Kizota Gospel Church

Kizota Gospel Church

Comments

Tuwe rafiki,ni pst.Baraka kenya.
i was blessed for the all messages GOD bless you and GOD be with you forever my pastor LAMECK E. NGOBITO. We love you more than you think

Ni kanisa la kipentekoste lililopo manispaa ya Dodoma mjini! Ili kufika panda gari zinazoelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kiba

......Mchungaji kiongozi Lameck Ngobito anakukaribisha katika mkesha mkubwa wa mwaka mpya utakaofanyika katika kanisa la Kizota Gospel Church

.....katika matukio ya pamoja ambapo mchungaji lameck ngobito aliongoza ibada ya kuwabariki watoto kanisan....amesisitiza kuwa watoto hawabatizwi ila wanabarikiwa na wazazi wananafasi kubwa katika malezi ya watoto

....mchungaji kiongoz lameck ngobito akiwa na wamama wa kanisan na waongofu wapya waliompa Yesu maisha yao kabla ya kuumaliza mwaka 2017 hapa kanisan kizota Gospel church

....mchungaji kiongozi @Lameck Ngobito akifafanua mini maana ya Christ mass siku ya leo hapa kanisan.....

Kizota Gospel Church's cover photo

Kizota Gospel Church

Kizota Gospel Church

....tumekuwa na wakati wa baraka sana ibada ikiongozwa na mch kuongozi @lameck ngobito
Amefundisha nini maana ya Christ mass hakika tumebarikiwa.....

....bwana harusi na bibi harusi watarajiwa wakipata chakula ktk sendoff iliyofanyika arusha

.....Mungu ni mwema sana kijana Joel kutoka ICM akiwa katika sendoff yake iliyofanyika arusha.....akiwa na baadhi ya wapenda kutoka ICM kizota Anna Rutaihwa
Kwa Mungu yote yanawezekana

IBADA YA LEO 4/6/2017 ICM KIZOTA

SOMO:KUTIMIZWA KWA MAANDIKO
NA MCH KIONGOZI LAMECK NGOBITO

Luka 22:44, Marko 1:15, Matendo 7:30
"Yesu alipokuja duniani hakuja kwa lengo la kuanzisha torati bali kuitimiliza torati na yaliyoandikwa katika biblia"

Yanayotokea yote katika dunia ya leo yalishatabiriwa hapo mwanzo mfano -Manabii wa uongo, Watu kuacha utakatifu, Watu kujipenda wenyewe n.k

USIDANGANYWE WALA KUYUMBISHWA NI WEWE MWENYEWE KUSIMAMA NA HUO NDIO MUUJIZA WAKO

[06/03/17]   Mch kiongozi Lameck Ngobito anawakaribisha wakazi wote wa Dodoma katika ibada ya neno la Mungu katika kanisa la kizota Gospel Church

[05/13/17]   Haleluya! Tunawakaribisha katika ibada ya jumapili itakayofanyika katika kanisa la Kizota Gospel Church siku ya kesho tar 14/5/2017 chini ya mchungaji kiongozi Lameck Ngobito

Namna ya kufika panda gari zinazotoka mjini kuelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza(mbele ya four ways) kisha utaona kibao kinachokuelekeza moja kwa moja hadi kanisan

Karibun sana watu wote wa

Mchungaji kiongozi lameck Ngobito akiongoza maombi na maombezi katika kanisa la Kizota Gospel Church Mungu amekuwa akitenda kwa wengi na hata kwako atatenda ukimuamini!

SOMO LA LEO 7/5/1017 NA MCH KIONGOZI LAMECK ELIYA NGOBITO

SOMO: AMUA KUONDOKA KIFUNIKO KATIKA MAISHA YAKO

Kifuniko ni kitu chochote kinachomfanya mtu ashindwe kuona mbele/hatma yake katika nyanja mbalimbali maishani! Yawezekna katika maisha ya kiroho au ya kimwili ya mtu.

Mwanzo 8:13
"Ikawa mwaka wa mia sita na moja mwezi wa kwanza siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi, Nuhu AKAONDOA KIFUNIKO cha safina naye akaona na tazama uso wa nchi umekauka"

-ili uvuke kutoka sehemu moja hadi nyingine kiroho/kimaisha ni lazima uondoe kifuniko na ukiondoa kifuniko wewe sio mtu wa kawaida

Mbarikiwe Kizota Gospel Church

Tunawakaribisha sana katika ibada zetu mkazi wa manispaa ya Dodoma na maeneo mengine yote! Kanisa linapatikana njia ya kwenda singida(fourway) shuka daraja la kwanza utaona kibao kinachokuonyesha mahali kanisa lilipo! Karibu sana mkaribishe na mwingine! Mch Kiongozi Lameck Eliya Ngobito

SOMO LA LEO 12/03/2017
SOMO: KUWA NA TUMAINI KATIKA SIKU ZAKO ZA MWISHO
NA MCH KIONGOZI LAMECK NGOBITO


Luka 7:8-25, Tito 2:13-14
Mithali 13:12 "kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua bali haja ya mtu ikipatikana ni mti wa uzima"
-kuna wakati Mungu hutuacha tupite katika magumu ili alitukuze jina lake
-Tukitaka kuwa na tumaini thabiti ni lazima tuikatae dunia...

Weka tumaini lako kwa Mungu haijalishi unapita katika magumu kiasi gani yeye ni mwaminifu atatenda

Karibu sana

Ujumbe wa leo 5/3/2017
Mch kiongozi Lameck Ngobito

SOMO :JIFUNZE KUMSHIRIKISHA MUNGU KATIKA MAMBO YAKO
Isaya 36:13, isaya 39:3 Marko 7:33-34

"Kuna faida nyingi katika kumshirikisha Mungu mambo unayoyapitia haijalishi ni jambo kubwa au dogo"
.... Katika maisha ya mwanadamu Kwenye mazuri huwa ni ya kwangu ila akipitia magumu husema Mungu uko wapi...

N:B ila wewe mshirikishe Mungu katika mambo yote nawe utaona faida hapa duniani na katika uzima wa milele

Karibu sana tunawapenda!!!!!!

NENO LA LEO 26/2/2017 :HUKUMU
MCH KIONGOZI LAMECK NGOBITO

Hukumu ni neno linaloambatana na sheria/sheria iliyo katika maamuzi yaliyoamriwa

"Kuna mambo unapoyafanya unaingia kwenye hukumu na kuna mambo usipoyafanya unakuwa chini ya hukumu pia"
**Njia pekee ya kuondoa hukumu ya wanadamu ni kutoka kwa Yesu mwenyewe.
**Ikiwa neno la mtakatifu ni amri basi unaweA kutoa amri inayotekelezeka.
Daniel 4:17, Matendo 16:35-36
Luka 7:37-39, marko 15:36, yohana 18:8

Tunamshukuru Mungu tumekuwa na ibada njema sana karibuni sana Lazaro Mallya Mwatano Stanley

.... Mungu ana Neno juu yako siku ya kesho Mch kiongozi lameck Ngobito anawakaribisha wakazi wa dodoma na maeneo ya jirani katika ibada ya neno la Mungu itakayoanza saa 3:00 asbh-6:30 mchana

Namna ya kufika Kizota Gospel Church panda gari zinazoenda nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kibao kinachokuongoza moja kwa moja kwa moja hadi kanisani ni mkono wa kushoto pale utakaposhuka

Au piga namba 0756529846 kwa maelekezo zaidi

Kizota Gospel Church

.... Mlee mtoto katika njia impasayo naye hata iacha hata atakapokuwa mzee....

-Watoto wakiwa na furaha katika siku ya watoto hapa kanisani Kizota Gospel Church.... Wanafundishwa namna ya kuenenda katika maisha ya utoto na kuwa na hatma nzuri wakiwa watu wazima

Ni hapa kanisani kila jumapili asubuhi kuanzia saa 3 asubuhi .......

IBADA KUU 19/2/2017 NA MCH Lameck Ngobito
SOMO:NAMNA UNAVYOLITAZAMA TATIZO
2Falme 6:15-17, 2falme 5:2-4

Namna ya kutazama Mambo
1. Ki-Mungu
2. Kibinadamu
3. Kishetani

"Tunaishi si kwa sababu tunavyo vitu ila ni kwa sababu tunaye Yesu"

Karibu wote tunawapenda

..... Melita choir kutoka Kizota Gospel Church wakimwimbia Mungu kwenye moja ya ibada za jumapili....
Tunakukaribisha katika ibada zetu

[02/14/17]   ....... "Mtu ambaye kiwango chake cha kiroho kimeanza kushuka huwa siyo mtu wa kujali na hana huruma..... "@ lameckngobito

..... Yesu asifiwe! Tunawakaribisha katika ibada zetu za katikati ya wiki zinazofanyika hapa kanisani kila siku

Jumatatu-mazoezi ya kwaya
Jumanne-chama cha wamama
Jumatano-mafundisho ya biblia
Alhamis-mafundisho ya vijana
Ijumaa-Maombi kwa kanisa
Jumamosi-kwaya na kusifu

N:B kila siku asbuhi kuanzia saa 11-12:30 alfajiri kuna maombi kwa watu wote

. ... Ujumbe wa leo 12/2/2017 Kizota Gospel na Mch kiongozi lameck ngobito

"ENENDA UKAFANYE HIVYO"
luka 10:23-37, Mathayo 23:23

.... Ukristo bila wokovu ni sawa na ndege asiye na mabawa kamwe hataweza kuruka wala kufanya jambo lolote......

. .. Yesu asifiwe mch kiongozi @lameck ngobito anawakaribisha katika ibada ya jumapili itakayoanza saa 3asbh-6:30 mchana
Mahali panda gari za nkuhungu shuka kituo cha daraja la kwanza elekea mkono wa kulia utaona kibao kinachokuelekeza moja kwa moja hadi kanisani

Kizota Gospel Church's cover photo

[02/10/17]   Karibun katika page hii ya kizota Gospel church kanisa lipo karibu na fourways njia ya kuelekea nkuhungu unashuka daraja la kwanza unaingia mkono wa kushoto!
Tutaendelea kuwapa ratba zetu za ibada kila siku! Karibun sana wakazi wa Dodoma na viunga vyake

Kizota Gospel Church

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Telephone

Address


Dodoma
Dodoma
Other Religious Organizations in Dodoma (show all)
Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma. Efatha Ministry-Ihumwa Dodoma.
Bwawani,Ihumwa.
Dodoma

Tunapatikana Mtaa wa Bwawani,Ihumwa.Panda daladala pale sabasaba Dodoma ushuke Flemingo Jeshini,utaona kibao cha huduma kinachokuelekeza ilipo huduma.

Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania
Dodoma, 1522

Shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakapuchini lilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1528. Hili ni tawi mojawapo la familia tatu za Shirika la kwanza.

Upendo Revival Christian Centre-URCC Upendo Revival Christian Centre-URCC
TAG Upendo Revival Christian Centre
Dodoma, P. O. BOX 1098

Upendo Revival Christian Centre is a Christian Pentecostal Church of the Assemblies of God origin with one purpose: defining Christian Love to all people, Christians and non-Christians, the churched and the un-churched, in towns and in villages.

Christian Council of Tanzania (CCT) Christian Council of Tanzania (CCT)
P.O.Box 1454,
Dodoma

The Christian Council of Tanzania (CCT) was established in January 1934 as a fellowship of Churches and Christians. It was then named the Tanganyika Missionary Council until 1964 when it adopted its current name. The CCT has 12 National Churches

Ambassadors MegaFest Ambassadors MegaFest
Dodoma
Dodoma

Youths movement and explosion whose core vision is to see a generation of young people transform by the gospel and living for God's glory

The Bible Society of Tanzania The Bible Society of Tanzania
Makumbusho/ 9th Street
Dodoma, BOX 175

Box 175 Dodoma +255262324661 +255262324465

Fekileo Ministries International Fekileo Ministries International
The University Of Dodoma
Dodoma

Teaching the Word of God through Christ Jesus our Lord under the lead of Holy Spirit. John 8:32 "And Ye shall know the truth and Ye shall be free

Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma Makedonia Gospel Centre-Kisasa,dodoma
Kisasa
Dodoma, 542

Kanisa letu zuri linapatikana eneo la Kisasa C centre mkabala na shule ya sekondari ya Kisasa:

TUCASA-IRDP Dodoma. TUCASA-IRDP Dodoma.
138
Dodoma, 41113

special for TUCASA Members at Mipango Institute,sharing ideas on spiritual perspective as well as memory events' photos,also getting informations and chat.

DAMU YA YESU DAMU YA YESU
Mpwapwa
Dodoma

Tunakombolewa kwa damu ya mwana kondoo Wa Mungu (Yesu Kristo) ambaye alijitoa msalabani, akafa kifo cha aibu, damu ikatiririka ili Mimi na wewe tuwe hai.