Prophet Linus Ministries

Prophet Linus Ministries

Comments

Good
Kirakihube duniyani kina mudu mungu
kama kuna jau zingua kijanja zaidi
kana kuna jau zingua

Prophet Linus Tesha Is The founder of MRD Prophetic Church Worldwide. Find the Prophet Through wasp+255713344025

Mrd International Prophetic Ministries Tanzania

Better days...
The month Of Golden Breakthrough
Mbeya City. The Prophet Is Back..
#PrMxn

Let Love Of God Change Your Life,
Acha Upendo Wa Mungu Ubadili Maisha Yako!!

#Promxn

Hata Watu Walipofika Kambini Wazee Waisrael Walisema Mbona Bwana Leo Ametupiga Mbele Ya Wafilisti?
ISamwel4:3..........

Utukufu Wa Bwana Unapoondoka Katika Maisha Yako,Bwana Anaruhusu Mapigo Kutoka Kwa Adui Zako,Cheza Na Vyote Ila Sio Mungu,

Siku Ya Leo Mungu Akukumbuke Tena,Nenda Ukafanikiwe!!

#Promxn

Ugonjwa Wowote Unao Kusumbua Katika Maisha Yako,Kuanzia Sasa Natamka Uzima,
Kila Mateso Waliyokuandalia Nayarudisha Kwao,
I Speak Back To The Sender,
Pokea Uzima Tena Katika Kila Kilichokufa Juu Ya Maisha Yako!!
#Promxn

Unapo Shuhudia Matendo Makuu Ya Mungu,Milango Mikubwa Ya Baraka Infunguka Mbele Yako,

Kabla Ya Jumapili Hii,Pokea Ushuhuda Mzuri Wa Kukuinua!!
#Promxn

Katika Yote Ufanyayo Ukazione Baraka Za Mungu,Nabariki Wiki Lako Anza Na Baraka Za Bwana!!

#1Samwel4:22
#Promxn

Semina Kubwa Ya Maachilio Ya Bwana Jijini Dodoma ,Itaponya Familia Yako,Afya Yako,Uchumi Wako,

Ungana Nasi Ni Siku Tatu Tu,Za Kupokea Mambo Makubwa Kutoka Kwa Bwana!!
Kama Upo Mbali Sana Unaweza Kujiunganisha,kwa Kuandika Maombi Yako Hapo Chini Umbali Sio Kikwazo,

Be Connected Na Baraka Zako!!
By Prophet Linus Tesha
#Promxn

Ni Jumapili Yako Ya Kutoka Katika Nguvu Ya Kuonewa Na Roho Za Kichawi Katika Familia Yako!!

Familia Yako Inakwenda Kutoka!!

#Promxn

Kabla Ya Mwezi Huu,Kumalizika Naona Ushuuda Kwako,
Waliposhindwa Wengine Kufika Pale,Naona Ukipamiliki Wewe,
#Promxn.

Mrd International Prophetic Ministries Tanzania

Shalom Dodoma

Martha Mwaipaja ndani ya mafunuo na Ukombozi.. Dodoma mjini

Dodoma! Dodoma! Dodoma!!!..

My daughter doing Wht she has to do..more grace my daughter

Karbisha ndugu jamaa na marafk

N mwez wa kufurahia viwango vingne...

Don't miss this..!!!

Ministrations of Holy spirit..

Mkaz wa dar Es salaam na viunga vyake,uckose kongamano hili litakalo badilisha maisha yako.njia panda segerea (majumba sita)nyuma ya magodown ya ushirika.18/8/2016...

MRD kilele cha ukombozi..

We serv God of miracles

The month of supernatural anointing.. Receive it

Something special to happen for you as we end this month

I see the devil under your feet!!!!

I see money following you

Nguvu ya Mungu katika utendaji

Maximum Revelation and Deliverance Ministry...

Prophet Linus Ministries's cover photo

Photos from Prophet Linus Ministries's post

[12/30/15]   2016 is the year of celebration be ready to celebrate whatever you expected

I see favour coming to your life

Healing time

May God do something special for u today

You are welcome in Maximum Revelation and Deliverance Ministry (MRD) Under Prophet Linus Tesha

Prophet Linus Ministries's cover photo

Prophet Linus Ministries

Mrd Int’l Prophetic Ministries Tanzania

Isaya 42:22

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Address

Dodoma
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

Safina Anglican Choir - SAC Safina Anglican Choir - SAC
Dodoma, +255

A religious and community-based group called SAFINA GROUP (SAG), was established in the Anglican Cathedral of the Holy Spirit in 11th February, 1996.

TAFES CBE Dodoma TAFES CBE Dodoma
[email protected]
Dodoma, 2077 DODOMA

TAFES-CBE DODOMA Is an interdenominational movement reaching every student in the campus with the gospel of Jesus Christ.

Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania
Dodoma, 1522

Shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakapuchini lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1528. Hili ni tawi mojawapo la familia tatu za Shirika la kwanza.

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma. Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma.
Bwawani,Ihumwa.
Dodoma

Tunapatikana Mtaa wa Bwawani,Ihumwa.Panda daladala pale sabasaba Dodoma ushuke Flemingo Jeshini,utaona kibao cha huduma kinachokuelekeza ilipo huduma.

Kizota Gospel Church Kizota Gospel Church
Dodoma
Dodoma

Ni kanisa la kipentekoste lililopo manispaa ya Dodoma mjini! Ili kufika panda gari zinazoelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kiba

ICC Dodoma ICC Dodoma
Dodoma

We preach the Gospel of Jesus Christ by fulfilling the purpose of Church which is evangelism, fellowship, worship, spiritual maturity and ministry.

JCC Nkuhungu Dodoma JCC Nkuhungu Dodoma
Nkuhungu
Dodoma, +225

Ni kanisa la kiroho lililopo DODOMA maeneo ya nkuhungu stand karibuni nyote

Upendo Revival Christian Centre-URCC Upendo Revival Christian Centre-URCC
TAG Upendo Revival Christian Centre
Dodoma, P. O. BOX 1098

Upendo Revival Christian Centre is a Christian Pentecostal Church of the Assemblies of God origin with one purpose: defining Christian Love to all people, Christians and non-Christians, the churched and the un-churched, in towns and in villages.

TAFES UDOM TAFES UDOM
UDOM
Dodoma, 0105

TAFES NI FELLOWSHIP YA KIKRISTO ISIYOFUNGAMANA NA DHEHEBU LOLOTE, TUNAPATIKANA COLLEGE ZOTE HAPA UDOM, KARIBU UABUDU NASI