Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma

Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma

Comments

AS student of mipango collage
Hi mipango
Mpakaushinde kidatocha nne?
Jins ya kujoin chuon
Habariiiii zenu
Shikamo kaka Dodoma.
Dah,,,naomb msaada nipate joing instruction za chuo
Eva kasuru
Naomben contact natKa kuaplay Mipango dodoma
I Like Education

An Inter-denominational and Non- denominational Christian Organization ministering to students in universities and colleges in Tanzania

Tanzania Fellowship of Evangelical Students (TAFES-IRDP) began since 2003 bearing the name Christian Union (CU) then amended by the business meeting in year 2005 and being called Mipango Fellowship of Evangelical Students (MIFES). Finally on the 11th business meeting seated on 15th June 2013 at IRDP-main campus officially declared the amendment of the constitution and thus changing the name of the fellowship from MIFES to TAFES-IRDP

Mission: “To equip students with the Scripture in Evangelism, Discipleship and Leadership Development thereby transforming the Campus, Church and the Society”.

IBADA YA MAKABIDHIANO YA UONGOZI NA KIKAO CHA AGM 17/01/2015

Ibada ya makabidhiano ya uongozi iliyofanyika IRDP Furaha Hostel Campus

Ibada ya makabidhiano ya uongozi iliyofanyika IRDP Furaha Hostel Campus

new Praise and Worship Coordinator

HALLELUJAH!
HII SI YA KUKOSA KAMA UKO DODOMA!
Shalom!
Ndugu mpendwa napenda kukukaribisha ktk nusu mkesha (HALF NIGHT) wa kusifu, kuabudu na kumshukuru Mungu kwa ajili mwaka 2014. Na kuomba kwa ajili ya kuupokea mwaka mpya wa 2015
Muda: 2:00-7:30 usiku
Mahali: Chuo Cha Mipango - Mwl Nyerere Hall
Tarehe: 31 dec 2014
N:B. Usafiri wa kwenda na kurudi utakuwepo hapo chuoni kwako kuanzia saa moja(1:00) jioni.
Upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako!
Imeandaliwa kwa ushirikiano wa jumuiya mbalimbali za Kikristo za wanafunzi kutoka vyuo vya Dodoma!

SATURDAY SERVICE @IRDP MAIN CAMPUS

seminar day 3

MIPANGO NIGHT OF BEGINNERS - FRESHERS 2014

MIPANGO NIGHT OF BEGINNERS-FRESHERS on 5th dec 2014

MIPANGO NIGHT OF BEGINNERS-FRESHERS on 5th dec 2014

Mipango night of beginners - Freshers
on Friday!
A HALF NIGHT OF PRAISE AND WORSHIP!
don't plan to miss it!

ISAYA 40:31 ''bali wao wamngojeao BWANA watapata NGUVU MPYA; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu wala hawatazimia''

Nini kazi ya Upako Mpya(Nguvu Mpya) ambao Mungu anaachilia ndani yako!? kutokana na Isaya 40:31 ni...

1. Kukuhamisha KIWANGO kimoja hadi kingine cha kiroho(ktk kumjua Bwana), kihuduma(kiutumishi) na hata 'kiuchumi' ikiwa huo ni upako wa kiuchumi(torati 8:18) n.k
imeandikwa "...WATAPANDA juu kwa MBAWA kama tai..."
ameufananisha UPAKO MPYA na MBAWA zinamwezesha tai kwenda juu na sote tunajua kuwa tabia moja wapo kubwa ya ndege aitwae tai ni kwenda hewani ''juu sana zaidi ya'' ndege wengine wote!
IKIWA UNAHITAJI KIWANGO KIPYA BASI WEKA MSISITIZO KWA MUNGU KUKUPA UPAKO MPYA KWA NJIA YA MAOMBI!
kwa hiyo ni sahihi kusema
"upako mpya" huleta "kiwango kipya"!

2. kukuongezea MWENDOKASI katika maisha yako ya kiroho!
Imeandikwa ''... watapiga MBIO ...''
kuna mahusiano kati ya 'mwendo kasi' wako wa kiroho na 'upako mpya' unaoachiliwa ndani yako!
huu ni upako unaokupa kupiga mbio, kwa hiyo ni sahihi kusema
"upako mpya" huleta "kasi mpya"!

3. kukusaidia KWENDA MWENDO MREFU bila kuchoka!
imeandikwa ''...watapiga mbio wala HAWATACHOKA...''
mara nyingi kuchoka ni matokeo ya kwenda mwendo mrefu kwenye maisha yako bila kukifikia kile unachoki-chuchumilia!
"upako mpya" huleta "ustahimilivu"!

4. kukusaidia ''kuthubutu kupiga'' hatua bila KUKATA TAMAA!
imeandikwa ''...watakwenda kwa miguu wala HAWATAZIMIA...''
WATAKWENDA - inawakilisha ''kuthubutu''
Kwa MIGUU - inawakilisha ''kupiga hatua''
HAWATAZIMIA - inawakilisha ''kuto-kukata tamaa''
"upako mpya" hukupa "subira"!

N.B;
BADALA YA KUJITUTUMUA KUPIGA HATUA BASI JITUTUMUE KWA NJIA YA MAOMBI KUTAFUTA UPAKO WA KUKUSAIDIA KUPIGA HATUA!
Ubarikiwe!

Shalom! kwanini utafute kuwa na vyote viwili (yaani hekima na ufunuo) na si kimoja pekee yake?

Mithali 9:1 ''Hekima UMEIJENGA nyumba yake,...''

nyumba tunayoweza kuizungumza hapa sio physical house pekee!
bali kikubwa tasfiri zaidi Nyumba ni familia, Nyumba ni baba, mama, watoto na ndugu.
hekima kazi yake ni KUJENGA!

unaweza kuwa na ufunuo mzuri, ushauri mzuri na maarifa bora kabisa, lakini yasiwe msaada kwako au hata kwa watu wanaokuzunguka(nyumba yako)!
hekima huusaidia ufunuo ''kujenga'' bila hekima hata kama ni ufunuo ni mzuri hauwezi kujenga kitu kizuri!
ndio maana zipo 'cases' zinazohusisha ufunuo kuharibu uhusiano wa watu, n.k
ushauri wako ili uwe ushauri wa kujenga unahitaji hekima!
hekima inakuchagulia kitu cha kusema ktk ulivyonavyo , mahali pa kusema pia hukuchagulia wakati wakusema!!

NI KWA JINSI GANI UNAIJENGA NYUMBA YAKO? SI KWA USHAURI PEKE YAKE BALI HEKIMA INAYOFANYA USHAURI UWE NA MAANA AU TIJA KWAO WASIKIAO!
Ubarikiwe!

Huu mstari unatupa kuona mambo yafuatayo!
(i)HEKIMA inaweza ''kupungua'' kama ndivyo basi pia inaweza kuongezeka!
kwa hiyo sio ajabu kuona hekima ikiwa tofauti na zamani ktk maisha yako, ama imepungua au imeongezeka maana yote mawili yanaweza kutokea!
(ii) HEKIMA inaweza ''kuombwa'' kwa njia ya maombi!
Maarifa ya Ki-Mungu pamoja na kwamba unaweza kuomba lakini msingi wake 'mkubwa' ni KUJIFUNZA tofauti na Hekima ya Ki-Mungu ambayo huweza kupatikana kwa njia ya MAOMBI! Mhubiri 12:9,10
(iii) MUNGU hutupatia kwa UKARIMU kile tunachomwomba!
(iv) N.k
MKARIMU ni mtu ambaye kama anacho kile unachomwomba basi hawezi kuzuia(kukubania) kukupa IKIWA utamwomba!
Tunajua watu wengi tuna imani juu ya Mungu kuwa nacho kile tunachomwomba lakini kuna umuhimu wa KUONGEZA Imani yako kwa Kuamini kuwa Mungu si tu ANACHO lakini HUTOA kwa ukarimu kile ALICHONACHO unachomwomba!

HAITOSHI TU KUAMINI KUWA ''ANACHO'' BALI PIA KUAMINI KUWA ''HUTOA'' KILE ALICHONACHO tena kwa ukarimu!
ubarikiwe unapotafakari ujumbe huu!

Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma's cover photo

Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma

Timeline Photos

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Classroom 2 (CR 2)
Dodoma
IRDP - MAIN CAMP

Opening Hours

Monday 19:00 - 20:00
Wednesday 19:00 - 20:00
Thursday 19:00 - 20:00
Saturday 16:00 - 18:00
Other Dodoma places of worship (show all)
ICC Dodoma ICC Dodoma
Dodoma

We preach the Gospel of Jesus Christ by fulfilling the purpose of Church which is evangelism, fellowship, worship, spiritual maturity and ministry.

TAFES CBE Dodoma TAFES CBE Dodoma
[email protected]
Dodoma, 2077 DODOMA

TAFES-CBE DODOMA Is an interdenominational movement reaching every student in the campus with the gospel of Jesus Christ.

Upendo Revival Christian Centre-URCC Upendo Revival Christian Centre-URCC
TAG Upendo Revival Christian Centre
Dodoma, P. O. BOX 1098

Upendo Revival Christian Centre is a Christian Pentecostal Church of the Assemblies of God origin with one purpose: defining Christian Love to all people, Christians and non-Christians, the churched and the un-churched, in towns and in villages.

TUCASA-IRDP Dodoma. TUCASA-IRDP Dodoma.
138
Dodoma, 41113

special for TUCASA Members at Mipango Institute,sharing ideas on spiritual perspective as well as memory events' photos,also getting informations and chat.

The Carpenter's Kids Program The Carpenter's Kids Program
Dodoma

The Carpenter's Kids Program was founded in 2005 to support vulnerable children gaining access to education in Central Tanzania.

Chibago family friend forever DOM TZ Chibago family friend forever DOM TZ
Www.fjeremia.com
Dodoma, +255

God is best friend for our family!

Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

DAMU YA YESU DAMU YA YESU
Mpwapwa
Dodoma

Tunakombolewa kwa damu ya mwana kondoo Wa Mungu (Yesu Kristo) ambaye alijitoa msalabani, akafa kifo cha aibu, damu ikatiririka ili Mimi na wewe tuwe hai.

Dodoma Christian Centre - DCC Dodoma Christian Centre - DCC
Dodoma, P. O. BOX 3526

Hello members/friends this page is all about Dodoma Christian Centre (DCC) church activities