The capital tz

The capital tz

Comments

Kijiwenogwa
Hi Africa
Please air this novela..iam your number one fan
Mimi naitwa mgogo safi kitu kinacho nikera makonda wanawanyanyasa sana wanafuzi
pamojasa pande za TNDM

www.capitaltz.com

Its your time to visit www.thecapitaltz.com

Mission: We are proud of Dodoma as Capital city and we have responsibility to have new from the centrol zone.

capitaltzblog.com

Tanzia ! MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA ZUBERI MSABAHA AFARIKI DUNIA – CapitaltzBlog- Dodoma

capitaltzblog.com Habari tulizozipokea hivi punde zinasema Mtangazaji wa muda mrefu wa Radio Free Africa, Zuberi Msabaha amefariki dunia jijini Mwanza. Zuberi Msabaha alikuwa ameugua kwa muda mrefu. Msiba upo Mabatini jijini Mwanza na mazishi yatafanyika leo Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde. R.I.P Zuberi Msabaha�...

capitaltzblog.com

LOWASSA AMEMTEMBELEA RAIS MAGUFULU IKULU LEO, WALIYOZUNGUMZA HAYA HAPA – CapitaltzBlog- Dodoma

capitaltzblog.com Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa baada ya mazungumzo hayo Lowassa amempongeza Rais Magufuli kwa kazi nzuri ana...

capitaltzblog.com

TCU YAFUNGUA MAOMBI YA VYUO VIKUU AWAMU YA PILI, KUANZIA TR 4 HADI TR 10 OKTOBA 2017 – CapitaltzBlog- Dodoma

capitaltzblog.com Habari TCU YAFUNGUA MAOMBI YA VYUO VIKUU AWAMU YA PILI, KUANZIA TR 4 HADI TR 10 OKTOBA 2017 By admin on October 4, 2017 Share Tweet Share Share 0 comments Related Items Share Tweet Share Share 0 comments ← Previous Story MWANAFUNZI WA SEKONDARI AUAWA KISA KUACHA SHULE NA KUOLEWA ‘KUPULWA’ SHINYANGA…

capitaltzblog.com

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) – CapitaltzBlog- Dodoma

capitaltzblog.com   SELECTED APPLICANTS FOR ADMISSION INTO NON -DEGREE PROGRAMMES (2017-2018) The following applicants have been selected for admission into Non-Degree programmes at the University of Dodoma (UDOM) for 2017/2018 academic year. All selected applicants are advised to observe the following: Download admi...

capitaltzblog.com

BREAKING: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma – Official CapitaltzBlog

capitaltzblog.com Stori iliyonifikia asubuhi hii ya Jumatano September 6, 2017 ni kwamba Viongozi wanne wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Profesa Ibrahim Lipumba wamefariki dunia baada ya msafara wao kupata ajali maeneo ya Ubenazomozi Mkoa wa Pwani. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati Viongozi hao wakitok...

capitaltzblog.com

Breaking News! HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017 – Official CapitaltzBlog

Matokeo ya kidato cha sita HAYA HAPA

Bofya: www.capitaltzblog.com

capitaltzblog.com Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu ngazi ya cheti na Diploma iliyofanyika mwezi Mei mwaka huu wa 2017.Angalia hapo chini matokeo hayo 1. Matokeo ACSEE 2. Matokeo Ualimu (DSSEE) 3. Matokeo Ualimu ( GATSE) AU BOFYA >>HAPA

capitaltzblog.com

Breaking News! HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017 – Official CapitaltzBlog

Matokeo ya kidato cha sita HAYA HAPA

Bofya: www.capitaltzblog.com

capitaltzblog.com Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu ngazi ya cheti na Diploma iliyofanyika mwezi Mei mwaka huu wa 2017.Angalia hapo chini matokeo hayo 1. Matokeo ACSEE 2. Matokeo Ualimu (DSSEE) 3. Matokeo Ualimu ( GATSE) AU BOFYA >>HAPA

THE CAPITAL TZ BLOG

LiveUpdates: Maandalizi kumuaga Ndesamburo, Moshi

THE CAPITAL TZ BLOG Baada ya kuripotiwa kifo cha Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo May 31, 2017…zilizonifikia leo June 5, 2017 ni shughuli za kumuaga mwanasiasa huyo mkongwe.Nimezipata picha 5 kutoka Uwanja wa Majengo ambako shughuli za kuuaga mwili wa Ndes

THE CAPITAL TZ BLOG

AUDIO:KUNDI JIPYA KABISA KUTOKA LABEL YA BIORN PRODUCTION DODOMA,C key & glory- Nikikupata By Bion Lab Prod Kimambo Touches.mp3

THE CAPITAL TZ BLOG THE CAPITAL TZ BLOG CENTER OF NEWS AND INFORMATION TANZANIA

THE CAPITAL TZ BLOG

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SALA YA IJUMAA KWENYE MSIKITI WA AL - GADDAF

THE CAPITAL TZ BLOG Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Sheikh Nurdin Kishik ambaye ni Mhadhiri wa Kimataifa wa Dini ya Kiislaam, (kulia) na ujumbe wake, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Juni 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika sala ya Iju

THE CAPITAL TZ BLOG

Maneno ya Mbasha baada ya kupost picha ya aliyekuwa mkewe Flora

THE CAPITAL TZ BLOG Mwimbaji wa Injili Emmanuel Mbasha ambaye alikuwa mume wa zamani wa Florance Henry aliyeolewa hivi karibuni leo June 1, 2017 kwa mara ya kwanza amepost picha ya mke wake huyo zamani kwenye account yake ya Instagram.Mbasha aliweka picha hiyo kwenye Instagram akimtakia heri katika siku ya kuzaliwa aki

THE CAPITAL TZ BLOG

JE UNAPENDA KUWA MTANGAZAJI? SOMA HII…

THE CAPITAL TZ BLOG Naamini kwema kabisa huko utokako, nami pia niko salama kabisa namshukuru Mungu. Sasa nimekaa nimefikiria sana jinsi ambavyo kuna ugumu sana nilipitia wakati naanza kuingia katika fani ya utangazaji, takribani miaka 9 sasa ikiwa ni pamoja na kushiriki mashindano mbalimbali ambayo yote leo hii nikita

THE CAPITAL TZ BLOG

JE UNAPENDA KUWA MTANGAZAJI? SOMA HII…

THE CAPITAL TZ BLOG Naamini kwema kabisa huko utokako, nami pia niko salama kabisa namshukuru Mungu. Sasa nimekaa nimefikiria sana jinsi ambavyo kuna ugumu sana nilipitia wakati naanza kuingia katika fani ya utangazaji, takribani miaka 9 sasa ikiwa ni pamoja na kushiriki mashindano mbalimbali ambayo yote leo hii nikita

THE CAPITAL TZ BLOG

Maneno ya Mbasha baada ya kupost picha ya aliyekuwa mkewe Flora

THE CAPITAL TZ BLOG Mwimbaji wa Injili Emmanuel Mbasha ambaye alikuwa mume wa zamani wa Florance Henry aliyeolewa hivi karibuni leo June 1, 2017 kwa mara ya kwanza amepost picha ya mke wake huyo zamani kwenye account yake ya Instagram.Mbasha aliweka picha hiyo kwenye Instagram akimtakia heri katika siku ya kuzaliwa aki

THE CAPITAL TZ BLOG

Kenyatta alivyozindua Treni na Reli Mpya Kenya (+VideoFUPI)

THE CAPITAL TZ BLOG Taarifa iliyoripotiwa leo May 31, 2017 ni kuhusu Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta kuzindua Treni ya kisasa nchini humo ambayo itafanya safari zake kutokea Mji wa Pwani waMombasa hadi katika Jiji la Nairobi.millardayo.com imezinasa picha pamoja na video fupi iliyoripotiwa na Clouds Habari kuhusu tukio h

THE CAPITAL TZ BLOG

Walichokisema Daktari, Meya na Mtoto wa Ndesamburo baada ya kifo chake

THE CAPITAL TZ BLOG Mchana wa May 31, 2017 iliripotiwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMAMkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburoambapo Story niliyo nayo ni Daktari aliyempokea katika Hospitali ya KCMC Moshi, mtoto wake mkubwa na baadhi ya viongozi wamezungumza kuhusu

THE CAPITAL TZ BLOG

Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

THE CAPITAL TZ BLOG Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni Mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan

THE CAPITAL TZ BLOG

Majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake (+Audio)

THE CAPITAL TZ BLOG Mwimbaji staa Diamond Platnumz ambaye Weekend hii yupo Kenya kwenye show amefunguka akisema kuwa hatopenda mtoto wake wa kike Tiffa awe mwanamuziki akihofia kufuatwa sana na wanaume kitu ambacho kitamuumiza.Akifanya interview moja nchini humo, licha ya kutotaka

THE CAPITAL TZ BLOG

PICHA 50 ZA UTOAJI WA TUZO KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA / UDOM AWARDS 2017

THE CAPITAL TZ BLOG THE CAPITAL TZ BLOG CENTER OF NEWS AND INFORMATION TANZANIA

THE CAPITAL TZ BLOG

PICHA 50 ZA UTOAJI WA TUZO KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA / UDOM AWARDS 2017

THE CAPITAL TZ BLOG THE CAPITAL TZ BLOG CENTER OF NEWS AND INFORMATION TANZANIA

THE CAPITAL TZ BLOG

PICHA 50 ZA UTOAJI WA TUZO KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA / UDOM AWARDS 2017

THE CAPITAL TZ BLOG THE CAPITAL TZ BLOG CENTER OF NEWS AND INFORMATION TANZANIA

THE CAPITAL TZ BLOG

Majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake (+Audio)

THE CAPITAL TZ BLOG Mwimbaji staa Diamond Platnumz ambaye Weekend hii yupo Kenya kwenye show amefunguka akisema kuwa hatopenda mtoto wake wa kike Tiffa awe mwanamuziki akihofia kufuatwa sana na wanaume kitu ambacho kitamuumiza.Akifanya interview moja nchini humo, licha ya kutotaka

THE CAPITAL TZ BLOG

VideoMPYA: Kolabo aliyoshirikishwa Harmorapa na msanii wa Ubelgiji

THE CAPITAL TZ BLOG Miongoni mwa video mpya zilizonifikia ni pamoja na hii aliyoshirikishwa Harmorapa na Ronei, ngoma ni ya msanii Kriticos ambaye ni Mtanzania anayeishi Ubelgiji na production imefanywa na P-funk Majani.

THE CAPITAL TZ BLOG

Cha mwisho alichozungumza IGP Mangu kabla ya uteuzi wa IGP mpya (+video)

THE CAPITAL TZ BLOG May 28, 2017 Rais Magufuli alifanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi ‘IGP’ akimteuaSimon Sirro kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi hilo Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine. Kabla ya uteuzi huo IGP Sirro alikuwa Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.Miongoni mwa vitu alivyovizungumz

THE CAPITAL TZ BLOG

BELLE 9 KATULETEA AUDIO MPYA, AMEKUJA TENA NA G NAKO.. ENJOY

THE CAPITAL TZ BLOG Mabibi na Mabwana The wait is OVER #[email protected] & @gnakowarawarahttps://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=463

THE CAPITAL TZ BLOG

SERIKALI IMEKAMATA VYOMBO 2795 KATIKA KUZUIA UVUVI HARAMU

THE CAPITAL TZ BLOG Serikali kupitia Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi katika kipindi cha mwaka 2010-2015 imekamata vyombo 2795,injini za Mitumbwi 118,magari 297 na pikipiki 33 kwa sababu ya uvuvi haramu na utoroshwaji haramu kupitia maziwa makubwa,mwambao wa Bahari ya Hindi na Mipaka ya Nchi.Hayo yamesemwa leo Bungeni

THE CAPITAL TZ BLOG

AUDIO-MANJI AJITENGA YANGA, ATHIBITISHA KUJIUZULU ....SAUTI YAKE IPO HAPA

THE CAPITAL TZ BLOG Yusuf Manji amethibitisha kujiuzulu rasmi klabuni hapo, akizungumza kupitia kipindi cha Sport Hq cha E Fm amesema taarifa za barua inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni za kweli.Zaidi nimekuwekea hapa chini sauti yake, akizungumza

THE CAPITAL TZ BLOG

MAGAZETI MEI 23 2017- MAUAJI KIBITI YAUMIZA VICHWA, YANGA WALA VICHWA SITA, MTOTO AUAWA NA FISI

THE CAPITAL TZ BLOG Mei 23 leo hii kutoka chumba cha habari Capital Tz.com tumekuletea vichwa vya habari kutoka katika magazeti yanayapatikana hapa nchini yakiwemo ya Hard News, Udaku na Michezo.

THE CAPITAL TZ BLOG

CHIN BEES AWANYONGA NYONGA, AJA NA AUDIO/ VIDEO

THE CAPITAL TZ BLOG Baada ya kujitengenezea heshima adimu kama ‘Prince wa Trap’ Tanzania kupitia ngoma yake, Pepeta, Chin Bees ameachia wimbo mpya ‘Nyonga Nyonga’ pamoja na video yake.Wimbo huo wenye mahadhi ya dancehall iliyochanganyikana na ladha za aina yake za Kibongo, unadhihirisha uwezo wa Chin katika kubadilika

THE CAPITAL TZ BLOG

WAZIRI MWIGULU AWASHA MOTO KIBITI, "HATUTAWAACHA"

THE CAPITAL TZ BLOG “Hakuna chama cha siasa ambacho kina thamani sawa na uhai wa binadamu, mtu kuwa chama anachotaka hajafanya kosa hata kustahili kuuawa, kwa maana hiyo mimi kila nikitafakari naona kuna kamchezo kanakochezwa, hatutawaacha wanaoua na wala hatutawaacha wanaoshirikiana na wanaoua.”Hiyo ni kauli ya Waziri

THE CAPITAL TZ BLOG

HARRY KANE AFANYA KUFURU ENGLAND, ATUNDIKA BAO NYINGI ZAIDI YA KLABU..

THE CAPITAL TZ BLOG Harry Kane striker wa Tottenham Hotspurs ameibuka kuwa mfungaji bora katika ligi kuu ya soka nchini England akifanikiwa kupachika bao 29 .Lakini klabu ya Middlesbrough imemaliza msimu ikishuka na kuungana na vilabu vya Hull City na Sunderland sasa kwao ikiwa klabu imefanikiwa kufunga bao 27.

THE CAPITAL TZ BLOG

Msofe Graphics achaguliwa KWENYE TUZO ZA UDOM - MPIGIE KURA MUDA HUU

THE CAPITAL TZ BLOG NIaje Mtu wangu ... Mungu ame bless Kuchaguliwa kwenye UDOM AWARDS mwaka huu 2017 kwenye Kipengele cha BEST GRAPHICS DESIGNER ...so Unaweza kunipigia KURA kunifanya kuwa Mshindi. Njia za Kupiga Kura DOwnload App kwenye Playstore andika UDOM Awards App kisha nitafute kwenye BEST GRAPHICS DESIGNER Pi

THE CAPITAL TZ BLOG

DJ MARIO WA NEW CLUB SEVEN AZUA VARANGATI KISA SELFIE YAKE

THE CAPITAL TZ BLOG THE CAPITAL TZ BLOG CENTER OF NEWS AND INFORMATION TANZANIA

THE CAPITAL TZ BLOG

DJ MARIO WA NEW CLUB SEVEN AZUA VARANGATI KISA SELFIE YAKE NA MTOTO MZURI WA DODOMA

THE CAPITAL TZ BLOG THE CAPITAL TZ BLOG CENTER OF NEWS AND INFORMATION TANZANIA

THE CAPITAL TZ BLOG

Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu

THE CAPITAL TZ BLOG Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10.Kingine walichokieleza mashuhuda ni kuwa kuna baadhi ya

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dodoma
Dodoma
Other Dodoma places of worship (show all)
Saint Gemma Sisters of Dodoma. Saint Gemma Sisters of Dodoma.
Dodoma Cathedral Church(Catholic)
Dodoma, DODOMA

St.Gemma Sisters Congregation is a Diocesan Institution that was founded in Kondoa Irangi, Dodoma Region on the 14th September 1947 by the late Monsigno

MoreGrace International Ministry - MGIM MoreGrace International Ministry - MGIM
[email protected]
Dodoma, +255

Building people spiritually, knowledgeable, intellectually.

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Viwawa Jimbo Kuu la Dodoma Viwawa Jimbo Kuu la Dodoma
Kigamboni
Dodoma, 255

Viwawa ni chama cha Vijana Wakatoliki Wafanyakazi Tanzania, kwa lugha ya Kiingereza (Tanzania Young Catholic Workers Movement-T.Y.C.W) JIMBO KUU LA DODOMA.

Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma
Kisasa
Dodoma, 542

Kanisa letu zuri linapatikana eneo la Kisasa C centre mkabala na shule ya sekondari ya Kisasa:

Dodoma Christian Fellowship Church Dodoma Christian Fellowship Church
Dodoma
Dodoma

Dodoma Christian Fellowship Church is a Pentecost Church lead by Rev. Past INNOCENT MBYALLU based at Dodoma /Tanzania

Kizota Gospel Church Kizota Gospel Church
Dodoma
Dodoma

Ni kanisa la kipentekoste lililopo manispaa ya Dodoma mjini! Ili kufika panda gari zinazoelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kiba

Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania
Dodoma, 1522

Shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakapuchini lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1528. Hili ni tawi mojawapo la familia tatu za Shirika la kwanza.

Chibago family friend forever DOM TZ Chibago family friend forever DOM TZ
Www.fjeremia.com
Dodoma, +255

God is best friend for our family!

Upendo Revival Christian Centre-URCC Upendo Revival Christian Centre-URCC
TAG Upendo Revival Christian Centre
Dodoma, P. O. BOX 1098

Upendo Revival Christian Centre is a Christian Pentecostal Church of the Assemblies of God origin with one purpose: defining Christian Love to all people, Christians and non-Christians, the churched and the un-churched, in towns and in villages.

Mennonite Church Tanzania Dodoma  Iringa Road Mennonite Church Tanzania Dodoma Iringa Road
Box 3230
Dodoma, 255

Kila mwenye pumnzi na amsifu Bwawa