Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma

Comments

shalom"
shalom"
For the GOD graceful,,,,,, say Amen
FAMILIA ILIYOHAMIA KIKAZI DODOMA WAKISHUHUDIA MATENDO MAKUU YA MUNGU.
jina lababa libarikiwe

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma's cover photo

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma's cover photo

Sehemu ya Ibada ya Jana kanisan... Barikiwa sana, na Karibu sana

Ilikuwa Ibada ya jumapili iliyopita, usikose jumapili ya tarehe 05/02/2017

[01/28/17]   Yesu akupe Ishara ktk Ibada ya kesho na watu wote wajue Mungu yu pamoja nawe.

Pokea Ishara ktk Jina Yesu

Tunaendelea Kukukumbusha Ibada maalumu ya KUREJESHA NYOTA ZILIZOIBIWA KICHAWI!
USIKOSE!!!

Barikiwa...

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma's cover photo

Usipange Kukosa hii... Mkaribishe Ndugu, Jamaa Pamoja na Rafiki yako!
Mungu Akubariki...

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma's cover photo

Injili iende mbele...

[06/04/16]   Yesu ni Bwana, mimi naitwa Mchungaji komba wa kanisa la mlima wa moto linalotazamana na Posta ya sabasaba, nimetumwa kuendesha Ibada ya kuvunja laana ya vifo vya mapema ktk Ibada ya kesho jumapili, nakushauri wewe na familia yako msikose, kuanzia saa 3:00 As _ Saa 7:00 mchana, tuma ujumbe kwa wengine.

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma's cover photo

Usikose ibada jumapili ya kesho

Nyoote Mnakaribishwa jumapili ya kesho! Mungu yuko tayari kukuhufumia kadri ya uhitaji wako!
Usikose

Fuatilia ushuhuda huu, ukujenge kiimani, uamini kuwa Mungu yupo kazini!
Barikiwa na karibu kanisani M.AG Dodoma sabasaba, mkabala na posta ya sabasaba!

Mungu ni mweeeeemaaaaa! Kijana huyu (lazaro) alikuja kabebelewa kwenye kiti hawezi kuinuka wa kutembea, baada ya maombi katembea mwenyewe! Unasubiri nn? Njoo nawe upokee muujiza wako...

Ibadani jumapili hii! Karibu na wewe jumapili ijayo, Mlima wa Moto Ass of God Dodoma Sabasaba sokoni, (mkabala na posta ya sabasaba)

Mh. Mama Mafulu (mzee wa kanisa makao makuu M.A.G mikochen B dar) akilisalimu kanisa la M.A.G Dodoma mara baada ya kupewa nafasi hiyo na mch kiongoz S.D Komba, jumapili hii alipokuja kujumuika nasi katika ibada hiyo!

Binti (katikati) aliyekuwa kichaa kabisa, akitoa shuhuda mara baada ya kupona kupitia maombezi ya mlima wa moto ass of God Dodoma,
Unangoja nn? Njoo nawe upokee muujiza wako...

Ibadani leo!
Moto uliwaka isivyo kawaida. Mungu ametutembelea tena live kabisa!
Jitahidi jumapili ijayo kufika kanisani kwetu ukutane na muujiza wako......

Karibu katika nyumba ya Wokovu na Uponyaji, MLIMA WA MOTO ASS OF GOD DODOMA!
leo ni ibada ya kufunguliwa,
10:30 jion- 12:30 jion
Usikose!!!

[04/14/16]   Haleluuuuuuuuuuuuuuuuuuuyah!!!!!!
Nafuraha tele moyoni mwangu kuona kuwa Mungu yupo upande wetu.... kwa tamko la Baba yetu (Mch.Kiongozi) (Pastor Komba) wewe kama kijana unatakiwa kufika kanisani siku ya LEO Alhamisi saa kumi na moja jioni... Kutakuwa Na Maombi ya Vijana Wote kadri Mungu atakavyo kusaidia ufike ....
UBARIKIWE! !!
Asubuhi Njema

Ibadani leo tar 10,4,015
Mungu anaweza kuokoa na kutukomboa pia kutoka utumwani!

[03/28/16]   Siku kama ya Leo Bwana Yesu alipaa, na kuwaachia maagizo wanafunzi wake!
Tunawakumbusha kutekeleza maagizo yote aliyoyaacha Bwana Yesu kwa wanafunzi wake
Petro, Yohana, Yakobo, Mathayo wa Leo ni Mimi na ww!
Tuenende ulimwenguni mwote tukaihubiri Injili kwa watu wote, tukawafanye mataifa kuwa wanafunzi! Tukiwabatiza kwa jina Baba, Mwana na Roho Mtakatifu!
Ameen!
#Marko_16::14_16

Pastor Silvanus Damian Komba,
Mch kiongoz Mlima wa moto Dodoma

Mh. Anthony Mavunde (mbunge mteule wa dodoma mjini) akitoa sadaka ya shukrani leo pamoja na kuelezea jinsi MADHABAHU ya Mlima wa Moto Dodoma ilivomsaidia kushinda Ubunge kwenye uchaguz wa mwaka huu!
Hakika Mungu anatenda makuu mmmmmmnooooo! Kupitia Mchungaji kiongozi Pst. Komba (Punda wa Yesu)

Kanisa limefurika nguvu ya Mungu katika uimbaji, wakati mlima wa moto vijana choir wakimsifu Mungu atka ibada ya leo 15/11/015.
Hakuna aliyebaki kakaa kwenye kiti!

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma's cover photo

Mchungaji Damian Komba akiongoza Maombi ya kuliombea taifa katika tamasha la kuomba Aman kwa taifa letu lililoandaliwa na umoja wa kwaya za kipentekoste Dodoma, jumapili ya tar 18/10 Uwanja wa mashujaa hapahapa Dodoma!

[10/17/15]   RATIBA ZA IBADA
Jumatatu_Ibada ya vijana
Saa 10:30_12:00 jioni

Jumanne_Ibada ya wamama
Saa 10:30_12:00 jioni

Jumatano_Ibada ya Kufunguliwa (wote)
Saa 10:30_12:30 jioni

Alhamisi_kwaya
Saa 10:30_12:15 jioni

Ijumaa_Ibada ya maombi na maombezi
Saa 10:30_12:30 jioni

Jumamosi_Maandalizi ya Ibada ya j/pili
Saa 6:00 mchana _kwaya wamama
9:00 Alasiri _kwaya vijana
11:00 Jioni _timu ya sifa na kuabudu

Jumapili_saa 3:00 asubuhi_shule ya biblia
3:30 Asubuhi Ibada kuu

NYOTE MNAKARIBISHWA .......

[10/17/15]   Kanisa La Mlima Wa Moto Ass God Sabasaba, tunakukaribisha Kesho JUMAPILI,kuanzia saa 3:00 Asubuhi Hadi Saa 7:00 Mchana.Ktk Ibada Ya KUTEMBEA NA FURAHA YA BWANA KTK MAISHA YAKO,lete Wenye Shida Mbalimbali Wataombewa,MHUBIRI;MCH.KOMBA

[10/17/15]   Mtu 1 akiwa amepumzika chin ya mpera alianza kumkosoa Mungu. Akasema Mungu hakutumia akili, iweje aumbe mti mkubwa halafu aweke vitunda vidogo kama pera halafu mmea kama boga uwe na matunda makubwa?! Mara alisinzia sinzia pera likamdondokea kwenye paji la uso. Ndipo akili zikafunguka akasema kweli Mungu hachunguziki, laiti kama lingekuwa boga lingenipasua uso!. Naomba usiwe kati ya wa2 wanaomlalamikia MUNGU pasipo kutafakari makusudi ya Mungu. Kila jema au baya tupatalo yatupasa kumrudishia Mungu utukufu na sifa.

[10/16/15]   Haleluuuuuya!!!! Mlima wa Moto Tunakukaribisha katika ibada ya Maombi na Maombezi leo saa 10:00 jion! Barikwa

Mch Komba akiwa na Mh Baduel mbunge wa moja ya majimbo ya hapa Dodoma, wakiangalia hali ya ujenzi unaoendelea kansan hapo!

Wingu la Bwana katika kuabudu, with sinior Pastor Bishop Komba

Pst Komba, Mama mchungaji Komba, baadhi ya wazee wa kanisa na viongoz wa vijana! Wakiwa Malawi!

Mch. Kiongozi Mh, Silvanus Komba(kulia) akiwa na Bishop Dunstan Maboya(wa pili kulia) ofisis za Mlima wa moto Mikochen B dar

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma

Utukufu wa Bwana unaposhuka katika Ibada za Maombezi Mlima wa Moto!

Baadhi ya picha za matukio ya IBADA MAALUMU YA KULIOMBEA TAIFA LETU AMANI, iliyofanyika leo jumapili katika kanisa la Mlima wa Moto Ass of God Dodoma!

Kanisa La Mlima Wa Moto Ass God Sabasaba, tunakukaribisha Kesho Jumapili Katika Ibada Maalumu Ya Kuliombea Taifa Na Uchuguzi Mkuu,ibada Itaanza saa 3:00 Asubuhi Hadi Saa 7:00 Mchana.Pia Maombezi Kwa Wote Wenye Shida Yatafanyika.Amen

[09/28/15]   Neno la Bwana ni taa ya miguu yangu, na ni mwangaza wa njia zangu zote!
#Zaburi 119:105
Tunawatakia usiku mwema

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Telephone

Address

Dodoma
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
TAFES CBE Dodoma TAFES CBE Dodoma
[email protected]
Dodoma, 2077 DODOMA

TAFES-CBE DODOMA Is an interdenominational movement reaching every student in the campus with the gospel of Jesus Christ.

DAMU YA YESU DAMU YA YESU
Mpwapwa
Dodoma

Tunakombolewa kwa damu ya mwana kondoo Wa Mungu (Yesu Kristo) ambaye alijitoa msalabani, akafa kifo cha aibu, damu ikatiririka ili Mimi na wewe tuwe hai.

The Bible Society of Tanzania The Bible Society of Tanzania
Makumbusho/ 9th Street
Dodoma, BOX 175

Box 175 Dodoma +255262324661 +255262324465

The Carpenter's Kids Program The Carpenter's Kids Program
Dodoma

The Carpenter's Kids Program was founded in 2005 to support vulnerable children gaining access to education in Central Tanzania.

Jireh Ministry International Jireh Ministry International
[email protected]
Dodoma

Welcome to the Official page for the potter's House and YEHOVA-YIRE INTERNATIONAL Ministries "On the mount of the LORD it shall be provided.

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Upendo Revival Christian Centre-URCC Upendo Revival Christian Centre-URCC
TAG Upendo Revival Christian Centre
Dodoma, P. O. BOX 1098

Upendo Revival Christian Centre is a Christian Pentecostal Church of the Assemblies of God origin with one purpose: defining Christian Love to all people, Christians and non-Christians, the churched and the un-churched, in towns and in villages.

JCC Nkuhungu Dodoma JCC Nkuhungu Dodoma
Nkuhungu
Dodoma, +225

Ni kanisa la kiroho lililopo DODOMA maeneo ya nkuhungu stand karibuni nyote

Dodoma Christian Centre - DCC Dodoma Christian Centre - DCC
Dodoma, P. O. BOX 3526

Hello members/friends this page is all about Dodoma Christian Centre (DCC) church activities

TAFES UDOM TAFES UDOM
UDOM
Dodoma, 0105

TAFES NI FELLOWSHIP YA KIKRISTO ISIYOFUNGAMANA NA DHEHEBU LOLOTE, TUNAPATIKANA COLLEGE ZOTE HAPA UDOM, KARIBU UABUDU NASI

MoreGrace International Ministry - MGIM MoreGrace International Ministry - MGIM
[email protected]
Dodoma, +255

Building people spiritually, knowledgeable, intellectually.

Saint Gemma Sisters of Dodoma. Saint Gemma Sisters of Dodoma.
Dodoma Cathedral Church(Catholic)
Dodoma, DODOMA

St.Gemma Sisters Congregation is a Diocesan Institution that was founded in Kondoa Irangi, Dodoma Region on the 14th September 1947 by the late Monsigno