Kahama (show all)
Efatha Ministry Kahama Efatha Ministry Kahama
Mbulu
Kahama, KAHAMA

Nyasubi SDA Choir,kahama Nyasubi SDA Choir,kahama
Nyakato,kahama,
Kahama

AN EVANGELISTIC CHOIR SET OUT TO PROCLAIM THE THIRD ANGEL'S MESSAGE KWAYA YA UINJILISTI INAYOTANGAZA UJUMBE WA MALAIKA WATATU

MTOTO NA Kijana Kwanza MTOTO NA Kijana Kwanza
P.O BOX 237 KAHAMA
Kahama

releasing children from poverty in Jesus name