The Bible Society of Tanzania

The Bible Society of Tanzania

Comments

ndugu wapendwa 2tengenezen njia ya bwana!
hey good God's people. I need to buy Swahili bibles. 200 copies. who can supply me? contact me. +254720204970
Yesu Na Mpenda Lakini? Sjui
Hi, I'm in the US, in New York, and I'd like to know where I can buy a Swahili bible by theTanzania Bible Society. Thanks
hi

Box 175 Dodoma +255262324661 +255262324465

Mission: Our mission is to make available and encourage the use of the Holy Scriptures to every person in a language each can understand and in an appropriate format at a price they can afford and in partnership with the Church and other stake holders”.

[10/19/12]   Pray for peace all over the world....pray fo Religious tolerance in Tanzania........pray for those who torched and broke into churches recently in Tanzania

[10/02/12]   We hold nothing in life out of God's Plan

[07/24/12]   Mwinue BWANA mtukuze yeye tu
Maana ni Mungu ni Kwako nawe ni mja kwake, maisha yapo mikononi mwake naye ndiye aujua mwisho wako, jitunze kuishi kwako ili ukampendeze yeye.

[07/06/12]   Mungu awatunze kwa mkono wake akufunikeni wala ubaya usiwe juu yenu usiku huu mkawe salama.

[07/04/12]   Mungu katika Yesu Kristo ndiye tumaini letu, wakati wa raha, na wakati wa dhiki, wakati wa huzuni na wakati wa furaha.

[07/03/12]   Mungu ndiye ngome na mwamba imara, wote walioweka tumaini katika yeye hawatotikisika kamwe hata ije tofani kuu.

[07/02/12]   Mungu akutunze wewe, Mungu akufanye kuwa sehemu ya Utukufu wake.

[06/26/12]   Ishi kwa hofu ya Mungu utayashinda maovu, kwa maana dunia ikikulea nawe utakuwa mwana wa ule upotevu.

[06/22/12]   Zinaa itamkweje kwako Mtu uliyeokoka? Kwani haikusemwa kwako kuwa ni dhambi hiyo. Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.

[06/22/12]   Tengeneza maisha yako sasa, kesho yako huijui, usiseme nitafanya kesho uliyo nayo mkononi mwako ni leo.

[05/21/12]   Then! what can we say; If God is for Us, and we are for God, then what if we are not clean?

[05/19/12]   Nothing new under the sun, nothing good from a human's mind, But in GOD we have all Good en better for Life.

[05/03/12]   When we face difficulties in our daily life; thats a time when we'r going see the will of God

[05/01/12]   If ye trust in God, ye'll have victoious life forever, nothing impossible will be for ye!
Blessed are those who TRUST God

The Bible Society of Tanzania's cover photo

[03/08/12]   The BIBLE is the Instructions and Warning signals for us to see GOD in our daily life and to reach the Kingdom of God.

[12/30/11]   ISAYA 38:1-18

[11/22/11]   Wapendwa ishikeni njia ya YESU maana huo ndiyo usalama wa maisha ya hapa duniani.

[09/29/11]   Hakuna aliyefanikiwa kwa wingi wa kiburi na jeuri yake isipokuwa kwa njia yeyote lipo kusudi la Mungu katika mafanikio yake.

[05/21/11]   Dunia ina mengi mazuri, naam; nayo si kwa ajili ya BWANA, MUNGU wetu, basi tuyaache hayo nyuma tuyachuchumilie yale ya MUNGU, tuyakiyafadhi hayo tutayashinda ya dunia.

[05/03/11]   Neno jema hujenga nyumba bali kiburi na majivuno, hufukuza mgeni.

[03/29/11]   Ukimbie sana ubaya ukiusogelea wema, maana kwa mema mtu atakula matunda yake

[03/23/11]   1 Cor 4:1 Mtu na atuhesabu hivi kuwa tu watumishi wa kristo na mawakili wa siri za mungu

[03/22/11]   For you will not abandon my soul to Sheol,
or let your holy one see corruption.t

You make known to me the path of life;
in your presence there is fullness of joy;
at your right hand are pleasures forevermore
PSALM 16:10-11

[03/22/11]   “Church isn’t where you meet. Church isn’t a building. Church is what you do.
Church is who you are. Church is the human outworking of the person of Jesus
Christ. Let’s not go to Church, let’s be the Church.

[03/08/11]   I asked the Lord to bless you as I prayed for you today, to guide you and protect you as you go along your way. His love is always with you. His promises are true, and when we give Him all our cares we know He will see us through.

[03/01/11]   Wakati huo huo, mtu mmoja aliyekuwa na pepo akapiga kelele humo katika sinagogi akasema, ``Mbona unatuingilia, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Ninafahamu wewe ni nani! Wewe ni Mtakatifu wa Mungu.'' Lakini Yesu akamkemea akamwambia, ``Kaa kimya! Mtoke!'' Yule pepo mchafu akamtikisa yule mtu kwa nguvu kisha akamtoka akipiga kelele. MARKO 1 : 23 - 26

[02/28/11]   Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, watu wasiokiri ya kwamba Kristo alikuja kama mwanadamu. Mtu kama huyo ni mdanganyifu na mpinga-Kristo. Jihadharini msije mkapoteza yale mliyoyafanyia kazi, bali mpewe thawabu kamili.
2 YOHANA 1 : 7-8

[02/28/11]   For I say to you, that unless your righteousness exceeds the righteousness of the scribes and Pharisees, you will by no means enter the kingdom of heaven. Matthew 5:20

[02/27/11]   Zaburi 146: 5 Hahirwa ufite Imana ya Yakobo ho umutabazi we akiringira Uwiteka Imana ye!

[02/26/11]   I know your deeds. See, I have placed before you an open door that no one can shut. I know that you have little strength, yet you have kept my word and have not denied my name. Revelation 3:8

[02/26/11]   21Kwa hiyo mtu asijivune kwa sababu ya watu. Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu, 22kama ni Paulo au Apolo au Petro au dunia au maisha au kifo, au wakati uliopo au wakati unaokuja, haya yote ni yenu; 23na ninyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.
1 WAKORINTHO 3 :21-23

[02/26/11]   you should start your day and end it in praise, because the goodness of God is what begins your day and it is also what keeps through that day, and watches over you when u rest yo head at the end of the day. So then brothers and sisters, give Him praise always and enjoy this beautiful day that the Lord has made, rejoice and be glad in it.

[02/25/11]   Lakini hata ikitokea nini, hakikisheni kuwa mwenendo wenu unalingana na Injili ya Kristo. Ili kama nikija kuwaona au hata nisipojaliwa kufika, nipate habari kuwa mnasimama imara katika roho ya umoja, mkiwa na nia moja huku mkipambana kwa pamoja kwa ajili ya imani ya Injili, WAFIIPI 1:27

[02/25/11]   Warumi 8:28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Makumbusho/ 9th Street
Dodoma
BOX 175
Other Religious Centers in Dodoma (show all)
TAFES CBE Dodoma TAFES CBE Dodoma
[email protected]
Dodoma, 2077 DODOMA

TAFES-CBE DODOMA Is an interdenominational movement reaching every student in the campus with the gospel of Jesus Christ.