New Jerusalem uscf-sjut

New Jerusalem uscf-sjut

SAFU YA KWAYA YETU 1-JACOB YUSUPH-teacher 2-EZRA PAUL-Chair.p 3-SOLOMON GEOFREY-Secretary 4-MPINZILE HAPPINESS-VCP 5-MSAMBA MARIAM-Burser 6-ARON FATAEL-DSP

Timeline Photos

[12/19/15]   We av been so cool. But Jesus loves us more than we can imagine. Thanks for ur likes. Soon we will give u the updates and evry tng abt our works.
In God we trust!

[08/14/13]   MAJINA YA MUNGU WA ISLAEL ALIVOJIFUNUA TOFAUTI!!
ELOHIM...... Genesis 1:1 , Psalm 19:1
meaning "God", a reference to God's
power and might.
ADONAI...... Malachi 1:6
meaning "Lord", a reference to the
Lordship of God.
JEHOVAH--YAHWEH..... Genesis 2:4
a reference to God's divine salvation.
JEHOVAH-
MACCADDESHEM....... Exodus 31:13
meaning "The Lord thy sanctifier"
JEHOVAH-ROHI...... Psalm 23:1
meaning "The Lord my shepherd"
JEHOVAH-SHAMMAH....... Ezekiel 48:35
meaning "The Lord who is present"
JEHOVAH-RAPHA......... Exodus 15:26
meaning "The Lord our healer"
JEHOVAH-TSIDKENU...... Jeremiah 23:6
meaning "The Lord our righteousness"
JEHOVAH-JIREH......... Genesis 22:13-14
meaning "The Lord will provide"
JEHOVAH-NISSI......... Exodus 17:15
meaning "The Lord our banner"
JEHOVAH-SHALOM........ Judges 6:24
meaning "The Lord is peace"
JEHOVAH-SABBAOTH...... Isaiah 6:1-3
meaning "The Lord of Hosts"
JEHOVAH-GMOLAH........ Jeremiah 51:6
meaning "The God of Recompense"
EL-ELYON.............. Genesis 14:17-20
, Isaiah 14:13-14
meaning "The most high God
EL-ROI................ Genesis 16:13
meaning "The strong one who sees"
EL-SHADDAI............ Genesis 17:1
, Psalm 91:1
meaning "The God of the mountains or
God Almighty"
EL-OLAM............... Isaiah 40:28-31
meaning "The everlasting God"
Yatumie kumpa utukufu yeye!

Timeline Photos

Timeline Photos

[04/17/13]   Bwana Yesu asifiwe,kuna jambo jambo wapendwa mnisaidie kwa kadri mtakavyofunuliwa.Nimekua mwimbaji kwa mda mrefu sasa wa nyimbo za injili solo na kwaya mbalimbali.wapendwa wamekua wakinijia na kuhitaji tuungane kuombea watu na kutoa mapepo hasa nikihudhuria mikesha na mikutano ya injili,sehemu ambazo mapepo mengi hujiinua.Lakini mimi nimekua nikiona kutoa pepo ni kipawa tofauti na nnachokipenda....Kuimba kwangu ni zaidi ya zawadi aliyonipa Mungu...nimewahi kupona tonses zilizokua zimevimba kwa kuimba nyimbo za kuabudu.Je! ni lazima niombe uwezo wa kutoa pepo? help me!

[01/26/13]   God bless u! leo jumapili ya tar 27-01-2013 USCF-sjut tutakua na joint-mass na wageni kutoka UDOM.kwaya yetu itashiriki pamoja na kwaya ya kkkt usharika wa Iringa load-Welcome all.

[12/07/12]   wanakwaya waliojiunga leo tar 07-12-2012
-MERERE SOPHIA-FAHE 2nd YR
-MESHACK LIBERATA-FAHE 2nd YR

[12/06/12]   BWANA YESU ASIFIWE,NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA WAZO HILI LA KUENEZA INJLI NA HABARI NJEMA ZA KAZI YA MUNGU NDANI YA UMOJA WETU KUPITIA INTERNATE."Ajitengae na wenzake hutafta matakwa yake mwenyewe,hushindana na kila shauri jema(mithali 18:1) Basi na tusijitenge bali tuwe na umoja na MUNGU awape ufahamu utoao juu! AMEN.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dodoma
Dodoma
S.L.P 47
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
Kizota Gospel Church Kizota Gospel Church
Dodoma
Dodoma

Ni kanisa la kipentekoste lililopo manispaa ya Dodoma mjini! Ili kufika panda gari zinazoelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kiba

Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

ICC Dodoma ICC Dodoma
Dodoma

We preach the Gospel of Jesus Christ by fulfilling the purpose of Church which is evangelism, fellowship, worship, spiritual maturity and ministry.

Saint Gemma Sisters of Dodoma. Saint Gemma Sisters of Dodoma.
Dodoma Cathedral Church(Catholic)
Dodoma, DODOMA

St.Gemma Sisters Congregation is a Diocesan Institution that was founded in Kondoa Irangi, Dodoma Region on the 14th September 1947 by the late Monsigno

Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania
Dodoma, 1522

Shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakapuchini lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1528. Hili ni tawi mojawapo la familia tatu za Shirika la kwanza.

Mennonite Church Tanzania Dodoma  Iringa Road Mennonite Church Tanzania Dodoma Iringa Road
Box 3230
Dodoma, 255

Kila mwenye pumnzi na amsifu Bwawa

Prophet Linus Ministries Prophet Linus Ministries
Dodoma

Prophet Linus Tesha Is The founder of MRD Prophetic Church Worldwide. Find the Prophet Through wasp+255713344025

Capital Christian Centre Capital Christian Centre
Dodoma, 00255

Church is located at Miyuji Area, Along Arusha Road Opposite Assemblies of God Bible College Contact us through Mob: 0754 436397; 0755 304236

TUCASA-IRDP Dodoma. TUCASA-IRDP Dodoma.
138
Dodoma, 41113

special for TUCASA Members at Mipango Institute,sharing ideas on spiritual perspective as well as memory events' photos,also getting informations and chat.

Dodoma Christian Fellowship Church Dodoma Christian Fellowship Church
Dodoma
Dodoma

Dodoma Christian Fellowship Church is a Pentecost Church lead by Rev. Past INNOCENT MBYALLU based at Dodoma /Tanzania