Thisdaso Dodoma ZONE

Thisdaso Dodoma ZONE

[01/11/13]   LOCAL RETREAT SASA NI NDANI YA CAPITAL ZONE(DODOMA ZONE) USIPANGE KUKOSA KWA KUWA HAKUNA ATAKAYEKUPA COY, SOTE TUTAKUWA KWA MKUTANO.

[03/09/12]   kwa wana THISDASO DODOMA,17/03 kutakuwa na sabato ya kanda ktk chuo cha St.John.
siku hiyo tutaanza uchaguzi wa viongozi kanda,pia itakuwa siku ya mwisho kutoa kiingilio cha retreat Tsh.56500 tu.

[02/23/12]   tuwakumbuke sana THISDASO UDOM wanaendelea na efoti, moja inafanyika makuli na nyingine ng'ong'ona

[01/31/12]   nawakumbusha wahitimu wote wa mwaka huu kuleta mahitaji yenu mapema ili muwe na sifa ya kupata cheti.
Mahitaji hayo ni ada 5000 kwa mwaka,picha ikiwa ktk softcopy na pesa ya cheti 4000.
Mwisho wa kupokea ni tar25/2.

[01/12/12]   Wanachama wote mnakumbushwa kuzidi kuombea uchaguzi wa viongozi wa kanda unaotarajiwa kuanza tarehe 10/03/2012.

Thisdaso Dodoma ZONE

FOR THISDASO DODOMA ZONE AS WELL AS TANZANIA UNION,YOU MAY LIKE THIS PAGE AND GET UPDATE OF WHAT IS GOING ON AT THISDASO DOM ZONE.

Religious Organization

[01/12/12]   ºYOU MAY ADDRESS THIS PAGE TO OTHER MEMBERS.º11º

Untitled Album

[11/22/11]   Efoti inayofanyika majengo mapya kikuyu mpaka sasa Mungu amejitwalia roho zaidi ya 40. Na lengo letu ni kubatiza roho 100 mpaka ifikapo dec 31.tuzidi kuomba.

[10/26/11]   efoti imeanza,kufunga na kuomba ni njia pekee ya kuongoa roho. tuombe bila kukoma, na karibuni sana ktk eneo la mkutano.

[10/06/11]   Greetings..

Welcome back to Dodoma. I hope you enjoyed your holiday. May God grant you traveling mercies. Amen.
God bless

from
Pr S Mange

[09/23/11]   wajoli tuzidi kuomba kwa ajili ya efoti ambayo inaendelea dodoma.

[08/24/11]   wajoli wa Bwana,naamini wengi mna taarifa juu ya msiba wa mzee kiongozi wa DODOMA KATI,NDG. CHUMO.
Hivyo tuikumbuke familia ile kwa maombi ili mfariji mkuu azidi aifariji familia katika hiki kipindi cha majonzi.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dodoma
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
Saint Gemma Sisters of Dodoma. Saint Gemma Sisters of Dodoma.
Dodoma Cathedral Church(Catholic)
Dodoma, DODOMA

St.Gemma Sisters Congregation is a Diocesan Institution that was founded in Kondoa Irangi, Dodoma Region on the 14th September 1947 by the late Monsigno

Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

Jireh Ministry International Jireh Ministry International
[email protected]
Dodoma

Welcome to the Official page for the potter's House and YEHOVA-YIRE INTERNATIONAL Ministries "On the mount of the LORD it shall be provided.

JCC Nkuhungu Dodoma JCC Nkuhungu Dodoma
Nkuhungu
Dodoma, +225

Ni kanisa la kiroho lililopo DODOMA maeneo ya nkuhungu stand karibuni nyote

TUCASA-IRDP Dodoma. TUCASA-IRDP Dodoma.
138
Dodoma, 41113

special for TUCASA Members at Mipango Institute,sharing ideas on spiritual perspective as well as memory events' photos,also getting informations and chat.

DAMU YA YESU DAMU YA YESU
Mpwapwa
Dodoma

Tunakombolewa kwa damu ya mwana kondoo Wa Mungu (Yesu Kristo) ambaye alijitoa msalabani, akafa kifo cha aibu, damu ikatiririka ili Mimi na wewe tuwe hai.

The Carpenter's Kids Program The Carpenter's Kids Program
Dodoma

The Carpenter's Kids Program was founded in 2005 to support vulnerable children gaining access to education in Central Tanzania.

Dodoma Christian Fellowship Church Dodoma Christian Fellowship Church
Dodoma
Dodoma

Dodoma Christian Fellowship Church is a Pentecost Church lead by Rev. Past INNOCENT MBYALLU based at Dodoma /Tanzania

Chibago family friend forever DOM TZ Chibago family friend forever DOM TZ
Www.fjeremia.com
Dodoma, +255

God is best friend for our family!

Prophet Linus Ministries Prophet Linus Ministries
Dodoma

Prophet Linus Tesha Is The founder of MRD Prophetic Church Worldwide. Find the Prophet Through wasp+255713344025

Mennonite Church Tanzania Dodoma  Iringa Road Mennonite Church Tanzania Dodoma Iringa Road
Box 3230
Dodoma, 255

Kila mwenye pumnzi na amsifu Bwawa