Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma

Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma

Kanisa letu zuri linapatikana eneo la Kisasa C centre mkabala na shule ya sekondari ya Kisasa:

Mungu anaendelea kuliongeza kanisa lake MACEDONIA GOSPEL CENTRE, Lililopo Kisasa - Dodoma,

Karibu uabudu pamoja nasi.

MGC WWK DAY

ilikuwa njema Sana tumemuona Mungu kwa namna ya kipekee sana, hakika hili ni jeshi kubwa.

MGC WWK DAY

Wanawake watumishi wa kristo

MGC WWK DAY

MGC WWK DAY

WWK PRAISE TEAM

MGC WWK DAY

WAEFESO 5:14
''Hivyo husema amka wewe usinziaye, Amka, wewe usinziaye, Ufufuke katika wafu, Na Kristo atakuanganza''

MGC WWK DAY

MGC WWK DAY

Mchungaji YUDA SANGA

WWK DAY

Mchungaji Professor JOSEPH KIMEME na Mama Mcungaji VIOLET KIMEME

Tupo na mtumishi wa Mungu Christopher Mwahangila kutoka Dar es salaam

Tunamtukuza Mungu kwakuwa anazidi kuokoa na kuwafungua watu katika Mkutano wetu.
Wewe uliyepo Dodoma, karibu sana ukutane na muujiza wako, walete wagonjwa na wenyeshida mbalimbali Bwana Yesu atawafungua, Mkutano unafanyika katika viwanja vya kanisa, karibu na shule ya Kisasa Secondary.

Loading........

FAMILI YA MR MWAFUBELA NA FAMILIA YA DR LYABWENE MTAHABWA, WAKIMSHUKURU MUNGU KWA MATENDO MAKUU AMBAYO MUNGU AMEWATENDEA, IKIWEMO UPONYAJI NA KUFAULU KWA MTOTO MTIHANI WA KIDATO CHA SITA.

NIFURAHA SANA KATIKA JESHI LA MBINGUNI KWA MWENYE DHAMBI MMOJA ANAPO AMUA KUOKOKA.

DADA HUYU AMEAMUA KUMKUBALI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKE. (AMEAMUA KUOKOKA NA KUONGOZWA SALA YA TOBA)

VIONGOZI WALIOWEKWA WAKFU TAYARI KWA KUANJA KAZI ITAKAYO LETA MATOKEO CHANYA YA KIROHO NA KIMWILI.

UWEPO WETU LEO NI KWASABABU KUNA WATU BAADHI WALIO TUTANGULIA WALISIMAMA, NA KUJITOA KIKAMILIFU KUTIMIZA MAJUKUMU YAO YA KIROHO.

HAWA NI VIONGOZI WALIOWEKWA WAKFU ILI KUTIMIZA MAJUKUMU YAWAPASAYO KUTENDA KWA SWALA LA KUSIMAMIA, MIRADI MBALIMBALI YA KANISA, NA KUSIMAMIA KITUO CHETU CHA WATOTO YATIMA.

MUNGU HUKETI KATIKATI YA SIFA ZA WATAKATIFU WAKE, NA KUSIFU KUNAWAPASA WANYOOFU WA MOYO.

MAKEDONIA PRAISING TEAM WAKISHUSHA WINGU LA MUNGU KUPITIA SIFA NA KUABUDU.

Tunamshukuru Sana Mungu kwa ibada njema ya jumapili, hakika tulimuona Mungu akituhudumia kwa namna ya pekee Sana.

MAKEDONIA VOICE WAKIMWIMBIA MUNGU

CMF DAY

TUKIWAPONGEZA WACHUNGAJI WETU KWA KAZI NJEMA YA MUNGU WANAYOIFANYA.

"NAMI NIKATAFUTA MTU MIONGONI MWAO, ATAKAYELITENGENEZA BOMA, NA KUSIMAMA MBELE ZANGU MAHALI PALIPOBOMOKA, KWAAJILI YA NCHI, NISIJE NIKAIHARIBU,LAKINI SIKUONA MTU"

EZEKIELI 22:30

CMF DAY
WANAUME WAKITOA UJUMBE KWA NJIA YA SHAIRI

"NAMI NIKATAFUTA MTU MIONGONI MWAO, ATAKAYELITENGENEZA BOMA, NA KUSIMAMA MBELE ZANGU MAHALI PALIPOBOMOKA, KWAAJILI YA NCHI, NISIJE NIKAIHARIBU,LAKINI SIKUONA MTU"

EZEKIELI 22:30

"MWANAUME VUNA MWANAUME"

CMF DAY

MUNGU AMEWEKA AGANO NDANI YA MWANAUME, SIMAMIA AGANO LA MUNGU LILILOPO NDANI YAKO MWANAUME.

"NAMI NIKATAFUTA MTU MIONGONI MWAO, ATAKAYELITENGENEZA BOMA, NA KUSIMAMA MBELE ZANGU MAHALI PALIPOBOMOKA, KWAAJILI YA NCHI, NISIJE NIKAIHARIBU,LAKINI SIKUONA MTU"

EZEKIELI 22:30

"NAMI NIKATAFUTA MTU MIONGONI MWAO, ATAKAYELITENGENEZA BOMA, NA KUSIMAMA MBELE ZANGU MAHALI PALIPOBOMOKA, KWAAJILI YA NCHI, NISIJE NIKAIHARIBU,LAKINI SIKUONA MTU"

EZEKIELI 22:30

CMF DAY 2019

CMF DAY ILIANZA KAMA HIVI
MAKEDONIA T.A.G KISASA

"MWANAUME VUNA MWANAUME"

MCHUNGAJI KIONGOZI VICENT MALENDA AKITOA NENO LA SHUKRANI KATIKA IBADA YA WANAWAKE.

WWK-DAY

MCHUNGAJI JULIA MALENDA AKITOA NENO LA SHUKRANI KATIKA IBADA YA WANAWAKE.

WWK-DAY

MCHUNGAJI ESTER WILSON AKITOA NENO LA SHUKRANI KATIKA IBADA YA WANAWAKE.

WWK-DAY

MCHUNGAJI EVELINE CHIGOJI AKITOA NENO LA SHUKRANI KATIKA IBADA YA WANAWAKE.

WWK-DAY

WACHUNGAJI WETU

WWK-DAY

SIKU YA WANAWAKE KIKANISA, ILIAMBATANA NA KUWATEGEMEZA WATUMISHI WA MUNGU

WWK-DAY

RISALA

WWK DAY

UMUHIMU WA MWANAMKE NDANI YA KANISA

WANAWAKE WAKIIMBA SHAIRI KATIKA SIKU YA WANAWAKE KIKANISA

WWK DAY

Mungu alimuumba mwanamke na kumuweka kanisani kwa kusudi.

WWK DAY

"HATA SASA BWANA AMETUSAIDIA"

UMUHIMU WA MWANAMKE NDANI YA KANISA
WWK DAYA

WWK KWAYA

Umuhimu wa Mwanamke ndani ya Kanisa
WWK DAY

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Telephone

Address

Kisasa
Dodoma
542
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
JCC Nkuhungu Dodoma JCC Nkuhungu Dodoma
Nkuhungu
Dodoma, +225

Ni kanisa la kiroho lililopo DODOMA maeneo ya nkuhungu stand karibuni nyote

Mennonite Church Tanzania Dodoma  Iringa Road Mennonite Church Tanzania Dodoma Iringa Road
Box 3230
Dodoma, 255

Kila mwenye pumnzi na amsifu Bwawa

DAMU YA YESU DAMU YA YESU
Mpwapwa
Dodoma

Tunakombolewa kwa damu ya mwana kondoo Wa Mungu (Yesu Kristo) ambaye alijitoa msalabani, akafa kifo cha aibu, damu ikatiririka ili Mimi na wewe tuwe hai.

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Jireh Ministry International Jireh Ministry International
[email protected]
Dodoma

Welcome to the Official page for the potter's House and YEHOVA-YIRE INTERNATIONAL Ministries "On the mount of the LORD it shall be provided.

Kanisa La Kristo Kanisa La Kristo
Dodoma

CHURCH OF CHRIST (NON DENOMINATIONAL)

TUCASA-IRDP Dodoma. TUCASA-IRDP Dodoma.
138
Dodoma, 41113

special for TUCASA Members at Mipango Institute,sharing ideas on spiritual perspective as well as memory events' photos,also getting informations and chat.

The Bible Society of Tanzania The Bible Society of Tanzania
Makumbusho/ 9th Street
Dodoma, BOX 175

Box 175 Dodoma +255262324661 +255262324465

Chibago family friend forever DOM TZ Chibago family friend forever DOM TZ
Www.fjeremia.com
Dodoma, +255

God is best friend for our family!

Safina Anglican Choir - SAC Safina Anglican Choir - SAC
Dodoma, +255

A religious and community-based group called SAFINA GROUP (SAG), was established in the Anglican Cathedral of the Holy Spirit in 11th February, 1996.