JCC Nkuhungu Dodoma

JCC Nkuhungu Dodoma

Comments

Mungu awabariki

Ni kanisa la kiroho lililopo DODOMA maeneo ya nkuhungu stand karibuni nyote

Mission: TO MAKE PEOPLE WAKE ON GOD WAY AND TO BRING PEOPLE TO OUR LIVING GOD

[01/12/14]   Ni neno la jumapili ya tar 12/01/2014 ambalo lilihusu VAZI LA HARUSI ni katika kitabu cha

pre: MARY KILEO
MESSAGE:VAZI LA HARUSI
VER:Mathaiyo 22:1-11
Luka 14:18

1: Kwanza kujua nini maana ya vazi la harusi
MAANA ni Ni vazi ambalo huchaguliwa rasmi kwa ajili ya waallikwa.
Wale wenye vazi la harusi wako tayari kwa:-
Luka:14:26-33
1.Kuchukia kwa mazuri kwa ajili ya bwana
Chohote ulicho nacho au kinacho kuzunguka kisiwe kizuizi cha wewe kujitoa kwa MUNGU.
2.Kubeba msalaba
vyovyote ulivyo navyo uvichukue na kuvipeleka kwa MUNGU. yeye hutuwezesha kuyashinda yote, hivyo kwa kufanya hivyo unavaa vazi la harusi
3: Mtu mwenye maono:
ukiwa na maono kwa ajili ya bwana utakua na mipango itakayo kuwezesha kujitunza kwa ajili ya utakatifu kutoruhusu vazi lako kuharibiwa
4:Sio watu wenye udhuru
Ni watu walio tayari wakati wowote kwa ajili ya ya BWANA hivo kupatikana mbele za bwana kuna wasbabisha wao kuwa watakatifu

HATA LEO TUMEPEWA MUARIKO WA WOKOVU NA MFALME HIVO YATUPASA KUVAA MAVAZI YA HARUSI ILI ASIWEPO HATA MMOJA WA KUTOLEWA UKUKMBINI KWA KUKOSA VAZI LA HARUJSI.(Mathayo 22:11)

stay blessed

[01/12/14]   WAJUA VAZI LA HARUSI JINSI LILIVO ZUNGUMZIWA KWENYE

Mathayo 22:1-11
Luka 14:18

JCC Nkuhungu Dodoma's cover photo

JCC Nkuhungu Dodoma's cover photo

[01/08/14]   Wanadamu ni nyakati za mwisho sasa jamani tumgeukie MUNGU

ROHO MTAKATIFU

Tujaribu kujifunza kitu kupitia picha

Tujaribu kujifunza kitu kupitia picha

JCC Nkuhungu Dodoma's cover photo

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Nkuhungu
Dodoma
+225
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma
Classroom 2 (CR 2)
Dodoma, IRDP - MAIN CAMP

An Inter-denominational and Non- denominational Christian Organization ministering to students in universities and colleges in Tanzania

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Capital Christian Centre Capital Christian Centre
Dodoma, 00255

Church is located at Miyuji Area, Along Arusha Road Opposite Assemblies of God Bible College Contact us through Mob: 0754 436397; 0755 304236

Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma
Kisasa
Dodoma, 542

Kanisa letu zuri linapatikana eneo la Kisasa C centre mkabala na shule ya sekondari ya Kisasa:

Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma. Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma.
Bwawani,Ihumwa.
Dodoma

Tunapatikana Mtaa wa Bwawani,Ihumwa.Panda daladala pale sabasaba Dodoma ushuke Flemingo Jeshini,utaona kibao cha huduma kinachokuelekeza ilipo huduma.

The Bible Society of Tanzania The Bible Society of Tanzania
Makumbusho/ 9th Street
Dodoma, BOX 175

Box 175 Dodoma +255262324661 +255262324465

Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

The Carpenter's Kids Program The Carpenter's Kids Program
Dodoma

The Carpenter's Kids Program was founded in 2005 to support vulnerable children gaining access to education in Central Tanzania.

Christian Council of Tanzania (CCT) Christian Council of Tanzania (CCT)
P.O.Box 1454,
Dodoma

The Christian Council of Tanzania (CCT) was established in January 1934 as a fellowship of Churches and Christians. It was then named the Tanganyika Missionary Council until 1964 when it adopted its current name. The CCT has 12 National Churches

MoreGrace International Ministry - MGIM MoreGrace International Ministry - MGIM
[email protected]
Dodoma, +255

Building people spiritually, knowledgeable, intellectually.