MTOTO NA Kijana Kwanza

MTOTO NA Kijana Kwanza

releasing children from poverty in Jesus name

[12/28/15]   TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
Uongozi wa shule ya ST. PAUL ENGLISH MEDIUM SCHOOL unawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo ujao 2016, kwa darasa la awali (chekechea) na darasa la kwanza. Shule ipo katika viwanja vya kanisa la anglican nyasubi, ina walimu wenye wito wa kutumika katika maadili ya kimungu na malezi ya kimungu. Ni wazoefu katika malezi ya watoto na kufundisha. Wewe mzazi mwenye mtoto unakaribishwa sana, mlete mtoto wako apate elimu bora na malezi bora ya misingi ya kimungu. Watoto wa dini zote wanapokelewa.! Gharama zetu ni nafuu sana……!

NAMNA YA KUJIUNGA
Fika katika ofisi za shule kanisa la anglican nyasubi, onana na mwalimu mkuu au meneja wa shule utapatiwa fomu ya kujiunga kwa tshs 3,000/=
Kwa maelezo zaidi piga simu
Meneja: 0753176693, 0684188448
Mwl mkuu: 0756272204, 0689450543

[12/28/15]   DAYOSISI YA TABORA
PARISHI YA KAHAMA
ST. PAUL ENGLISH MEDIUM SCHOOL
S.L.P 237 KAHAMA
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
Uongozi wa shule ya ST. PAUL ENGLISH MEDIUM SCHOOL unawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo ujao 2016, kwa darasa la awali (chekechea) na darasa la kwanza. Shule ipo katika viwanja vya kanisa la anglican nyasubi, ina walimu wenye wito wa kutumika katika maadili ya kimungu na malezi ya kimungu. Ni wazoefu katika malezi ya watoto na kufundisha. Wewe mzazi mwenye mtoto unakaribishwa sana, mlete mtoto wako apate elimu bora na malezi bora ya misingi ya kimungu. Watoto wa dini zote wanapokelewa.! Gharama zetu ni nafuu sana……!

NAMNA YA KUJIUNGA
Fika katika ofisi za shule kanisa la anglican nyasubi, onana na mwalimu mkuu au meneja wa shule utapatiwa fomu ya kujiunga kwa tshs 3,000/=
Kwa maelezo zaidi piga simu
Meneja: 0753176693, 0684188448
Mwl mkuu: 0756272204, 0689450543

[12/27/15]   mtoto na kijana kwanza, tutapost fursa mbalimbali ambazo watoto wanakutana nazo katika huduma zetu kupitia kanisa la anglikana nyasubi kahama mjini.n lengo ikiwa ni kuona jinsi BWANA anavyowapenda na anavyowasaidia watoto na vijana wa umri mdogo waweze kufikia mafanikio na kutimiza ndoto zao katika maisha

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Telephone

Address

P.O BOX 237 KAHAMA
Kahama
Other Religious Organizations in Kahama (show all)
FPCT Shalom Temple FPCT Shalom Temple
Nyihogo
Kahama, BOX 350

Official Page FPCT Shalom Temple Church Kahama Town,Box 350 Kahama Town.

Mwenyehaki KIDS Prayer Mwenyehaki KIDS Prayer
S. L. P 856 KAHAMA
Kahama, +255

International Evengelism Church

Family Vision Foundation Family Vision Foundation
P.O BOX 629
Kahama, P.O BOX 629 KAHAMA

Efatha Ministry Kahama Efatha Ministry Kahama
Mbulu
Kahama, KAHAMA