Safina Anglican Choir - SAC

Safina Anglican Choir - SAC

A religious and community-based group called SAFINA GROUP (SAG), was established in the Anglican Cathedral of the Holy Spirit in 11th February, 1996.

A religious and community-based group called SAFINA GROUP (SAG), was established in the Anglican Cathedral of the Holy Spirit in 11th February, 1996 under the Diocese of Central Tanganyika allocated in Dodoma the Capital city and the heart of the United Republic of Tanzania. The Group was established mainly to entertain and educate fellow Christian and Tanzania community at large via gospel songs but it has now extended its services. SAG is currently sensitising people to fight against HIV/AIDS, Ignorance, Diseases, Poverty, Environmental degradation etc via Songs, Drama, Sports, Festivals, etc. Sound and visualization is SAG’s corporate strategy. Every Group/company continuously conveys messages to its targeted audience even if they do not communicate anything at all. Audiovisual is one of the most important means that businesses constantly use to convey and manifest their identity. Therefore, it is our aspiration that we should come up with a good project proposal to help the Group for its first audiovisual production (video recording) to guide and help the Group raise fund for its development and extension of the ministry.

Karibu sana watu WA Mungu

NIWAOMBE MFIKE PALE KANISA LA ROHO MTAKATIFU ANGLICAN ,USHUHUDIE UWEKWAJI WAKFU CD YA SAFINA NI SAA NANE MCHANA

WOTEEEE MNAKARIBISHWA

21 Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.
Matendo ya Mitume 2 :21

Safina Anglican Choir - SAC's cover photo

Photos from Safina Anglican Choir - SAC's post

WANASAFINA WAKIBUBUJIKA KTK UTULIVU MLIMANI.

MLEZI WA KWAYA YA SAFINA, MH.LUSINDE
BAADA YA KUWAHUBIRI INJILI WANA KONGAMANO LA TAYO -TAIFA HAPA ST.JOHN UNIVERSITY ,
BAADAE ALIGAWA ZAWADI KWA WASHINDI NA SAFINA QUEEN NETBALL WALINYAKUA KOMBE MSHINDI WA KWANZA .

NAHODHA WA SAFINA QUEEN'S, dada Angel akifurahia kutunukiwa tunzo ya mfungaji bora ,hukuu akifurahi na wanasafina kulinyakua kombe hiloo.

SAFINA QUEEN'S NETBALL CLUB ,
KIKOSI KILICHONYAKUA KOMBE LA TAYO -TAIFA.

SAFINA FOOTBALL CLUB(Safina Fc)-DCT.
ILISHIRIKI MASHINDANO YA TAYO-TAIFA.

Mwenyekiti wa Safina ,akimtambulisha m/kiti wa Kwaya ya UINJILISTI KIJITONYAMA ,alipokuja kuwatembelea Dodoma.
Karibu mwenyekiti na ujumbe toka Kwaya ya uinjilisti kijitonyama -DSM.

Katibu wa Kwaya ,Wendo Tupa akiwa na MH.LUSINDE alipokabidhi vifaa vya michezo kwa Kwaya ya safina.

KATIBU WA KWAYA YA SAFINA ,WENDO TUPA AKIPOKEA VIFAA VYA MICHEZO TOKA KWA MKE WA MLEZI WA KWAYA MH.LIVINGSTON LUSONDE(KIBAJAJI)Mbunge wa jimbo LA Mtera.

Mlezi anajua mwili ni hekalu LA Roho mtakatifu ,ni lazima litunzwe,hivyo ametoa sadaka hii kwa Kwaya na Yesu ambariki sana.

Mh.mbunge Kadutu akifanya zoezi na Kwaya ya safina be blessed servant of God.

MLEZI WA SAFINA KWAYA MH.MBUNGE Kadutu AKIWA MAZOEZINI NA WANAKWAYA TENA AKISIMAMA KTK MSTARI WA SAUTI YAKE YAANI
SI KWA MOYO HUU WA KITUMISHI

LEO NI NDOA YA MWANASAFINA MWENZETU,
PENDO SENDEU
YESU ANAENDELEA KUONEKANA KWA WANASAFINA KUOA NA KUOLEWA.

Leo mazoezi nje na hakuna kukaa ,HUYO NI MWALIMU WETU TUMPENDAE HAPA SAFINA KWAYA SI MWINGINE MWL.FADHILI Fadhili Chibago,

*****MUBASHARA ZOEZI***

Mazoezi MUBASHARA

Safina Anglican Choir - SAC's cover photo

Wanamusic wa safina Kwaya,wakisikiliza neno ibada ikiendelea

Mh.mbunge KADUTU Mlezi wa safina Kwaya akiwajibika kumtumikia MUNGU ,TABORA

Tukiwa tunamuhubiri kristo TABORA,
Mwanakwaya wa safina alikuwa anaagwa na baadhi ya wanasafina huko Dodoma ktk send off party ,
Hongera dada PENDO Sendeu kwaheri ,MUNGU akubariki ktk maisha ya ndoa .

Mpiga picha na mmiliki wa kampuni ya NAMBA PICTURE -DODOMA ,MUNGU anatushangaza sana wanasafina kwa UPENDO wake mkuu ,huyuu amejitoa kihuduma ndani ya safina kuhakikisha matukio yote na kumbukumbu zote za safina zinawekwa sawa,

Huwa amejitoa kusafiri ni wanasafina popote ktk huduma,

MAMBA PICTURE ,UBARIKIWE SANA UNAUGUSA MOYO WA MUNGU KWA KUJITOA.

Mfollow ktk mitandao ya kijamii kwa FRANK MAMBA au Mamba picture umpe kazi huyu mjoli wa kristo.

Tunamshukuru Yesu ndani ya safina,

Huyu ni dada Leah alikuwa bize na kazi akielekea Musoma kikazi akaamua kushuka TABORA kwa huduma kwanza ndo aendelee na majukumu huu moyo wa huduma ya Yesu kwanza ,tunaendelea kumtukuza Yesu ndani ya safina.

MUNGU amewekeza moyo wa kitumishi ndani ya safina hadi ,tunashangaaa

Huyu ni MC Mwakitwange aliendesha gari yake toka Dodoma hadi moshi ktk kazi ya kusherehesha alipoo maliza SAA nane usiku akaondoka kuja kuwahi huduma TABORA,alipoofika Singida alichoka akapaki gari yake akapanda bus kuja kuungana na wanasafina ,mmmhh Yesu asante kwa kutupenda safina na kuwekeza huduma ndani yetu

ROHO MTAKATIFU AMEWEKA MOYO WA HUDUMA NDANI YA WANASAFINA HADI TUNAMSHANGAA MUNGU,HUYU KIJANA ALIACHA KUENDELEA NA HONEYMOON YAKE KUJA KUMTUMIKIA MUNGU ,TABORA .

Ubarikiwe mpiga magitaa wa Safina ,ndg GODFREY MWEGOHA.
YESU AMEUONA HUO MOYO WAKO WA WIVU NA KAZI YAKE

Mlezi Mh. Mbunge KADUTU ,akihudumu pamoja na vijana wake wa Safina

Wakiwajibika kwa Bwana ni serious

Njiani kurudi baada ya huduma

Mwalimu was Kwaya ya safina ,akiselebuka na wanakwaya ya AIC-SHINYANGA ktk style ya Kung'ang'ania baraka za Bwana.

Photos from Safina Anglican Choir - SAC's post

Photos from Safina Anglican Choir - SAC's post

Safina ktk pozi tofautitofauti Tabora

Baadhi ya wanakwaya wakihojiwa ktk kituo kimojawapo cha redio mkoani Tabora

Baadhi Wanakwaya wa safina jinsia ya kiume ktk picha ya pamoja

Benchi LA Music LA Kwaya ya Safina ktk picha ya pamoja

Mlezi wa Safina MH.Kadutu akipokea baraka toka kwa wanasafina ,alipowatembelea TABORA kwenye huduma

Mwinjilisti wa Kwaya ya safina wakibadilishana mawazo na miradi na uchumi wa Kwaya ya AIC-SHINYANGA wazee wa kung'ang'ania

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Address


Dodoma
+255
Other Dodoma places of worship (show all)
Jireh Ministry International Jireh Ministry International
[email protected]
Dodoma

Welcome to the Official page for the potter's House and YEHOVA-YIRE INTERNATIONAL Ministries "On the mount of the LORD it shall be provided.

The capital tz The capital tz
Dodoma
Dodoma

www.capitaltz.com

Christian Council of Tanzania (CCT) Christian Council of Tanzania (CCT)
P.O.Box 1454,
Dodoma

The Christian Council of Tanzania (CCT) was established in January 1934 as a fellowship of Churches and Christians. It was then named the Tanganyika Missionary Council until 1964 when it adopted its current name. The CCT has 12 National Churches

The Carpenter's Kids Program The Carpenter's Kids Program
Dodoma

The Carpenter's Kids Program was founded in 2005 to support vulnerable children gaining access to education in Central Tanzania.

Kizota Gospel Church Kizota Gospel Church
Dodoma
Dodoma

Ni kanisa la kipentekoste lililopo manispaa ya Dodoma mjini! Ili kufika panda gari zinazoelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kiba

Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma. Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma.
Bwawani,Ihumwa.
Dodoma

Tunapatikana Mtaa wa Bwawani,Ihumwa.Panda daladala pale sabasaba Dodoma ushuke Flemingo Jeshini,utaona kibao cha huduma kinachokuelekeza ilipo huduma.

Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma Tafes Chuo Cha Mipango - IRDP Dodoma
Classroom 2 (CR 2)
Dodoma, IRDP - MAIN CAMP

An Inter-denominational and Non- denominational Christian Organization ministering to students in universities and colleges in Tanzania

JCC Nkuhungu Dodoma JCC Nkuhungu Dodoma
Nkuhungu
Dodoma, +225

Ni kanisa la kiroho lililopo DODOMA maeneo ya nkuhungu stand karibuni nyote

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania
Dodoma, 1522

Shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakapuchini lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1528. Hili ni tawi mojawapo la familia tatu za Shirika la kwanza.

Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma
Kisasa
Dodoma, 542

Kanisa letu zuri linapatikana eneo la Kisasa C centre mkabala na shule ya sekondari ya Kisasa: